Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa RADIO IMAAN inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa LAKINI MASHEHE WAKISEMA NI KOSA. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.
We kichaa tu, hata km inasikika nchi nzima, haisaidii kitu. niwapuuzi tu ndio wanaoweza kuisikiliza redio hii. Halafu, mmeshashindwa mnatapatapa tu.
 
hivi mwanaume unampo mtongoza mwanamke, una mkashi mwanaume mwingine mwenye kumtaka huyo mwanamke? sasa wewe unaye taka mtu afuate dini yako, itakuwa sawa wewe kukashifu dini ya mwenzako? au mwenzako akikashifu dini yako ni sawa.?
juzi juzi niliona sinema moja iliyo kuwa inaongelea ubaguzi wa rangi afrika ya kusini, mojawapo wa mambo waliofanya ili kuzui weusi kuo/au kuzaa na weupe ni kusema weusi ni wabakaji ili kuwatia hofu wadada weupe kufanya tendo la ndoa na weusi nk nk.
sasa dini yeyote au mtu yeyote anaifikia au kutumia mbinu kama hizo ajue dini yake ni ya kweli iwe mkristo au muislamu au muhindu nk nk
 
Mambo ya mabishano hayana faida ila kueleweshana ndio faida. Fundisheni watu wafikie maendeleo. Sio mambo ya kumlaumu nyerere kwani alishafariki. Halafu mbona raisi ni muslam??? Au mnataka raisi aue wakristu wote? Tufanye kazi tuache malumbano na fikra za kuona tuanonewa. Hatuonewi nduguzangu tuanajionewa wenyewe kisaikolojia. Fikiria ni yupi alikuwa akijiweza darasani na amefeli mtihahi?? Mimi ni muislam na naishi vizuri na majirani wakristu. Tena hata nikiomba chombo hutoa kabatini kwenye vyombo vyao wasivyo vitumia. Wakitaka kuchinja kuku huniletea niwachinjie kama sipo wengine hufikia kumuomba mkewangu awachinjie!!! Sasa heshima ipi tupewe waislamu????
 
Eti Huyu Zenji ndo waislam mnaobishana nao. Jamani narudia tena msidharau waislam wote kwa ujumla wao kwa kauli za watu kama hawa, kuna waislam waliosoma na wanamawazo ya kujenga ambao sidhani kama wanaisikiliza hiyo Radio Imaan, mfano Prof. Shirvij, Saed Kubenea, Prof Narji, Lipumba, Idrissa Rajabu and their like, kwa hiyo wadau mnapojadili haya mambo msijumuishe waislam wote hawa waandishi wa Radio Imaan wenye Phd ya Quruan kutoka madrasa wanatoa point ambazo zinasikilizwa na wenzao wenye mawazo ya Madrasa kama kina Zenji wanashabikia upuzi wanaotoa wenzao na kumtukana Mwl live. Ama kweli nimeani hawa jamaa wanapenda vifo vitokee manake huyu amesema kabisa tulifurahi mwl alipo fariki. Utaona kabisa hawa jamaa walivyo na roho ya kinyama, na hizi laana ndo zinasababisha Ccm inawatumia kama Rough Rider na kuwatupa, tena ikiwahitaji inawanunua inawatumia na kutupa bila wao kujua. Haya Endeleni kutumika.
 
Kwa nin hatujiulizi sababu za kuandika namba kwenye mtihani na badala ya majina kama ilivyokuwa awali kabla ya kub adilisha mfumo huo bwana kigoma malima,na hapo kiwango cha kufaulu kwa waislam kikapanda kwa asilimia 43,pia turejee memorandum of understand of 1992 kati ya serikali na makanisa,(sio yote)ulio sainiwa na edward lowassa na cristopher mahalu
 
Hatugombani ng'ooooo kwani sisi wengine familia zetu zimechanganyika waislamu na wakristo tena wakatoliki na tunapendana kishenzi.

Una akili sana wewe. Endelea kukomaa na shule kwa watoto wako ili wapate ukombozi wa kifikra mkuu. Vinginevyo na wao wataendelea kulia lia kama hao mashehe!
 
Huwa inaniuma sana, maana wakati wa mfungo wa ramadan kitimoto huwa hailiki na wla pombe hazinywewi sana. Kumbe jamaa huwa tunashirikiana nao, aiseeeeeeeee!
 
Akili kama za akina Zenji zipuuzwe maana zinaweza kutuletea machafuko. Kuna Waislam waliosoma na waelewa si kama wanaoharisha humu ndani. familia zetu za Kikristo na Kiislam zinaishi vizuri na tumeoleana. hao wachache wapumbavu na wanaomtukana Mwl Nyerere ole wao na vizazi vyao, dhambi hiyo haitawaacha!
 
Ukiona mtu yeyote anaongelea sana kuhusu kubaguliwa na kubaguana katika jamii yoyote ile, basi jua yeye mwenyewe ndo mbaguzi. Kulingana na mada ilivyokaa, inaonesha hao wachangiaji wa kiislam wao ndo wanaojibagua. Hakuna mkristo yeyote mwenye kufkiria kumbagua muislam au mtu asiye na dini. Ndugu zangu dini hizi tumeletewa tu na wageni, iweje tujifanye sisi ndo tunazijua sana kuliko waliotuletea kiasi cha kufikiria kuelekea kwenye Jihad???????

