Tupate wadhamini kidogo

Tupate wadhamini kidogo

Kuna yule jamaa alihojiwaga studio moja sikumbuki radio gani akiwa amelewa chakari akasema “Kichwa cha mwanaume mmoja aliyelewa chakari ni sawa na vichwa vitano vya wanawake wasomi wenye masters” akachukiwa kweli ila ndiyo ukweli ule.
Wanaume hao sio wa hapa Bongo, labda huko Kwingineko.
 
Tz west,
Naona ushamuona mganga wa kijiji nilichoenda yupo vhini ya kiwango, watu wanamuamini lakini mkuu 🤣
Confidence ya kumtapeli mganga sio kawaida
Wewe huyo hajakutana na waganga wasiochekesha! Uje uende igombe mwanza, ukerewe na shinyanga malampaka
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Aanze kutembea na baba wa mume wake ili mama yake awe mjane..!!

Akitoka hapo atembee na kaka, wadogo wa mumewe wote fagia fagia mpaka mabinamu..!!

Akimaliza hapo awape wajomba na baba wadogo..!!

Kama mababu wapo pia nao sio mbaya kuwabless..!!

Mwisho amalizie na washkaji zake wote wa jijini na mikoani..!!

NB; Hili zoezi litapendeza likifanyika within one week..!!
 
Back
Top Bottom