Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Mwalimu alikemea kubaguana kwa kigezo cha udini,ukabila na mengine mengi.Serikali iliyopo madarakani ikishirikiana na ccm wao ndio wa kwanza kueneza udini Kama tulivyoona ktk uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga.Iendeleee tu kukaa kimya ktk hili lakini ikumbukwe hili ni bomu linatengenezwa nao na litakuja kuyagharimu maisha ya Watanzania hasa wa hali ya chini tunaotumika vibaya kama cond..m.