Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Kweli waislam ni wapuuzi aisee.Kama kuna siku mmewahi kukatazwa kujenga shule,kusoma au kunyang'anywa shule na serikali hebu tuambieni,siyo mnaishia kulalama tu bila sababu nyie si mnadhani kutawaza na kuswali swala tano ndo elimu na tutaendelea kuwakimbiza tu,na hata mkianzisha jihad tutawatonesha washenzi nyie.Clip za kikao chenu cha uchochezi mlichofanya UDOM tunazo na tutazisambaza,kusoma hamtaki mnakalia majungu tu,vimeo kweli nyie!
 
Elimu ya magharibi na huku mnaililia,na mtalia mpaka huyo mtume wenu afufuke.Mnaacha kuingia darasani mnaishia kusoma madrasa tu na mtaishia la saba hivyohivyo...
 
Huo ni ujinga........... Mnalalamikia university nyingi ni za kikristu wakati nyie hamuanzishi zenu...!!!??? Haya sasa kuna mabenki mengi yanaanzishwa na wakristu............Haki ya MUNGU kuna siku mtalalamikia hilo...........Nyie badala ya kuanzisha Benki zenye maadili ya kiislamu wenyewe mnajiingiza kwenye mabenki mengine............. THE SAME TO MAHAKAMA YA KADHI....ANZISHENI WENYEWE
 
mi nadhani hawa waislam wapo sawa na wanasema ukweli kwani ni wazi kabisa mpango mzima wa kanisa katoloki kutaka kumfanya mtakatifu wakati alikuwa mwanasiasa na sio mtumishi wa kanisa ni dalili tosha kwamba katika utawala wake alikuwa akiongoza kwa mfumo kristo na sasa kwa kuwa nchi inaongozwa na mwislam imekuwa kero kwa maaskofu wameamua sasa kumpiga vita ya wazi huku wakiwatumia wafuasi wao ambao hawana uwezo wa kufikiri juu ya kuacha ukafiri wao pamoja na chama chao cha chadema

kwa taarifa yako radio iimani mpaka ifike mwishoni mwa mwezi wa 6 itakuwa imeenea tz nzima na itakuwa ndio redio itakosikilizwa katika majumba ya waislam.

You must be sick in the head.
 
Kaazi kwelikweli nilikuwa sijuwi....kumbe ni heri 10x madrasa kuliko chr. seminaries ambako watu wanasoma wala hawaelewi na wala hawaelimiki ila bahati ni kwamba elimu ya huko inafananishwa na ile ya magharibi ambako watu wanasoma na wanaelewa na inawasaidia kuziendesha nchi zao. Nimekunukuu wewe mchemsho kama mfano wa mazao hayo kwa sababu ulipotoa hii comment wala hukujua kuwa wakristo wa Nanjota, mkarakate na chiwata kule masasi ni masikini wa kutupwa na siku zote wanaishi kwa kuwa vibarua tena pengine kwa watu wengine ambao ni waislam. Anyway ndiyo maana nchi hatutaendelea makanisa yametuzalishia wasomi uchwara wengi mno, na nikisikia kuwa hata huyo Gamba kuu ni zao la huko basi napata uchungu sana na haya makanisa.
Hapo kwenye RED..............Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri
 
mkuu mchemsho hujakosea,
kwa kweli wakristo wamesoma na ndo maana miaka hii 50 ya uhuru wa bendera tunaona maendeleo kila nyanja ya maisha. kipato sasa hivi cha mtanzania wakawaida ni US dola 50 kwa siku.
Ni bora kukaa kimya kuliko kujisifia kuwa mmesoma wakati mmelifanya taifa liwe masikini kuliko yote duniani huku likipitwa hata na nchi ambazo zina vita kila siku. shame on you mchemsho wa kitimoto/umbwa.
JK na Dr Omari Juma kabla hajafa aliwaeleza muache kulalama lalama, rekebisheni mnavyovilalamikia....
 
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.

Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.

Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!

Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.

Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa "intelijensia" ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani

Wana JF naomba kuwakilisha

Hiyo kauli ni ya kweli na kinachonisikitisha nimeanzisha thread ya Ni Jinsi gani Nyerere alivyo umaliza uislamu afrika mashariki ikiwa ni pamoja na Zanzibar na Uganda.

