Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Usipotoshe ukweli kwa dai lako la uongo kuwa Uislamu ulienezwa kwa upanga! haya nakuuliza, Uislamu ulipoingia huku kwetu miaka 1000 kabla ya ukristo kuja ni upanga gani huo uliotumika mpaka babu zetu wakasilimu?
Maeneo ya Machame, Usangi, Ugweno, Moshi mjini, Bukoba, Musoma nk, kuna Waislamu pia sasa upanga uliotumika kuwasilimisha umeuhifadhi ktk MUSEUM yako?
2) Indonesia ni nchi yenye idadi kubwa sana ya Waislamu duniani kote, sasa uislamu ulipoingia huko ni upanga upi huo uliotumika?
India, Pakistani, Afganistani, Kosovo, Bosnia, mackedonia, Uzbekistan, Urusi, Chechenia, USA na nchi nyingi duniani wanakoishi waislamu ni upanga gani huo uliotumika?

Labda Ukristo ndio ulioenezwa kwa mtutu wa bunduki ndio maana Wazee wetu akina KINJEKITILE walikataa kudanganywa na Wazungu waliokuja kama Wamisionari kumbe lengo lau ni kuwabatiza na kuwatala!

Usituletee propaganda chafu zilizopitwa na wakati tafuta lingine la kuongea lakini sio *****!
Sasa wewe ndugu nini unachopinga au kuunga mkono!! Je unaunga mkono kila DINI itangaze malalamiko yake kupitia Vyombo vyake vya habari? Ndugu yangu umetoa mifano yote hiyo kwamba kulikuwa hakuna "upanga"
je tuelewe hawa kila kukicha waliopo kwenye mihadhara wakati mwingine wakitumia vitabu vitakatifu hata Biblia kutoa tafsiri wanazotaka wao(Yesu kristo si mungu wala mwana wa mungu) je hii ni haki? Sasa wewe unataka na wengine watumie vitabu Quran kuvichambua na kutoa tafsiri inayowafaa? Je tutafika? Je ni jamii gani tunayotaka kutengeneza kwa kueneza chuki za aina hii?
Wamisionari walijenga hayo mahospitali, mashule yanayohudumia jamii yote ya kitanzania je si haki hata serikali kupeleka wataalamu kutoa huduma? Kipi chema kwako na wanaredio Imani kuwanyang'anya makanisa hizo taasisi za huduma na kuziendesha wenyewe yaani serikali? Mbona walitaifisha wakashindwa kuziendesha?
Wewe na wanaredio imani ni nini hasa mnataka!?

Ndugu zangu kuidai serikali kutimiza wajibu wake wa kutoa haki kwa wanajamii wa usawa huanzii kwa kushambulia unaodai wamekupunja haki utapoteza pointi! Anzia na kuidai Serikali yako na ikiwezekana unganisha nguvu na wanaharakati wengine ili ushinde. Unawaowashambulia unatengeneza wapinzani watakaokuangusha katika madai yako!
Mifano: Serikali iliponyang'anya taasisi za huduma za makanisa yaliungana yote TEC, CCT etc na kuunda muungano wao uliowawezesha kurejesha baadhi ya Taasisi zao. Na hawakupiga kelele na kusema Rais Mwinyi wakati ule aliwapendelea waislamu.!! walikaa pamoja wakaweka mikakati ya nguvu ya hoja hadi hiyo MOU mnayoipinga ikawekwa!! na niwaeleze vipengele vya hiyo MOU ni kwa "serikali haitatafisha tena hizo taasisi, kwamba serikali itachangia uendeshaji wa taasisi hizo kwa manufaa ya kutoa huduma kwa watu wote mf waganga wa Bugando/KCMC wapo wengi wanaolipwa na Serikali!! "seminari" viwanda vya kufyatua mapadre/wachungaji hayapati hata senti tano ya serikali. TEC, CCT, etc havina hata senti tano ya serikali!! lakini wenzetu BAKWATA iliundwa na serikali na inaendeshwa na serikali na sasa mahakama ya kadhi yaja!!
Kuna shida gani hapa?
 
Hao ni masheikh uchwara wackupe taabu,cc waislaum tulioelimika hatuwezi kudanganywa na hao wapuuzi
Lazima ilete tabu, as unajua Tanzania generally wachache sana waliolemika be wakristo or waislam, na sio wengi wanaoweza kupambanua kua hao ni masheikh uchwara, ni hatari sana hili jambo na halitakiwi kuwa ignored hata kidogo
 
Ni nchi pekee duniani, kila mtu anaweza kuweka kipaza sauti barabarani hata saa nne usiku au kutumia chombo cha habari kusema lolote. Hakika uhuru wa kusema uko juu kupitiliza nchi zote.

