Commentators wengi wa Uislam wanasema uislam kwa asilia unafundisha extremism. Kwa experience yangu, waislam wengi niliokutana nao ambao nimehisi wana elements za extremism unakuta hawana elimu sana. Kwa hiyo nadhani muislam ambae amesoma decently ni vigumu kuchotwa na extremism hata kama Quran ina strong elements za extremism.Dini zingine hata uwe umesoma kiasi gani, ule mtazamo uliokaa ki-udini unakuwa hautoki.
Hakuna tofauti kubwa kwa hiyo Radio na thread nyingi za uchechezi humu JF za wakristo za kukebehi, kudharau, kudhalilisha waislamu.... Sasa wameshastuka jasho kwenu, si mnafikiri nyinyi ndio wenye elimu haya sasa wacha wakuonyesheni.
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.
Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.
Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.
Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!
Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.
Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa intelijensia ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani
Wana JF naomba kuwakilisha
Kama kuna watanzania wanaosikiliza hiyo redio basi hawazidi mia tano. Wengi wao wapo tandale, manzese, tandika, temeke, gongolamboto na mbagala.
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.
Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.
Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.
Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!
Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.
Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa "intelijensia" ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani
Wana JF naomba kuwakilisha
Hakuna mwenye uwezo wa kuifunga radio iman, atakabiliana na NGUVU YA AJABU na ataharisha kila siku mpaka anakufa. Kwa taarifa yako:
1. sio lazima kuisikiliza
2. na hata ukiisiliza hupati chochote kwa sababu wewe ni kafiri.
3. hakuna hapa duniani mwenye uwezo wa kuifunga, hata ikitawala chadema na haitotawala labda mimi na kizazi changu tumekufa.
Acheni kuleta HOJA MAVI hapa. Halafu nashangaa mijadala kama hii inaachwam kwa kuwa inaubeba ugalatia. Eti mashekh hawana elimu, nyie mtakuwa na elimu wakati hata kuchamba hamjui. JIHESHIMUNI ndio nchii itakuwa na amani. Sisi tunajua kuishi na dini zote, tuna misingi yetu ya kuvumiliana na sio kunyamazisha HAKI. Wagala nchii hii mmebebwa sana na kodi zetu, tulieni ****** atufanyie mambo.

Ni kweli Waislamu walioendelea na wenye upeo mpana na ambao sasa wanaongezeka siku hadi siku hawawezi kukubaliana na uchochezi huu. Hivyo, tuishie kukemea tu bila kutumia nguvu nyingi kiasi cha kuwapasha kwamba wengi tumechukulia mawazo yao kuwa ni ya kichochezi yatakayoaminiwa na wabaya (waliopungukiwa akili) kama wao ambao ni wachache katika jamii yote hata ile ya Kiislamu na matokeo yake ni aibu tu kwao.
civilization starts from your words ... sorry .... mind that you do not discuss with nursery school children here .... ohhhhhh yes...these are the fringe benefits of brainwashing practiced by extremists and fundamentalists
Hakuna mwenye uwezo wa kuifunga radio iman, atakabiliana na NGUVU YA AJABU na ataharisha kila siku mpaka anakufa. Kwa taarifa yako:
1. sio lazima kuisikiliza
2. na hata ukiisiliza hupati chochote kwa sababu wewe ni kafiri.
3. hakuna hapa duniani mwenye uwezo wa kuifunga, hata ikitawala chadema na haitotawala labda mimi na kizazi changu tumekufa.
Acheni kuleta HOJA MAVI hapa. Halafu nashangaa mijadala kama hii inaachwam kwa kuwa inaubeba ugalatia. Eti mashekh hawana elimu, nyie mtakuwa na elimu wakati hata kuchamba hamjui. JIHESHIMUNI ndio nchii itakuwa na amani. Sisi tunajua kuishi na dini zote, tuna misingi yetu ya kuvumiliana na sio kunyamazisha HAKI. Wagala nchii hii mmebebwa sana na kodi zetu, tulieni ****** atufanyie mambo.
Mwanzo umeanza vizuri nikashawishika kukusoma.Mwishowe umeongeza ushahidi uliopo juu ya mfumo kristo.Mimi la kufelishwa makusudi nalikataa. Nilisoma Mtwara Technical na Dadi Yusuf Namtumba, aliongoza mchepuo wa "Mechanical" tangu siku ya kwanza hadi tunamaliza. Alipewa haki yake ya kuendelea na masomo Arusha Technical College. Katika familia yangu, babu mkubwa (kaka wa babu yangu) alifanya kazi ya jeshi huko Burma (leo Mynmar). Aliporudi kijijini, yeye na familia yake wakuwa waislam, ingawa wengine walikuwa bado wahehe (siyo waislam, sio wakristo; ukristo ukikuwepo ila ulikuwa bado mpya). Wakatoliki wakaanzisha shule (elimu dunia) na kuwasajili watoto wa wafuasi wa imani yao. Baba yangu akamshawishi babu mkubwa alimbadilisha jina baba mdogo (mtoto wa baba mkubwa) kutoka Ahmed kuwa Wailes ili asome shule ya wakatoliki (shule pekee kijijini wakati wetu ambayo ilisomesha watu wa imani yao). Kazi ilikuwa kubwa, kwani baba aliona hiyo ilkuwa ndiyo njia pekee ya kumsadia mdogo wake apate elimu, wakati babu aliona ni namna ya kumbadilisha mwanae imani. Baba akamwambia mdogo wake kuwa ukifika mbele huko utakuwa na uhuru wa kuabudu na elimu utakuwa nayo, Mungu akikupa uzima. Baada ya kuhitimu std 8, aliendelea na masomo Mkwawa High School (wakati huo). Alipokuwa anaingia A'Level alirudia jina lake la Ahmed. Matokeo ya mitihani yake (PCB) alitolewa hihalali, akapata scholarship kwenda kusoma udakitari; na hadi leo ni dakitari. Ingawa baba hakuwa Mkristo wala Mwislam, alijua faida ya elimu. Hata palipo na shida, vikwazo; tufikirie namna ya fanikiwa sio visingizio na kuchafuana. Tunaweza kuwaadhibu wale tunaohisi wanatusababishia matatizo, lakini tukashindwa kujiendeleza wenyewe wakati wale wamekwisha wamaliza.