Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,824
- 15,931
Yaaani kila nikisoma huu udhi hapo mwisho nasema wanawake siyo watu wa mchezo mchezo makaburi yatajipanga hapo kwao
Au inawezekana hataki kusepa labda mwanaume kaweka juju ndo maana anagandwa .Huyo mwanamke ni amempenda sana bwana? Maana km ana kipato binafsi cha kuhudumia familia bila huyo Malaya mzoefu, shida ni gani kwake kusepa?

😂😂😂Au inawezekana hataki kusepa labda mwanaume kaweka juju ndo maana anagandwa .
Mwanaume anayekuenda kwa waganga ni redflag![]()