Mganga wa miti shamba kujiita Professa mbele ya umma na kutumia TV/Radio kufundisha somo la afya bila kuulizwa. Na mcheza manyanga kujiita Dokta na kila mtu ni Engineer anajijengea nyumba/ghorofa lake. God bles my country!
 
OOOH, Kumbe! nilidhani uongozi wa kiislam ulikuwa unatoa tamko. Kama ni mjadala si mchangiaji yuko huru ikiwa ni live kuonyesha ujinga wake hadharani? Msikilizaji au mtazamaji au msomaji ndiye atakayejipotosha kama anafyonza kila kitu pasi kutafakari. Ndio maana ya mjadala, kuna negative na positive ideas. Positive zako sio lazima ziwe positive na kwangu, tutapingana pasipo kupigana hadi tufikie mwafaka au kisieleweke kabisa.

Shule wanaposema walifelishwa makusudi waseme wanafelishwa makusudi ndio watakuwa wanachomekea vizuri, maana kipaumbele chao ni madrasa na ilm dunia. Wachangiaji wengine wanadai kuwa waliosoma hawaamini hayo, sio kweli kwa sababu hata marehemu Prof Malima alikuwa anahamasisha sana uislam alipokuwa waziri wa elimu.

vimemo vingi vilikuwa intercepted vikicross kuwaagiza waislam wenzake wahamasike kufelisha wakristo na kuinua waislam. Pale aliposoma yeye mwenyewe Minaki alifikia kujenga msikiti ati kupaenzi aliposomea, ingawa ilikuwa marufuku na tena shule ile ilikuwa ya Waanglikana.

Wanapodai wakristo wanarejeshewa mashule, hiyo ni sawa, sera ilikuwa warejeshewe. Hata waislam walirejeshewa za kwao. Tatizo hapo ni waislam walikuwa na shule ngapi? Walirejeshewa zile walizokuwa wamezijenga na sio kupewa zilizojengwa na wenzao.

Waislam walikazania madrasa, serikali haikuwahi kutaifisha madrasa na ndio maana hawakurejeshewa madrasa, utarejeshewaje kitu ambacho bado unakimiliki? Baadae waliposhituka wakaanza kujenga masekondari, lakini wakati huo wenzao wakristo walikuwa wamekwishajenga nyingi zaidi na isingewezekana kushindana nao.

Mzee Ruksa amewaambia sana wasome na wasing'ang'anie madrasa tu, dunia sasa ni kijiji na hakuna madaraka kwa asiyesoma. Lazima kukubali. Wanampiga vita JK kwa sababu hakubaliani na ujinga wanaomwambia aufanye, ati kuendekea udini kwa kutoa vyeo kama pipi hata kwa aeiou.

Waroma kila mahali wanajitahidi kunyenyua elimu ya watu, sio wakristo wote wanaweza kushindana na RC ktk elimu, huo ndio ukweli. jengeni vyuo vikuu na masekondari, serikali haitawanyang'anya mlikwishaambiwa. Badala ya kujenga mashule waislam wakakazania kila mita mia lazima kujengwa msikiti, kwa nia ya kuigeuza Tanzania yote na Afrika iwe ya kiislam.

Haipo hiyo na haiji. Mzee Ruksa alipong'atuika madarakani na majumba ya misikiti yaliyooteana kama uyoga yakalala usingizi mzito, yaelekea source ya hela waliyojengea iliendana na kuwapo kwa Ruksa. Tena afadhali zaidi majumba (Magofu) hayo mengi ndio wameyageuza eneo la elimu, hiyo safi sana.
 
Jana Shekhe Issa alifurahia sana Mursi kutangazwa kuwa rais wa Misri kwa kuwa ni kiongozi wa Muslim Brotherhood. Kwa udini alionao shekhe huyu anatamani leo hii nchi hii ijitangaze kuwa ya kiislamu
Mtu mjinga utamjua kwa matendo yake. Sasa mtu anapata urais Misri, yeye anafurahia kwa maslahi gani? Basi ukimuuliza utasikia eti kwa sababu ni muislamu, sasa kama ni muislamu ni mjomba wako..?? Nafikiri tatizo linalo wa-cost hawa jamaa zetu ni ile hali ya kutotilia maanani kigezo elimu kama dodoso muhimu katika kupata mashekhe viongozi.
 
Hii redio utafikili siyo ya kidini ukiisikiliza mpaka unapata kichefuchefu.asilimia kubwa ni kutoa lugha za uchochezi tu.kuilaumu serekali kuwa inaongozwa na kanisa kuwakandamiza waislm.hata upeo wa kufikiri hawana.

Hivi kweli serekali iliopo ambayo inafanana kama serekali ya kiislam kwa maana ya kuwa ngazi zote za juu zimeshikwa na waislam rais na makamu wake wanaweza wakakaa meza moja na wakristo wakapanga kuwahujum waislam?

Au wameamuwa kuwadhalilisha waislam wenzao jk na bilal? Kinachoonekana hapa ni kwamba waislam walio wengi si watu wanaopenda amani na ndio maana katika nchi nyingi ambazo ni wengi vita haviishi na sisi wanataka kutupeleka hukohuko.

Pia hata ccm nao wanatakiwa watafakari kauli yao ya mara kwa mara kuwa chama cha upinzani kinapotokea kuwa tishio kwa ccm ni cha kidini wakati hakuna chama chenye sela hiyo nalo linawagawa wtz katika udini na si zuri.
 
mimi ni muislam lakini sikubaliani na yalnayosemwa na Waislam wenzangu JAMANI WAISLAM WENZANGU TUBADILIKE YUACHE UVIVU NA MAJUNGU
Tatizo ss tunajifanya kuwa na Msimamo usiokiwa na Faida jamani mm mbona ni muislam lkn nimesoma mpaka university na form four Div 1 form six DIv 2 university First class Mbona Sikufellishwa na Mtu tatizo letu wakati wakristu wanajenga Mashule na Mahospital ss tumelala Msikitikini Mchana kweupe
Ndugu zangu Majungu hayasaidii tubadilike
Miongoni mwa wa islam wenye uelewa na wewe umo.endelea kuwaelimisha wenzako.
 
Hivi hawa radio Imani hawawezi kuiga mfano wa Radio Tumaini, Radio Maria na Radio wapo? Kila siku wanaona wanaonewa wao tuu
 
Nasikia kipindi awamu ya Mwinyi waligeuza open space nyingi kujenga misikiti. Mfano ni eneo la Sinza...

Kama wanahisi wanafelishwa, watafute waislam kama mia hivi ambao wanadai wamefelishwa, alafu script zao zipitiwe na tume maalumu tuone kama kunaukweli! Si kupiga kelele tu bila kuwa na ushahidi
 
Hi dini asili yake ni fujo duniani kote, ndo maana hata kwenye ncgi za Kiaarabu pamoja na kuwa more than 95% ni waislam bado wataandamana wakidai wanaonewa, wao huwa wana allerge na amani so tusiwashangae.
 
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.

Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.

Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!

Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.

Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa “intelijensia” ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani

Wana JF naomba kuwakilisha

Ahali yangu unatakiwa ujuwe kuwa huo ndio UANDISHI MAHIRI kwani baada ya mashaikh kama ulivyodai kumaliza kutoa mada yao walitoa nafasi kwa watu kuchangia. WEWE NDIO ILIKUWA NAFASI yako adhimu sana kuchangia kwa kukanusha na kuweka data au hoja zako kupingana na za hao Mashaikh. Kwani kwa kukataa kwako kuchangia umelinyima taifa lako na wasikilizaji wengi wa Radio hiyo haki yao ya msingi ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni na vile vile kupata habari sahihi.

Lakin kwa hitimisho lako kuwa una imani kuwa Radio hiyo ina wasikilizaji wachache nafikiri sio SAHIHI. Kwani kwa kulijua hilo ungepata nafasi ya HARAMBEE walioitisha ya uanzishwaji wa IMAAN TV ungegundua mengi sana.

Kwa Taarifa RADIO Hiyo sasa inapatikana mtandaoni na kila mtu duniyyani anaweza kuisikiliza 24Hrs lakin pia wanaanzisha TV IMAAN na soon itakuja juu.

Kwa dondoo kidogo Taarifa waliyoitoa kwenye vyombo va habari ambavyo vingi hawajaiweka ipitie kwenye gzeti la KISIWA au AN Nuur. yote yapo kwenye mtandao.

Kumbuka kuwa uandishi wa habari wa kweli ni ule unaotoa nafasi ka pande zote kujieleza au kutoa maoni yao kiusawa na kuleta changamoto kwa jamii ili kupata habari sahihi. Kuficha habari ni dhambi kubwa na ufisadi kuliko ule wa EPA.

