Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,170
- 175
Usihofu....... Kamanda Kova amesema wamejipanga sawasawa......ardhini na angani.......mbwa...farasi.....na helikopta....
Mambo yanabadilika kwa haraka sana. Busara ingetumika ili viongozi wote wakuu walio nje ya nchi warudi nyumbani haraka. Najua State visit inaandaliwa kwa muda mrefu lakini rais anatakiwa akatishe hiyo visit arudi, haraka na ahutubie taifa.
Mnyika alipoongea wachache walimuelewa,wengi walidiriki kusema hana heshima na nini! Je kuna mashaka tena kwamba hakuwa sahihi? Matunda ya kuchekeana chekeana haya
unakumbuka ya Gaddafi aliposema vurugu zinshabishwa na panya na mende ambao wataangamizwa muda mfupi?
Siasa ni kitu kibaya sana, hakika chuki za udini zimapandikizwa na wanasiasa, hili suala lipo uchi kabisa!
mmh.. na wewe nawe; mnatishwa mno. Mtu akisema yuko Usalama wa Taifa mnaogopa, mtu akizungumza hivi mnadhani ni shushushu. Mashushushu wa kweli hawajulikani na wala huwezi hata kumhisi! Mtanipa ujiko ambao hata sina wala sifikirii kuwa nao.
Mambo yanabadilika kwa haraka sana. Busara ingetumika ili viongozi wote wakuu walio nje ya nchi warudi nyumbani haraka. Najua State visit inaandaliwa kwa muda mrefu lakini rais anatakiwa akatishe hiyo visit arudi, haraka na ahutubie taifa.
unakumbuka ya Gaddafi aliposema vurugu zinshabishwa na panya na mende ambao wataangamizwa muda mfupi?
kaka kwa mfumo ambao kikwete anatumia madarakani na kwa mwenendo na dunia ya leo iilvyo halafu tungekuwa na mkuu wa majeshi kama sayore,au musuguri na angalau sarakikya naamini hii nchi ingeshapinduliwa siku nyingi sana
NI dhaifu dhaifu ndo maana anazunguka kama Vasco Dagama!!!!
Hivi ile kauli mbiu ya CCM kwamba tumejaribu, tumeweza na tunasonga mbele---imeishia wapi?? Halafu siku hizi Nape kaadimika kweliHali ya hatari itangazwe tu,hawa vibaka watatumaliza,wakristo waki react hapatatosha hapa.
Tumefika hapa tulipo kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete-jj Mnyika.