Tusiougua Mafua, Homa na Vifua Kipindi hiki ni Sisi tu 'tuliobarikiwa' Damu ya Group O+, hivyo tujuane ili 'tumshukuru' Mwenyezi Mungu

Mimi ni B+, sina mafua aina yoyote. Nanaoishi nao wote wameugua.

Nadhani ni bahati aliyonijalia Mwenyezi Mungu. Nina miaka saba sasa sijaugua. Alhamdulillah!.
Una group sawa na mimi, kwakweli Mungu katujalia sana. Huu ni mwaka wa 10 nina card ya BIMA ya Afya(mimi ni mtumishi wa serikali) lakini card yangu nimeitumia mara mbili tu kwa miaka 10.
 
Mimi sijawahi kuugua Malaria, typhoid, UTI,homa homa toka nimekuwa na akili zangu..zaidi Sana ni kichwa,tena kinakuwa na sababu.hangover,nikiwa kwenye mkusanyiko wa watu wengi au marashi makali..zaidi ya hayo naweza kudunda hata miaka 3 sijaumwa chochote..hata mafua sikumbuki lini yamenishika.Namshukuru Sana Mungu kwahilo..0-
 
Mi Nina group A na ninalala na mtu na mafua makali na sijapata
 
Na mimi group O+ lakini mafua ya kipindi hiki yamenipiga vibaya sana
 
Mkuu hayo magroup ya damu ni ya watu wengi sana tu, labda hapo Jkt ndiyo mlijikuta wachache.

Group la damu ambalo wanalo watu wachache ni AB.

Sifa ulizotaja za group O kuongeza kila aina ya group ni sahihi.
 
Mi mwnyw ni 0+,,ni kwel uyasemayo hili group la dam ni gum kupata magonjwa hasahasa HIV Nina mifano hai
 
Tulio kombolewa kwa damu ya Yesu pia tupo tunaendelea kudunda juu uso wa nchi ya walio hai.maana imeandikwa na furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyetu huzuni na kuugua zitakimbia .
Hivyo mangojwa ndo yanapaswa yanikimbie mimi na si mimi niyakimbie.
 
Hata mimi nilishawahi kusikia kuhusu gesi tumboni na hiyo ni baada ya kulalamika miaka mingi sana na hata jana nimetoka kuumwa tumbo kisa gesi halafu ulcers ni kama zimegoma kutibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…