THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,855
- 15,196
- yaaani huyu mzee huwa ananishangaza sana, yaani chama hakina wanachama kabisa zanzibar wala songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi ughaibuni na sasa eti atawaajiri makatibu kila mkoa, yaani hawa chadema na huyu mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka ccm, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!
Le mutuz!!
mpanda ngazi siku zote hushuka,,muda wenu wa kushuka umefika hamtaki kushuka
sasa tutawashusha kwa lazima kwa sanduku la kura
kutesa kwa zamu na zamu yetu ishafika
mafanikio ya kukubalika na watz ndio kipimo cha mwelekeo ulio bora,na mafanikio ya zomea zomea zinazoendelea huko muendako ndio ishara tosha ya kushushwa kwenyewe
mumeingiwa na husda na chuki kwa wananchi kuonesha nia ya dhati ya kuipa kisogo chama chenu chenye dhulma na ufisadi
mafaniko ya wenzenu msichukie kaeni chini mfikirie mlipojikwaa...
Siku zote atakaekuzika humjui,,ni bora ninyi mkashukuru mungu kwa sababu mshajua atakaewazika ni nani..