 
Mmm, hizi shule zenu sijui huwa tofaui na shule za wengine? mi mbona hii sikumbuki kama huyu jamaa naye alikuwa ni mweneza Dini? shida ninayo iona hapa kwenu ni nyie kudhani kila mzungu huwa ni mkristo, kama kumbukumbu zangu zita kuwa sahihi, Wamissionary wa ulaya kuja Africa enzi hizo za ukoloni walitoka nchi za Uingereza na Ujerumani, sina kumbukumbu kama Ureno anakotoka huyu aliyemtaja nayo ilikuwepo!

Anyway, to put the History on Track, hivi Tip Tip yule bingwa wa biashara ya watumwa alikuwa mpagani? mbona kila eneo alilopita ndo linawaislam wengi sana na umasikini wa kutupwa? vitabu nilivyo soma vinaonesha kuwa alipita mkoa wa Pwani (Hasa Bwagamoyo, leo Bagamoyo) then alifuata njia Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma hadi maeneo ya Kongo, zamani Zaire, huyu naye hilo jina la Tip Tip alipewa na wenyeji sio jina lake, nenda katafute kwanini walimwita hivyo, kifupi nyie dini yenu ni ya fujo ulimwenguni kote mnajulikana hivyo, kusoma hamtaki mnapenda vya bure tu, kazi ni kahawa na Bao na sala tano, fanyeni kazi.
 
Mdau, binafsi nakupongeza kwa kuliona hilo na kuona kwamba ipo haja ya kutoa angalizo kwa kile ulichokisikia kupitia redio hiyo inayomilikiwa na taasisi ya dini ya Kiislam.

Kwangu mimi, cha msingi ninachokiona kwenye mada yako ni kuhusu uchochezi wa kidini unaofanywa na Redio hiyo na maafa yanayoweza kulikumba taifa letu kama hatua za haraka hazitachuliwa kudhibiti hali hiyo. Mimi binafsi sina tatizo na hoja yako. Kimsingi ni angalizo linalopaswa kuungwa mkono na kila mpenda amani. Hata hviyo, ninachotaka kuongeza hapa ni kwamba, hali ya mustakabali wa kidini katika Tanzania kwa sasa ni tete. Na hili halina ubishi hata kidogo, labda iwe kwa mtu mwenye hulka ya kubishia kila jambo ndiye pekee anayeweza kupingana na ukweli huu.

Hali tuliyo nayo sasa hapa nchini haishirii dalili njema hata kidogo mbele ya safari. Zinahitajika hatua za maksudi kabisa katika kukabiliana na hali hii kabla bomu halijalipuka. Ni vema watanzania tukatambua kwamba machafuko yenye sura kama hizi za kidini mahali popote yalipopata kutokea duniani, hayakuja kama mvua au kwa bahati mbaya, la hasha!. Machafuko yalianza kama masihala kwa njia kama hizi hizi za chochoko, malumbano,na uchochezi wa chini kwa chni kama tunavyoanzashudia hapa kwetu Tanzania.

Binafsi sipendi kuhukumu kwamba ni dini gani hasa ndio inayoonesha dalili za kutaka kutupeleka kwenye machafuko ya kidini ambayo ni machafuko mabaya kupita machafuko mengine yoyote katika dunia hii. Nasita kufanya hivyo kwa sababu imani yangu inanizuia kukuhukumu na kusisitiza zaidi kuchunguza boriti ndani ya jicho langu kabla ya kutoa kibanzi katika mboni ya jicho la mwenzangu. Hata hivyo, natambua dhahiri shahri kwamba mustakabli wa hali ya kidini hapa nchini imekuwa tete tangu mchakato wa uchaguzi Mkuu wa mwaka jana. Hivyo basi, ni wajibu wa kila mtanzania mwenye dini na asiye na dini kuliona hilo na kuchukua hatua kwa nafasi yake ili kuzuia dalili mbaya zinajitokeza katika taifa letu.

Na mwisho ninapendekeza kwamba, kama ilivyo hitaji la watanzania kuwa na Katiba Mpya, basi halikadhilika iwe hivyo hivyo katika jambo la kidini. Sio vibaya tukawa na mjadala wa kitaifa kuhusu hatma ya mivutano ya kidini iliyoanza kujitokeza hapa nchini. Na kwa njia hiyo pekee ndipo tutaweza kutoa fursa kwa kila upande utoe dukuduku lake na kisha kufikia muafaka wa pamoja. Lakini, tukiendelea kupuuza, kukejeliana,kutukanana na kushutumiana bila kuchukua hatua zozote haitatusaidia. Tukumbuke kwamba panapofuka moshi lazima pana moto!!

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!!!

