Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Mkuu wa kaya yuko hoi sana,tena taabani,vile tu hawajui lakini ki ukweli yuko hoi sana na hwa jamaa wamemkalia kooni sana kiasi kwamba yanayotekelezwa ni namna ya kutafuta ushindi tu wa jimbo anasahau kwamba sumu ya udini anayoeneza intakuja kumgharimu pia ni hatari sana kujitokeza kwa bakwata na kuhubiri kitu kama hicho,najiuliza hivi kama wa-kristo nao wakasimama na kusema wasichague ccm patakallika?na je watawaacha tu na kukaa kimya?
hata hivyo tusiendekeze ubaguzi tujiangalie wenyewe nature ya dini zetu kama zina element ya ubaguzi tujisahhishe na wala tusiingize dini zetu kwenye siasa,hawa CCM waachaeni wahangaike kivyao,tusihusishe dini na vyama.
 
dah inaumiza sana na when you go down that road there is no turning baack im scared of the future of Tanzania,.na tutaodhurika ni sisi watanzania wa kawaida hao hawajali coz watatuachia nchi lol.
 
Kwa kweli tumejitahidi kukemea lakini wanajifanya kama wameziba masikio. Kuna siku wakristo watashindwa kuvumilia atajitokeza kiongozi anaeungwa mkono na atajitoa sadaka na litakalotokea ni yale ya Misri.
 
Kuna mdaharo unaendelea kwenye hii radio wao wanasema uhuru wa tz uliletwa na waislamu na si nyerere, wanadai haina maana ya kumbuka mwalimu wakati historia imepotoshwa, wanasema nyerere alijikita ktk kujenga makanisa na sio misikiti, wanauliza kwa ni kuna baba wa taifa hakuna mama wa taifa? Wanasema labda kwa vile ni mwislamu bibi titi mohamed. Mimi hii radio siielewi hembu wadau leteni maoni yenu hapa, kama una redio wasikilize mada inaendelea.
 
Wanadai uhuru uliletwa na waislamu wakaamua kumzoa nyerere huko kijijini ili aje asimamie kwa vile alionekana amesomasoma baadae akawageuka.
 
Kuna jamaa anachangia anasema muungana wa Tanganyika na Zanzibar lengo ilikuwa kuuwa uislamu. Wanasema vita ya idd amini ilikuwa ya udini kwa vile idd amini alikuwa mwislamu na alikuwa akiwasaidia waislamu tz.
 
Nawashauri hawa radio imani hakuna kitu kizuri kisicho na kasoro, kumkumbuka mwalimu kwa makosa aliyofanya au pale alipojikwa ni kutomtendea haki.
 
Serikali iwaangalie sn, hawa jamaa wanasema kwa kwa muislamu kumuenzi nyerere ni haramu
 
Kuna jamaa anachangia anasema muungana wa Tanganyika na Zanzibar lengo ilikuwa kuuwa uislamu. Wanasema vita ya idd amini ilikuwa ya udini kwa vile idd amini alikuwa mwislamu na alikuwa akiwasaidia waislamu tz.
 
Wanadai uhuru uliletwa na waislamu wakaamua kumzoa nyerere huko kijijini ili aje asimamie kwa vile alionekana amesomasoma baadae akawageuka.
 
Kuna mdaharo unaendelea kwenye hii radio wao wanasema uhuru wa tz uliletwa na waislamu na si nyerere, wanadai haina maana ya kumbuka mwalimu wakati historia imepotoshwa, wanasema nyerere alijikita ktk kujenga makanisa na sio misikiti, wanauliza kwa ni kuna baba wa taifa hakuna mama wa taifa? Wanasema labda kwa vile ni mwislamu bibi titi mohamed. Mimi hii radio siielewi hembu wadau leteni maoni yenu hapa, kama una redio wasikilize mada inaendelea.
 
