Tusker Project Fame 6

Tusker Project Fame 6

Aisee best zangu kazi ipoo ukitoka kuangalia tusker then uje ebss utakasurikaa weee
 
Bobo flavour nyingi na taarabu hazifai kwenye mashindano kwani ni kama utenzi au mashairi tuu .Hazina music varriarion mtu wimbo unaweza kuwa na chord mbili yuu mwanzo mwisho. Cha kushangaza BSS ndio hizo hizo tuu
 
Show mbili tofauti......wametuacha mbali sana....
DEMBA halafu mbona hawawaonyeshagi audience tuwaone na popcorn zenu
 
Last edited by a moderator:
Melisa,,,,ana msupuuuuuuuuu....

na hiko kivazi balaa........kaimba vizuri lakin
 
Heaven on earth umenifurahisha.. Let m ask cjui mm ndo mshambaa,hv ukiwa judge lazima utoe maneno mabayaa..salama ajudge uimbaji not cjui ohh demu wako anakudanganya
 
Aisee best zangu kazi ipoo ukitoka kuangalia tusker then uje ebss utakasurikaa weee

yaani choice of songs ni mbaya. hawajui nyimbo gani waambe kwenye competition kama hizi. halafu wanadhani kupayuka ndio kuimba. pyuu
 
Mnamwona Mandela.. Anaiga saut ya camelion
 
Bobo flavour nyingi na taarabu hazifai kwenye mashindano kwani ni kama utenzi au mashairi tuu .Hazina music varriarion mtu wimbo unaweza kuwa na chord mbili yuu mwanzo mwisho. Cha kushangaza BSS ndio hizo hizo tuu

yaani wananishangazaga kwa kweli. subiri sasa hivi utaona mtu anakuja na taarabu.
 
Heaven on earth umenifurahisha.. Let m ask cjui mm ndo mshambaa,hv ukiwa judge lazima utoe maneno mabayaa..salama ajudge uimbaji not cjui ohh demu wako anakudanganya

Amemwambia Melisa umejitahidi kufanana na Ray C ila siyo yale mambo mengine......Hapa ameniacha hoi huyu Salama...
 
Heaven on earth umenifurahisha.. Let m ask cjui mm ndo mshambaa,hv ukiwa judge lazima utoe maneno mabayaa..salama ajudge uimbaji not cjui ohh demu wako anakudanganya

yote hayo sijui yametoka wapi!!!!!!!!maisha yake binafsi has nothing to with uimbaji wake hapo
 
Huyu wa sa hivi jamani God love have mercy.........

halafu sura yake iko familiar huyu mdada...kava kikoti cha pink
 
Back
Top Bottom