Mie nnachowashauri waislamu wenzangu ni kuwa tujitahidi sana kusoma...
Wewe kilaza unmjua au na wewe unaseme tu.. uambiwe umesema? Pumba we....
Sasa ni kupe somo Kuhusu huyu BABA yenu wa Taifa nyinyi Watanganyika msojijua, Huyu LAANA TULLAHI, KAFIRI MKUBWA HUYU alietuachia machungu Wazanzibari mpaka hii leo (Nyerere), kwetu tuliposikia kifo chakeTulifurahia saaaana tena saaaana na ndio maana mpaka hii leo Wazenji kwa Mbwa huyu (Nyerere) tunafuraha kila ifikapo tarehe (14oct) ya kifo chake huwa tunamuombea dua Mungu amzidishie adhabu kali zaidi kwa ushenzi wake alotuachia ndani ya visiwa hivi.LAAANA ZIMFIKIE KILA MWENYE KUMSIFU KAFIRI HUYU (NYERERE).
Hakuna ujuha uliopitiliza kama uvivu wa kuusaka ukweli. Ujuha kama huo hujikoleza kwa wanaoamini bila kudadisi kila wakisomacho ama waambiwacho. Kwa watu kama hao kuwa na fikra huru zinazotokana na utafiti na tathmini binafsi hakupewi nafasi na hivyo kubaki mtumwa wa mawazo na utashi wa wengine. Kilichokuwa kinajadiliwa katika mdahalo huo si kigeni kwa watanzania wengi wanaotaka kufahamu ukweli halisi kuhusu historia ya harakati za ukombozi wa nchi yetu, badala ya kupumbazwa na ghilba za watawala wetu wanaojiita wazalendo zaidi waliotunga historia isiyo na mashiko. Kwa bahati mbaya ukweli una tabia ya kujidhihiri hata kama utafunikwa kwa muda mrefu. Hivi inaingiaje akilini kudhani kuwa ukombozi wa Tanganyika unaanzia na kuishia kwa harakati za TANU..Vipi kuhusu machifu km akina mkwawa, mirambo, songea nafasi zao katika historia ya ukombozi kweli inathaminiwa au inaaminishwa kuwa ni sehemu muhimu zaidi katika historia. Tusome tafiti mbalimbali...na kama una fursa soma kitabu kiitwacho Kwaheri ukoloni kwaheri Uhuru upate angalau fikra mbadala ya kukupa changamoto zaidi ya kukupa uwezo wa kuwa na maamuzi huru.Ni kweli kabisa na mimi nawaunga mkono 100%
HISTORIA ya TANU ingelipotea kabisa kama siyo juhudi za makusudi za Profesa John Illife wa Cambridge aliyekuwa mwalimu wa historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika miaka ya katikati ya 1960.
Illife alipogundua tatizo lililokuwapo katika historia ya uhuru wa Tanganyika na hasa historia ya TANU na nafasi ya Julius Nyerere katika kuanzishwa kwake alifanya azma ya kuitafiti na kuiandika. John Illife aliwaagiza wanafunzi wake kutafiti na kuandika maisha ya wazalendo waliofanya mambo ya kutukuka katika sehemu zao. Zoezi hili lilipokamilika palipatikana historia za wazalendo wengi na kazi hii ikazaa kitabu Modern Tanzanians ambacho Iliffe alikihariri na yeye mwenyewe akiwa mmoja wa watu waliochangia uandishi akaandika maisha ya Martin Kayamba.
Kitabu hiki kina habari za maisha ya Watanganyika 12 ambao waliishi miaka ya mwanzo ya karne ya ishirini wakati wa utawala wa Wajerumani hadi kufika kwa Waingereza. Katika kitabu hiki kitu kimoja kinachojitokeza dhahiri ni kuwa wazalendo wote walioshiriki katika kutafuta Uhuru wa Tanganyika walikuwa Waislam. (Kleist Sykes, Ali Ponda na Hassan Suleiman) wao maisha yao yalijikita katika siasa za ukombozi wa Tanganyika kutoka ukoloni wa Waingereza wakati wenziwao Wakristo Canon Kolumba Msigala, Pastor Yohane Nyagava na Bishop Jeremiah Kissula) historia ya maisha yao ilikuwa katika nyanja za utumishi wa kanisa.
Hali hii imeendelea hadi ilipofika wakati wa kuasisiwa kwa TANU.
Katika ukweli huu ndipo palipo tatizo la wanahistoria kuiogopa historia ya kweli ya TANU kwa kuwa harakati zilichukua mkondo mkali wa Waislam kupinga ukoloni kwa dhati. Kwa ajili hii basi historia nzima ya kudai uhuru imejaa majina ya Waislam. Hili ni moja ya sababu inayofanya historia hii iwe nyeti, iogopewe na isitafitiwe na kuandikwa inavyopaswa.
NAOMBA UFATE HII LINK HAPA KWA MAELEZO ZAIDI: Wako wapi mashujaa wa Uhuru Tanganyika?
Kuna mdaharo unaendelea kwenye hii radio wao wanasema uhuru wa tz uliletwa na waislamu na si nyerere, wanadai haina maana ya kumbuka mwalimu wakati historia imepotoshwa, wanasema nyerere alijikita ktk kujenga makanisa na sio misikiti, wanauliza kwa ni kuna baba wa taifa hakuna mama wa taifa? Wanasema labda kwa vile ni mwislamu bibi titi mohamed. Mimi hii radio siielewi hembu wadau leteni maoni yenu hapa, kama una redio wasikilize mada inaendelea.
Wewe kilaza unmjua au na wewe unaseme tu.. uambiwe umesema? Pumba we....
Sasa ni kupe somo Kuhusu huyu BABA yenu wa Taifa nyinyi Watanganyika msojijua, Huyu LAANA TULLAHI, KAFIRI MKUBWA HUYU alietuachia machungu Wazanzibari mpaka hii leo (Nyerere), kwetu tuliposikia kifo chakeTulifurahia saaaana tena saaaana na ndio maana mpaka hii leo Wazenji kwa Mbwa huyu (Nyerere) tunafuraha kila ifikapo tarehe (14oct) ya kifo chake huwa tunamuombea dua Mungu amzidishie adhabu kali zaidi kwa ushenzi wake alotuachia ndani ya visiwa hivi.LAAANA ZIMFIKIE KILA MWENYE KUMSIFU KAFIRI HUYU (NYERERE).
Kwanza inasikika sehemu ndogo tu ya nchi, pili wasikilizaji wake ni walewale wenye upeo.......,tatu watanzania wengi hatuamini udini wao zaidi ya CCM wanataka kuungwa mkono na watu wasiofikiri. Kwahiyo huna haja ya kuihofia radio uchwara hiyo.Hawa radio imani ni wa chochezi sana.radio hii isipofungwa au kupewa onyo kali itavuruga nchi hii.