Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
Ok, sawa!.... Ulishapata mtoto lakini sawa na lile tamanio lako au niingilie kati?Yaishe
Ok, sawa!.... Ulishapata mtoto lakini sawa na lile tamanio lako au niingilie kati?Yaishe
Mshahara haujawahi kutosheleza mahitaji ya mfanyakazi,Maisha tuu maana mshahara wenyew kidog
Kweli kabisa ila naishi kwangu. So hainipi shida may be kodi baada ya miezi 5, sijui kama ntakuwa sina chakufanya hadi miezi hiyo ifikeLife tight aisee, hakuna stress mbaya kama kuwa huna shughuli ya kukingizia kipato, utakuwa mtu wa kunyanyasika tu hadi ukome!
Kwani haujapata kibarua bado aniva,Kweli kabisa ila naishi kwangu. So hainipi shida may be kodi baada ya miezi 5, sijui kama ntakuwa sina chakufanya hadi miezi hiyo ifike
Unataka kazi au unatafuta kazi?Bado bt mungu atasaidia soon
Gongo na bangi na 0713 zina madhara jikagueKazi yangu Ni Jf Na muajiri wangu ni maxence mello sina zaidi mshahara wangu ni kununua bando la jero kila siku
Njoo PM nikupe dili la kupiga hela halali bila jasho jingi.Nimejikuta nawaza tu, kwanini tusiwe na jukwaa la watu tusiokuwa na kazi rasmi za kufanya.
Wengine tumetumbuliwa hivi karibuni, wengine wamemaliza vyuo bado wanatafuta na wengine wana kazi lakini siyo ya maana ili mladi tuu siku ziende.
Hata mwenye job vacancies anaweza akatupata humu tukasaidiana maana hali hii siyo kabisa.
Vyuma vimekaza kila kona. Tujipigishe zetu story humu tujuzane ilikuwaje ukajikuta huna kazi.
Karibuni wadau.