Ninasikitika kusema moderators wenyewe ni "Wadini" kwani hiyo thread ina ushahidi wa kutosha lakini mpaka sasa hawajaiweka hapa Jamvini watu waidiscuss.

Nataka nikuulize unajua maana halisi ya CCM? "Christian Church Movement" halafu Masheikh wakisema nchi inaendeshwa na mfumo kristu mnakataa? Tatizo muislam akizungumza kuhusu masuala ya dini yake "mdini" lakini kwa wasikuwa waislamu ni sawa!!
 
Wakristo ndivyo walivyo hawaishi kuomba msaada kwa serikali iwaokoe dhidi ya imani nyengine hasa uislamu.Hawawezi kujitetea wenyewe kwa hoja.
Eti...Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga..
SI nyinyi mnasema waislamu hawakusoma mbona wanaendesha redio yao kitaalamu mpaka inawatetemesha nyoyo. mnaomba ifungiwe ?.
Tatizo lenu wakristo munajitia mumesoma kumbe hamukuelimika.Wizara karibu zote na mabaraza ya miji na majiji mumeshika nyinyi lakini wenyewe ni mashahidi kwamba Tanzania haina maendeleo na kwamba imezongwa na ufisadi.
.
 
Unataka Kikwete a-justify namna gani kwamba kuna udini Tanzania? bila kuwatuma hao mashehe mbumbumbu kwenye redio na kufanya mihadhara isiyokuwa na tija?

Wametumwa hao kuna wakati kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka jana pia nishawahi kusikiliza hiyo redio ikimcritisizi Dr.Slaa kwamba ni mtu anayependa udini sana so kwa hili pia sishangai kabisaaaa..... wako kazini wametumwa nashindwa kuelewa hao wanaojiita kupokea taarifa za kiinterejensia kwa nini wasizitumia kuzuia vitu kama hivi ....full nonsense issues wanaziweka ili kuwahadaa wale wenzangu na mimi wasioweza kuchakatua jambo/mambo na waamini kwamba udini ni kweli upo ..

Si busara kumuambatanisha Rais wetu na mashekh wanaotaka kuvuruga amani. kwani mheshimiwa rais ameonesha wazi kuwa yeye ni mzalendo na hana udini. kumhusisha kikwete na wahalifu ni kutibu donda kwa kuongeza chumvi. tuwe makini na mijadala.
 
Kimsingi maneno yako ni ya kweli. Tunahitaji amani. Hatuhitaji midahalo itakayotuondolea amani yetu. Lakini umukosea kuwa waislamu hawakurudishiwa Hospitali wala shule kwa sababu hawakuwa na kitu walichotaifishwa, kwani walikuwa nacho walau kidogo. kwa mfano hospitali ya Muhimbili ilijengwa na Sewahajj ambaye ni mwislamu. Majengo mengi yaliyotaifishwa yalikuwa yakimilikiwa na waislamu na yakachukuliwa na msajili wa majumba. Hata shule zilikuwepo chache kama Ujiji primary iliyoko Ujiji Kigoma
 
Don't panic everything is under control because the God we worship is alive and He is a God of Peace. Just kneel down and pray for this peace to prevail in our country. Wengine mtasema hakuna amani, just think of Libya, Egypt, and all those countries where there are killings of innocent men and women plus children for whatever reason!!!
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.

Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.

Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!

Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.

Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa “intelijensia” ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani

Wana JF naomba kuwakilisha
 
He mnapendana kishenzi!!!! Maana yake nini? Nimetoka kapa bila bila!!!
Hatugombani ng'ooooo kwani sisi wengine familia zetu zimechanganyika waislamu na wakristo tena wakatoliki na tunapendana kishenzi.
 
