... Tushirikishe Unachofanya Siku ya Leo...

... Tushirikishe Unachofanya Siku ya Leo...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
..Mi nimetoka Mazoezi nilianza Saa kumi kamili...mpaka saa kumi na Moja...ndo natoka kwenda kituoni kupanda daladala kuelekea posta...

Dar huu mji haufai unafaa...swala kuwah kuamka halina Mwanafunzi wa Chekea,vyuo kwa wale wanaokaa njee ya chuo,shule ya Msingi ,sekondari pamoja na wafanyakazi.....

Mi mwelekeo wangu ni Barabara ya Morogoro...

Haya zamu kwako.
 
Kuna foleni ama niendelee kulala?
Mie nimeamkia.mazoezi (lakini on bed). Nikasinzia kiduchu. Sasa najishauri kuachia kitanda.
 
Mie ndo narudi nyumbani toka lindoni kwangu, leo mbu walikuwa na hasira kama tumegombana
 
Bado nimelala najishauri niende kazini ama nizuge naumwa !!
 
Mie ndo narudi nyumbani toka lindoni kwangu, leo mbu walikuwa na hasira kama tumegombana

Una bahati kaka,hapa huyu jamaa wa kunipokea shift asipotokea ndio inanibidi niunganishe mpaka saa nane mchana,Duh...Halafu nikirudi hom naulizwa umeniletea zawadi gani....watatuua hawa wapinzani wetu...
 
Mi niko naperuzi JF then nioge chap....tatiba ya baadae ntawajulisha hasa ya lunch
 
Mie nishaingia kazin niko na 'furu eneji'...prepared kuwa kabili wateja wangu...sina blue tuesday.
 
Dah hongera mwaya mie nimeamka mvivu leo....cjifil kutoka kwa bed
Mie nishaingia kazin niko na 'furu eneji'...prepared kuwa kabili wateja wangu...sina blue tuesday.
 
Nipo njiani kwenda kujenga nchi. Taifa linajengwa na wenye moyo na linaliwa na wenye meno!
 
Duu mie ndio napiga teke..Mbagala/Posta. Usawa umenikalia vibaya, lakini yote heri tu!.
 
Nipo njiani kwenda kujenga nchi. Taifa linajengwa na wenye moyo na linaliwa na wenye meno!

Nilishtuka nilipoangalia muda ulipoandika post hii Filipo. kwa haraka nikadhani umetaja mtandao fulani wa fone. han han han!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom