Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Serikali inabidi ni lazima idhibiti na ipige marufuku mihadhara ya kukashifu dini nyingine. Kama ni mahubiri ongelea dini zako.

Hao waislamu waulizwe ni vyuo vyao vingapi vilitaifishwa na hawajarudishiwa? Au walitaka wakristo wawajengee mashule na vyuo wakati wao wamelala misikitini?

Waislamu wako nyuma kimaendeleo kwa sababu viongozi wao hawatoi kipaumbile kwenye huduma za jamii kama hospitali na elimu.
 
Do we have a government in Tanzania????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
mimi kwa kweli hiyo radio sielewi kabisa, haiwezi kuwa redio ya dini ile, vitu vinavyojadiliwa si vya kuijenga dini, nyingi siasa na wananyoka na vyama vya upinzani tu, labda waite radio imani-ccm hapo inaweza kueleweka , hawafai kabisa
 

Ndugu yangu, hizo ni hisia tu. Kwani hamna wakrito wanao-disco huko UDSM? Au akifeli mkristo ni sawa llakini muislamu akifeli anakua ameonewa?

Angalia matokeo ya form IV na VI top ten ni akina nani, shule za seminari zinaongoza. Ujue hawa waliofaulu vizuri form VI wana nafasi nzuri zaidi kuendelea kufaulu vizuri chuo kwa sababu ya msingi aliotoka nao huku chini na self displine aliyojengewa. Kama umeingia chuo na msingi mbovu na ukikumbana na mazingira ya uhuru wa chuo uwezekano wa kufeli ni mkubwa. Msidanganyane kuwa kufeli kwenu ni kwa sababu ya dini.
 

Ndio yale yale!
 
Dawa ni shule wasikimbilie kufuga majini na kuoa wanawake wengi, maaskofu wao wamebobea katika ilim ahera na ilimu dunia. waache kufadhili vikundi vya kigaidi hela zao na badala yake sasa wawekeze katika ilim dunia ya mwislam na wasiige kunya kwa tembo watapasuka makalio.
 
<br />
<br />
acha uwongo chuo gan kinatumia majina badala ya no. Achen kufikir upumbavu, mbona vyuo vya din vya kikristu havina ubaguz huo. Mfano st. Agustine kimewajengea mpaka msikiti ktkat ya chuo sasa nikuulize morogoro muslm kmejenga kanisa ktkat ya chuo? Wambien hao masheh wasome shule achen kulalamika ovyo. Ni vgum waislam kushndana na wkrsto swala la Elimu, tuliwatangalia cha kufanya kazen but kusoma
 
NINAVYO JUA RADIO IKISHA ITWA NI YA DINI FULANI HAITAKIWI IINGILIE MASWALA YA SIASA KAMA WAISLAMU WAMEANZA BASI NA WAKRISTO WATAANZA MWISHOWE HALI INAKUWA MBAYA HUO MRADIO HATA KWA BURE SISIKILIZI KWENDA SHULE MTU UNAKUTA AJUI HATA ENGLIS ANANGANGANIA KIARABU nendeni school
 

Nilipo RED.

Una uhakika kuwa radio haina wasikilizaji wengi? Je ina survive vipi.

Jifunze kuwa mvumilivu au kama imekuchoma TCRA wapo kwa ajili ya kupokea malalamiko yako.Peleka
 
Masuala ya kidini ni mapokeo tu toka kizazi hadi kizazi na kutoka taifa moja kwenda jingine. Ni Imani zinazojikita kutokana na mapokeo na nyakati. Kama wachina wangekuwa ni wasafiri sana enzi hizo pengine tungekuwa na dini ya kibudha, ama wayahudi na kadhalika. Lililo la msingi ni utaifa wetu zaidi kwani ndio tunaoujua ukweli wake zaidi kuliko dini zetu. Mfano, hivi ni mtanzania yupi anayeweza kueleza kwamba pamoja na waarabu kuja hapa nchini kufanya biashara ya watumwa na kueneza dini, je, ni kwanini basi hakuna waarabu weusi? Waafrika waliopelekwa utumwani walipotelea wapi? Je, ni kwanini ukristo ulitokea ulaya zaidi kuliko Israeli? Tuungane sisi ni ndugu hizi dini ni nyenzo zilizotumika kutugawa ili tutawaliwe. Tukishiriki kuziimba tutagawanyika na kurudi utumwani.
 

Tatizo la kupelekwa sunday school . Kila kitu kulalama tu. jamani lazima mjifunze kuvumiliana na mjue kutesa kwa Zamu
 
Nilipo RED.

Una uhakika kuwa radio haina wasikilizaji wengi? Je ina survive vipi.

Jifunze kuwa mvumilivu au kama imekuchoma TCRA wapo kwa ajili ya kupokea malalamiko yako.Peleka

Ile radio hawezi kumchoma mtu zaidi ya kuendelea kuwa radio iliyo dharaulika na kutokuwa na maana yoyote.
 

Wapo hao. Ukifika Oman wapo waSUR. hawa ni waarabu weusi ti. na wahindi nenda kule kusini maeneo ya madras (chenai), pondicherry mpaka Sri lanka.

Tembea uone
 
Sasa wewe barubaru , unaunga mkono radio ya dini kuongelea masuala ya siasa tena inakuwa upande wa chama kimoja, hivi hiyo radio haioni mazuri yanayofanywa na vyama pinzani ?
 

usichangie kwa mtindo wa kutetea dini yako, wewe kama msomi...........tafakari afu ndo uargue..........unaweza kutueleza uchochezi wa maaskofu kusiana na udini?????????????? Tell us pleaaseeeeeeeeees with convicining facts
 
MIMI NASEMA WANAKOSEA TU. WAKRISTO WANAAJIRI HATA WAISLAMU LAKINI WAO KAMA WAISLAM HAWATAKI KUAJIRI KWENYE VYUO, KWENYE MASHULE LAZIMA UWE MWISLAMU TU. NDIO MAANA KUNA SHIDA. MFANO HOSPITAL YA ANGLIKANA INAITWA BEREGA MGANGA MKUU NI MWISLAMU na MWISHO KABISA WAISLAMU WANGAPI WANASOMA ST AUGUSTINE NA PALE KUNA MSIKITI. HAPO KWELI KUNA TATIZO. Mimi niko tayari kumchagua Mwislamu kama tu ni mchapa kazi wala sibagui hata kama nina kampuni yangu mimi ninachojali ni kufanya kazi tu. Suala la dini ni issue ndogo sana. Na mimi nimekaa na baba yangu mkubwa alikuwa mwislamu lakini baba yangu kabisa alikuwa mkristo. Tuko poa mpaka leo na mimi huwa naenda kusali jumapili na baba anaenda msikitini Ijumaa. So what
 
nilipo red.

Una uhakika kuwa radio haina wasikilizaji wengi? Je ina survive vipi.

Jifunze kuwa mvumilivu au kama imekuchoma tcra wapo kwa ajili ya kupokea malalamiko yako.peleka

hata kama ina wasikilizaji wengi............why such topics????? Wakati wanajua kabisa madai yao siyo ya msingi
 
usichangie kwa mtindo wa kutetea dini yako, wewe kama msomi...........tafakari afu ndo uargue..........unaweza kutueleza uchochezi wa maaskofu kusiana na udini?????????????? Tell us pleaaseeeeeeeeees with convicining facts

Kusikika nchi nzima si hoja ? hoja huko inakosikika inapeleka ujumbe gani kwa wananchi ? hiyo radio ukweli haifai hata mkiitetea, itawaumbua
 
Hata mimi nilipigwa na butwaa wakati nasearch station nikasikia Radio Imam wanawaponda Wakristu.Kwa vile mie Mkristo niliamua kusikiliza.........................JESUS CHRIST............kumbe Waislam wanatuchukia sana Wakristo.......wanatuchukia mno!!!! Sikuwahi kujua hilo before..........wanatusagia meno, wanahamasishana kutuchukia!! Tena walipanga mikutano mingi kila mahali ili kuhamasishana kwa ajili ya hili
............i was shocked........kipindi kilichukua about three hours , ilikuwa siku ya jumamosi
 
Tuwaache Mashekh na Maaskofu waendelee, sisi wafuasi wao tupambane na nchi yetu, huwa sichangii kwenye haya yanaturudisha nyuma, watanzania tuna desturi ya kupendana sana with regardless ya dini zetu na makabila yetu.

you have a good theory but it is not practical, wewe isikilize hiyo redio uatanijib kama utabaki na hiyo theory yako.......utabadilisha tu! hata mie nilikuwa na hayo mawazo but now am sensitive.......indeed very sensitive...........am praying dat the BLOOD OF JESUS CHRIST TO SAVE US without dat............Christian we are finished!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…