Mi nadhani kama kila mtu atatumia muda mwingi kwenye kujishughulisha na muda mchache kumwomba muumba wake, hatutafika kufkiria Jihad, ila kama muda utatumika kumwomba mungu kuliko kujitaftia rizki, hakika mawazo ya jihad na mengine mengi machafu machafu ya aina hiyo yatatawala nafsi zetu. Ndugu zangu maisha ni kutafuta sio kutaftana kama manyani msituni, chokochoko hizi za kidini hazina maana yoyote kwa ustawi wa jamii yetu ambao umekua katika msingi wa usawa. Tuachane na mawazo ya wahuni wachache wenye maslahi binafsi.
 
Hv nchi hii Waislamu nao watu>>>> siku zote wao wanaonewa tuuuuuuuuuu sijui wanaona raha kulalamika kama mademu..Waache kuvaa kanzu na yeboyebo na kucheza bao...Sio Radio tu pia kuna magazeti ya Al Nuur na al huda kwa majungu ni nouma.
 
Kwa taarifa RADIO IMAAN inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa LAKINI MASHEHE WAKISEMA NI KOSA. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.
Hapa kuna makundi mawili ambayo tofaoti zao ni kama ilivyo mbingu na ardhi. kuna kundi ambalo hutalisikia hata siku moja wakipiga majungu dhidi ya kundi la pili, wao hawana muda huo, wako busy na kufikiria mambo muhimu ya kijamii, yaani kujenga vyuo vikuu, mahospitali nk. wakizungumzia siasa hawalalamiki kama wenzao wa kundi la pili, bali hutoa hoja zenye dira na zinazojadilika. kundi la pili wao kazi yao kubwa ni kulalamika na kutafuta mchawi wa shida zao, hawana hospitali hata moja japo kiuwezo wana pesa, hata serikali ikiwapa shule au Chuo kikuu, bado ni shida tu, hata wao wenyewe hawaziamini hizo shule zao. Lakini nabii Issa alipoulizwa dini safi ni ipi alieleza kuwa ni ile yenye matendo mema, Yanayozungumzwa na mashehe na maaskofu wetu yatupasa kuyasikiza maana yanatusaidia kuchagua ipi dini njema? Ni rahisi sana! angalia MATENDO yao kama ni ya manufaa kwa jamii au ni ya kuleta vurugu katika jamii.
 
Wanaoiendesha lengo lao ni kuchochea vurugu tu. Hakuna jingine. Kama ni redio imani kweli mbona wasitangaze kama. Radio Habari Maalum, Radio Maria, Safina n.k?

Btw : Batilda Buriani aliahidi kuifungia Radio Safina na zilipo ofisi zao ajenge msikiti japo hakuwahi kusema kosa lao!
 
Kama kuna watanzania wanaosikiliza hiyo redio basi hawazidi mia tano. Wengi wao wapo tandale, manzese, tandika, temeke, gongolamboto na mbagala.

Tafadhali tuombe radhi Waislamu wa Gongo la Mboto

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
mimi ni muislam lakini sikubaliani na yalnayosemwa na Waislam wenzangu JAMANI WAISLAM WENZANGU TUBADILIKE YUACHE UVIVU NA MAJUNGU
Tatizo ss tunajifanya kuwa na Msimamo usiokiwa na Faida jamani mm mbona ni muislam lkn nimesoma mpaka university na form four Div 1 form six DIv 2 university First class Mbona Sikufellishwa na Mtu tatizo letu wakati wakristu wanajenga Mashule na Mahospital ss tumelala Msikitikini Mchana kweupe
Ndugu zangu Majungu hayasaidii tubadilike
 
Hv nchi hii Waislamu nao watu>>>> siku zote wao wanaonewa tuuuuuuuuuu sijui wanaona raha kulalamika kama mademu..Waache kuvaa kanzu na yeboyebo na kucheza bao...Sio Radio tu pia kuna magazeti ya Al Nuur na al huda kwa majungu ni nouma.
Kweli kabisa na mm ni mmoja wa wahanga wa ujinga wa hawa watu. Walichoma baa yangu pale mwembebasha.
 
Nadhani Polisi na UWT ndio mahala pao hapo, sasa kama wapo kimia basi wanalo jambo moyoni mwao.
 
Hakika tanzania sasa kuna udini,radio imaan kupitia viongozi wa kiislam mf. Shekhe ponda,mohhamed issa,watangazaji na wachangiaji wao wanavotumia hiki chombo kupandikiza chuki kati ya wakristo na waislamu hali ni hatari, kuanzia suala la NECTA,SENSA Kwa kuupotosha umma na kutegemea wazi Mh. Raisi aingilie kati kinguvu,hivi na wakristo wakiamua kudai yao kutakalika kweli?

Ndiyo mna mengi mazuri lakini msitumie mwavuli wa dini katu,chondechonde mtatutumbukiza sehemu tusiyotarajia,pia viongozi wengi wa CCM kutumia kipengele cha udini kujinufaisha na kupaka matope wapinzani, hili halitowafaidisha bali ndo linazidi kubomoa taifa letu.
 
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile...
Kuna kitu kimoja nataka niikumbushe jamii kuwa, kwa Wakatoliki, dini, elimu na afya ni vitu vinavyopikwa katika chungu kimoja (education is part of evangelization for Catholics). Ndio maana wakijenga kanisa, pembeni yake lazima wajenge shule na kituo cha afya. Naomba hao wenzetu waige hili kwani ni jambo jema.
 
Jana Shekhe Issa alifurahia sana Mursi kutangazwa kuwa rais wa Misri kwa kuwa ni kiongozi wa Muslim Brotherhood. Kwa udini alionao shekhe huyu anatamani leo hii nchi hii ijitangaze kuwa ya kiislamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom