Uhovyoni
Member
- Jul 8, 2026
- 47
- 86
Wakuu Mimi nafanya kibarua Cha uwakala wa miamala. Kwakuwa bosi wangu aliweka mtaji kidogo mke wake aliniongeza kama laki tatu hivi japo alikuwa hajui kiasi Cha mtaji.
Aliniongeza Kwa makubaliano ya kutumia elfu2 Kila siku na Mimi nikijuwa kuongezeka Kwa kiasi hicho Cha mtaji kitanipa na Mimi balance ya kupata chochote kitu tofauti na mshahara.
Kiukweli Hali ilikuwa tofauti kwasababu sikuwa napata chochote zaidi ni bosi na mke wake ndo walifaidi mbaya zaidi nilikuja kupata loss na Ile hela ya mke wa boss nikai replace pale kwenye mtaji Ili nikiwa napiga hesabu na bosi iwe sawa wakati Mimi naendelea kuweka mshahara wangu kidogo kidogo Kwa ajili ya kulipa.
Sasa Hali imebadilika mke wa bosi anataka hela anasema ana shida nayo na mimi Kwa Sasa Sina, nimejaribu kuomba ndugu mkoani japo laki Moja nimpoze kwanza na maneno lakini ndugu hawana.
Nimewaza kutoroka nirudi nyumbani nikatafute hicho kiasi japo kidogo kidogo nilipe maana naona hapa tena Sina utulivu na hofu ni kubwa
NAOMBENI USHAURI WENU WAKUU