Point well said, naungana nawe mkono katika maneno niliyoweka rangi nyekundu. Wengi humu ndani wanadhani kutoa maneno ya kejeli na yanayoudhi ndiyo watabadili view point ya wengine kumbe si kweli. Kama upande mmoja unavyoona kwamba wao walifanya juhudi ndiyo maana wakafikia maendeleo waliyonayo, upande mwingine unaona kuwa wao wamedhulmiwa na kumekuwa na upendeleo ktk nchi yetu kwa muda mrefu. Kuwakejeli, kuwadharau na kutoa maneno ya kuwaudhi haiwezi kubadili msimamo wao. Muhimu: wasilikizwe na mjadala huru uruhusiwe ili muafaka upatikane.
 
Katika awamu ya Mwinyi waligeuza open space nyingi kujenga misikiti. Mfano ni eneo la Sinza...

Kama wanahisi wanafelishwa, watafute waislam kama mia hivi ambao wanadai wamefelishwa, alafu script zao zipitiwe na tume maalumu tuone kama kunaukweli! Si kupiga kelele tu bila kuwa na ushahidi.

Lakini napenda kuwakumbusha kwamba madrasa zifundishe elimu dunia pia, e.g. Maths, english nk. Mtaona tofauti. Hata mkilalamika bila kufanya marekebisho haitawasaidia, mwisho wa siku wanafunzi wa kiislam watafaulishwa kwasababu ni waislam mwisho wake ni maafa kwenye utendaji...
 
Nasikia kipindi awamu ya Mwinyi waligeuza open space nyingi kujenga misikiti. Mfano ni eneo la Sinza...

Kama wanahisi wanafelishwa, watafute waislam kama mia hivi ambao wanadai wamefelishwa, alafu script zao zipitiwe na tume maalumu tuone kama kunaukweli! Si kupiga kelele tu bila kuwa na ushahidi

Tutafurahi sana wakifanya hivyo na ndio tunayoyataka ufanyike uchunguzi huru kwenye NECTA. Lakini wanaogopa uchunguzi huru wanajua kuna madudu yatafichuka na kuwafedhehesha. sana.
 
Jamani, hali hii inasikitisha, kama wakristo wa TZ wangekuwa sio waelewa kila siku mngesikia machafuko, tunashukuru kwamba wakristo wetu ni waelewa sana, lakini itafika siku uchochezi huu utasababisha maafa!
 
Hivi mnategemea nini kwa radio kama hii radio imani ambayo watangazaji wake wote walikimbia elimu dunia na kukimbilia ilim ahera.?
 
Hi dini asili yake ni fujo duniani kote, ndo maana hata kwenye ncgi za Kiaarabu pamoja na kuwa more than 95% ni waislam bado wataandamana wakidai wanaonewa, wao huwa wana allerge na amani so tusiwashangae.

Unacho kieleza ni kweli kosa wanalo lifanya ni kuwaingiza wale wenye itikadi ya amani.wange kuwa ni wao tu tungewaacha wnyongane ili wakajuwane na shetani wao.
 
Ahali yangu unatakiwa ujuwe kuwa huo ndio UANDISHI MAHIRI kwani baada ya mashaikh kama ulivyodai kumaliza kutoa mada yao walitoa nafasi kwa watu kuchangia. WEWE NDIO ILIKUWA NAFASI yako adhimu sana kuchangia kwa kukanusha na kuweka data au hoja zako kupingana na za hao Mashaikh. Kwani kwa kukataa kwako kuchangia umelinyima taifa lako na wasikilizaji wengi wa Radio hiyo haki yao ya msingi ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni na vile vile kupata habari sahihi.

Lakin kwa hitimisho lako kuwa una imani kuwa Radio hiyo ina wasikilizaji wachache nafikiri sio SAHIHI. Kwani kwa kulijua hilo ungepata nafasi ya HARAMBEE walioitisha ya uanzishwaji wa IMAAN TV ungegundua mengi sana.

Kwa Taarifa RADIO Hiyo sasa inapatikana mtandaoni na kila mtu duniyyani anaweza kuisikiliza 24Hrs lakin pia wanaanzisha TV IMAAN na soon itakuja juu.

Kwa dondoo kidogo Taarifa waliyoitoa kwenye vyombo va habari ambavyo vingi hawajaiweka ipitie kwenye gzeti la KISIWA au AN Nuur. yote yapo kwenye mtandao.

Kumbuka kuwa uandishi wa habari wa kweli ni ule unaotoa nafasi ka pande zote kujieleza au kutoa maoni yao kiusawa na kuleta changamoto kwa jamii ili kupata habari sahihi. Kuficha habari ni dhambi kubwa na ufisadi kuliko ule wa EPA.

Mkuu Barubaru, naomba link ya redio hii kwenye mtandao ili na mimi nifaidi uhondo huo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom