Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Heheheee yan nawasiliana na JF kuliko my nanii lolhivi we una ndoa na jf??? yan kustuka tu break ya kwanza jf hata bila kupiga mswaki lolest!!!!!!
Heheheee yan nawasiliana na JF kuliko my nanii lolhivi we una ndoa na jf??? yan kustuka tu break ya kwanza jf hata bila kupiga mswaki lolest!!!!!!
me nipo njian to job... afu leo nina miguvu ka simba ati....
Dah hongera mwaya mie nimeamka mvivu leo....cjifil kutoka kwa bed
Vipi we ni kati ya wale looser mjamaa moja alikuwa anasem nini?
Mi nimetoka DIT kula Glas 4 za fruit mix,au mtori.
Nakusikilizeni tu,endeleeni tu kubwabwaja.
Yaani huna uhakika wa ulichokula ama!
Inawezekana aseee coz kudamka alfajir kwenda kumtengenezea mtu bilion 1 kwa wiki afu mie cna hata ka-vitz ka cyo loser ni nn?