Kuna mdaharo unaendelea kwenye hii radio wao wanasema uhuru wa tz uliletwa na waislamu na si nyerere

Ni kweli kabisa na mimi nawaunga mkono 100%

HISTORIA ya TANU ingelipotea kabisa kama siyo juhudi za makusudi za Profesa John Illife wa Cambridge aliyekuwa mwalimu wa historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika miaka ya katikati ya 1960.

Illife alipogundua tatizo lililokuwapo katika historia ya uhuru wa Tanganyika na hasa historia ya TANU na nafasi ya Julius Nyerere katika kuanzishwa kwake alifanya azma ya kuitafiti na kuiandika. John Illife aliwaagiza wanafunzi wake kutafiti na kuandika maisha ya wazalendo waliofanya mambo ya kutukuka katika sehemu zao. Zoezi hili lilipokamilika palipatikana historia za wazalendo wengi na kazi hii ikazaa kitabu Modern Tanzanians ambacho Iliffe alikihariri na yeye mwenyewe akiwa mmoja wa watu waliochangia uandishi akaandika maisha ya Martin Kayamba.

Kitabu hiki kina habari za maisha ya Watanganyika 12 ambao waliishi miaka ya mwanzo ya karne ya ishirini wakati wa utawala wa Wajerumani hadi kufika kwa Waingereza. Katika kitabu hiki kitu kimoja kinachojitokeza dhahiri ni kuwa wazalendo wote walioshiriki katika kutafuta Uhuru wa Tanganyika walikuwa Waislam. (Kleist Sykes, Ali Ponda na Hassan Suleiman) wao maisha yao yalijikita katika siasa za ukombozi wa Tanganyika kutoka ukoloni wa Waingereza wakati wenziwao Wakristo Canon Kolumba Msigala, Pastor Yohane Nyagava na Bishop Jeremiah Kissula) historia ya maisha yao ilikuwa katika nyanja za utumishi wa kanisa.
Hali hii imeendelea hadi ilipofika wakati wa kuasisiwa kwa TANU.

Katika ukweli huu ndipo palipo tatizo la wanahistoria kuiogopa historia ya kweli ya TANU kwa kuwa harakati zilichukua mkondo mkali wa Waislam kupinga ukoloni kwa dhati. Kwa ajili hii basi historia nzima ya kudai uhuru imejaa majina ya Waislam. Hili ni moja ya sababu inayofanya historia hii iwe nyeti, iogopewe na isitafitiwe na kuandikwa inavyopaswa.

NAOMBA UFATE HII LINK HAPA KWA MAELEZO ZAIDI: Wako wapi mashujaa wa Uhuru Tanganyika?

Kuna mdaharo unaendelea kwenye hii radio wao wanasema uhuru wa tz uliletwa na waislamu na si nyerere, wanadai haina maana ya kumbuka mwalimu wakati historia imepotoshwa, wanasema nyerere alijikita ktk kujenga makanisa na sio misikiti, wanauliza kwa ni kuna baba wa taifa hakuna mama wa taifa? Wanasema labda kwa vile ni mwislamu bibi titi mohamed. Mimi hii radio siielewi hembu wadau leteni maoni yenu hapa, kama una redio wasikilize mada inaendelea.

Sitajaribu na wala sitafanya makosa kusikiliza hii radio,ni kati ya radio za ajabu sijapata ona.........Uislamu ni dini moja safi sana,ila kuna watu wachache au taasisi chache wanaitumia vibaya including Bakwata,CCM na Radio kama hizi...
 
ukiifatilia hii redio utagundua hatuna serikali..hawa jama kwa takribani mwaka tangu niwajue wamekuwa wakieneza chuki mbaya sana sijui mwisho wake..
 
Lakin huyu Nyerere alikuwa na Msaada gani kwa Wazanzibari hadi leo hii twalazimishwa kukaa majumbani kwetu ati kumuenzi! Dogshit!! Ye si ni baba wa Taifa la tanganyika ambalo kaliua mwenyewe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom