dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,344
Bado ujaolewa ?Aaahh jamani mimi kutumbuliwa ndo imekuwa topic? Naedit post
Bado ujaolewa ?Aaahh jamani mimi kutumbuliwa ndo imekuwa topic? Naedit post
Huu ni uzembe sanaNimejikuta nawaza tu, kwanini tusiwe na jukwaa la watu tusiokuwa na kazi rasmi za kufanya.
Wengine tumetumbuliwa hivi karibuni, wengine wamemaliza vyuo bado wanatafuta na wengine wana kazi lakini siyo ya maana ili mladi tuu siku ziende.
Hata mwenye job vacancies anaweza akatupata humu tukasaidiana maana hali hii siyo kabisa.
Vyuma vimekaza kila kona. Tujipigishe zetu story humu tujuzane ilikuwaje ukajikuta huna kazi.
Karibuni wadau.
ndo nashangaa nikiona mwanamke hana kaziKwahyo wanawake wote wana kazi
Ha ha ha haBando halijawahi kuwa tatizo
Pole sanaYeah bado na sihitaji
Wala usi edit ulicho leta ni idea nzuri litapo anzishwa group hilo humo ndani watapatikana watu wa kusaidia na kutoa ushauri ila nadhani ki maudhui baadaye litaanza kufanana na group la kazi/Ajira
Hujanielew ww. Nitafutie basi shamba nisimamie