Tupate wadhamini kidogo

Tupate wadhamini kidogo

Jamaa aaliyepga chale kumuua mjuba, siku ukikuta analalamika katapeliwa na hajui cha kumfanya aliyemtapeli, je inamaana njia zile alizotumia mwanzo za mganga haazipigi kazi kwenye scenario ya utapeli,?

Sisi wengine imani ipo low sana aisee
Kila ulozi na formula yake😆

Mimi hayo mambo nayasikia tu jamani, hayajawahi kunikuta! Huwa nasubiri niwaone hao wanga siwaoni😎
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Me sinaga noma kabisa, kwanza huwa sipendi bato, naenjoy life, sipendi purukushani😁
We mzungu,
kuna wenzako wanapenda ligi, afe kipa afe beki kudadeki atahakikisha unajuta kumtambua! Kama yule koroe aisee🙌🏾
 
Kila ulozi na formula yake😆

Mimi hayo mambo nayasikia tu jamani, hayajawahi kunikuta! Huwa nasubiri niwaone hao wanga siwaoni😎
Naam na kawaida ya haya mambo karibu kila mtu hua anasikia tu 🤣
 
Mi nakuambia mkuu hayo mambo ni imani...
Utakuta hata hizo chale ni mkwara tu, kwanza hii story hakuna wa kuithibitisha kama ni kweli...

Siku hizi hao waganga matapeli ni wataalamu sana wa kupiga pesa za watu... story kama hii ikiwekwa huko Facebook wanajua tu watu wengi wataulizia huyo mganga... na wengi wanapigwa pesa...
Kuna mtu ameachana na mumewe anatabia km za huyo mume hapo hivyo hivyo kasoro chale tuuu.
 
Wapo wahusika we si unakaa mjini! Toka kidogo nje huko ukashuhudie mambo😆
Miezi kadhaa hapa nikikua ndani ndani huko mkuu, story ni kama zilezile tu, mganga anaingizwa kingi na mteja wake kwenye kilimo na maisha yanaendelea tu kama kawaida 🤣
 
Hiyo ya kutoka na ndugu wa mme ili jamaa aanze kuzika mmoja mmoja nimeipenda,dawa ya moto ni kuongeza petrol tu.
Hadi akija kushtuka,atakuwa kabaki yeye na ndugu walio mikoani
 
Miezi kadhaa hapa nikikua ndani ndani huko mkuu, story ni kama zilezile tu, mganga anaingizwa kingi na mteja wake kwenye kilimo na maisha yanaendelea tu kama kawaida 🤣
Ulienda vijiji vipi nije nikupe location moja kabambe😅
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ulienda vijiji vipi nije nikupe location moja kabambe😅
Tz west,
Naona ushamuona mganga wa kijiji nilichoenda yupo vhini ya kiwango, watu wanamuamini lakini mkuu 🤣
Confidence ya kumtapeli mganga sio kawaida
 
Sepa nikuroge ufe kama huyo mpuuzi mwenzako niliyempatisha ajali akafa 😁😁 hapo vipi mrembo
😂😂😂 huyu mwanamke mwehu naye, huko kuroga anajua bwana tu?
Aje hapa nimpeleke wanakojua sio kuroga ni kuharibu na kutengeneza.
 
kwa hiyo suluhisho ilikuwa ni kutembea na mubaba😃😃😃.......yaani kwenye maisha yako usishindane na mwanaume, ukijaribu kufanya hivyo umeharibu kila kitu, kaeni chini mzungumze ikishindikana kila mmoja apite hivi.
Inategemea mtu na mtu, wako wanawake wana battle na wanaume, na wanashinda vile vile
😂😂😂
 
Back
Top Bottom