Udini? Mitaa yote ninayobahatika kwenda siuoni huo udini? Naona hii ni nadharia ya mtu au watu fulani kujustify kitu fulani. Mitaani sijaona vurugu za udini kama zinazotokea Nigeria!! Mbona tunaishi tu vizuri! Watanzania tupuuze hii mijadala ya udini!! Solution to every person's problem is to go to school and study very hard. Yaani, excel in your studies. Faulu uende chuo kikuu na upate degree zote. Inferiority complex itaishi na wewe utaishi a modest life if not a rich man's life. Suala si kusoma shule, bali ni kufaulu ufike "there is no scchool beyond there"!!! Ukisoma ukapata division four au zero ni sawa na kutosoma na hiyo elimu haitakusaidia kitu.
Mdau, binafsi nakupongeza kwa kuliona hilo na kuona kwamba ipo haja ya kutoa angalizo kwa kile ulichokisikia kupitia redio hiyo inayomilikiwa na taasisi ya dini ya Kiislam.

Kwangu mimi, cha msingi ninachokiona kwenye mada yako ni kuhusu uchochezi wa kidini unaofanywa na Redio hiyo na maafa yanayoweza kulikumba taifa letu kama hatua za haraka hazitachuliwa kudhibiti hali hiyo. Mimi binafsi sina tatizo na hoja yako. Kimsingi ni angalizo linalopaswa kuungwa mkono na kila mpenda amani. Hata hviyo, ninachotaka kuongeza hapa ni kwamba, hali ya mustakabali wa kidini katika Tanzania kwa sasa ni tete. Na hili halina ubishi hata kidogo, labda iwe kwa mtu mwenye hulka ya kubishia kila jambo ndiye pekee anayeweza kupingana na ukweli huu.

Hali tuliyo nayo sasa hapa nchini haishirii dalili njema hata kidogo mbele ya safari. Zinahitajika hatua za maksudi kabisa katika kukabiliana na hali hii kabla bomu halijalipuka. Ni vema watanzania tukatambua kwamba machafuko yenye sura kama hizi za kidini mahali popote yalipopata kutokea duniani, hayakuja kama mvua au kwa bahati mbaya, la hasha!. Machafuko yalianza kama masihala kwa njia kama hizi hizi za chochoko, malumbano,na uchochezi wa chini kwa chni kama tunavyoanzashudia hapa kwetu Tanzania.

Binafsi sipendi kuhukumu kwamba ni dini gani hasa ndio inayoonesha dalili za kutaka kutupeleka kwenye machafuko ya kidini ambayo ni machafuko mabaya kupita machafuko mengine yoyote katika dunia hii. Nasita kufanya hivyo kwa sababu imani yangu inanizuia kukuhukumu na kusisitiza zaidi kuchunguza boriti ndani ya jicho langu kabla ya kutoa kibanzi katika mboni ya jicho la mwenzangu. Hata hivyo, natambua dhahiri shahri kwamba mustakabli wa hali ya kidini hapa nchini imekuwa tete tangu mchakato wa uchaguzi Mkuu wa mwaka jana. Hivyo basi, ni wajibu wa kila mtanzania mwenye dini na asiye na dini kuliona hilo na kuchukua hatua kwa nafasi yake ili kuzuia dalili mbaya zinajitokeza katika taifa letu.

Na mwisho ninapendekeza kwamba, kama ilivyo hitaji la watanzania kuwa na Katiba Mpya, basi halikadhilika iwe hivyo hivyo katika jambo la kidini. Sio vibaya tukawa na mjadala wa kitaifa kuhusu hatma ya mivutano ya kidini iliyoanza kujitokeza hapa nchini. Na kwa njia hiyo pekee ndipo tutaweza kutoa fursa kwa kila upande utoe dukuduku lake na kisha kufikia muafaka wa pamoja. Lakini, tukiendelea kupuuza, kukejeliana,kutukanana na kushutumiana bila kuchukua hatua zozote haitatusaidia. Tukumbuke kwamba panapofuka moshi lazima pana moto!!

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!!!
 
Tatizo la ndugu zetu waislam ni kuendekeza dini hata mahali ambapo hapaitaji dini, na iwapo patahitaji dini basi wajifunge mkanda kutatua tatizo badala ya kulalamika na kueneza uongo. Hivi tujiulize hizo shule na hospitali za wakristo zilijengwa na serikali? Ilikotoka dini ya Waislamu ni matajiri sana. Ni Uarabuni. Waislamu wameutumiaje utajiri wa waarabu kujenga shule na mahospitali. Kwa nini misaada ya Waarabu huwa ni tende na misikiti kwa sehemu kubwa? Waislamu wameabiwa tafuteni elimu hadi uchina. Je, wao hilo wanalielewaje? Hakuna sababu ya kuwalalamikia wakristo bali wakafanye kazi ya ujenzi wa shule na mahospitali. Waislamu wenye mtizamo dhabiti huwatoa watoto wao kwenye shule za kiislamu na kuwapeleka kwenye shule za wakristo ambako hakuna ubaguzi wa kidini. Kwa nini hawa wenye mijadala wasijadili hilo? Ni vigumu mno asiye mwislamu kusoma katika shule zao. Ni shule ambazo maendeleo ya elimu ya kawaida huwa hafifu kwani shule hizo huwa kama madrasa. Walimu wao huendekeza dini zaidi ya elimu. Je hili walaumiwe wakristo?
 
Wakristo kabla ya mwaka 1992 mlikuwa na vyuo vingapi? (ZERO)

Baada ya MoU ya kuchota fedha za serikali bila auditing (Ufisadi) tena pesa za umma ndio mkajenga vyuo..mtasema vilikuwa vyenu??? wakristo??

Kabla ya hapo serikali ya kikoloni (kikristo) ilijenga maknisa na hospitali za kanisa kwa kutumia fedha za umma lini nyinyi mmejenga wenyewe?

Baada ya uhuru St. Nyerere alinyang'anya shule, vyuo na hospitali chache za waislamu zilizojengwa na waislamu huku akiacha za kanisa seminari ..ibaguzi uliofikia hatua ya juu naunyang'anyi wa haki

Baadaye MKapa akawarudishia baadhi shule za serikali kwa wakristo mfano mazengo, bugando, etc..lakini hawakurudusha hata shule moja ya waislamu..ubaguzi na unyang'nyanyi wa hali juu...

Hivi wakristo mnapenda sana vya dezo..au mnapenda uwizi..eti kuwahi ..ajabu..
 
bola mmeliona heli wakuu kwani mara nyingi hawa ndugu zetu wamekuwa wachochezi wa kidini, hawatupendi hata kidogo na ni wabaguzi nakumbuka tulivyo kuwa form 6 walijitenga kuanzia kula , story lakini kwenye kusoma wanakaa nasi tuka wapiga mkwala wajitenge nasi hata kwenye kusoma basi tukafanyikiwa kukomesha tabia yao wakaacha na kujumuika pamoja nasi.amen
 
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.

Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.

Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!

Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.

Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa "intelijensia" ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani

Wana JF naomba kuwakilisha

Kama hutaki kusikiliza si usifunguliee hiyo radio fungulia radio maria...yenye mijadala ya kijumuia..

Mbona kwenye jumuia zenu mnahimiza kumchagua slaa hakuna aliyewakemea nyie vipi??
 
Kama hutaki kusikiliza si usifunguliee hiyo radio fungulia radio maria...yenye mijadala ya kijumuia..<br />
<br />
Mbona kwenye jumuia zenu mnahimiza kumchagua slaa hakuna aliyewakemea nyie vipi??
<br />
<br />
ustadh, topical kwa ajili ya upendo wangu kwako kuna tenda mwana, ya kuchinja nguruwe, mshahara mzuri tu manta hofu. naomba jibu.
 
Mara baada ya uchaguzi tulisikia lecture nyingi kutoka kwa JK akitahadharisha jamii madhara ya kuchanganya dini na siasa kwamba hili kulinda umoja wetu ni vizuri viongozi wa kidini wakaacha kuingilia siasa. LEO hii Bakwata inaitisha press conference inawaambia waumini wa dini kiislamu wasipigie kura chadema, JK aliyotuhubiria madhara ya dini kuingilia siasa amekaa kimya.

Najiuliza je akitokea kiongozi wa kikristo akawaambia wakristo wasigie kura CCM je kutakalika nchi hii ? Tume ya uchaguzi ipo kimya, Tendwa yuko wapi kimya? Nchi hii umoja wetu ukivunjika hakuna wa kumlaumu bali ni Jakaya Kikwete kwa kufumba macho udini for political reasons wakati misingi hii ikivunjwa mbele ya macho yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom