Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,378
- 139,286
Kwahiyo angefanyaje hapo? Mnajikutaga miungu watu nyinyi🚮Wanawake hawanaga uwezo wa kufikiri.
An average african bila kujali jinsia yake ana uwezo mdogo wa kufikiri.Wanawake hawanaga uwezo wa kufikiri.
Sasa mtu anaye fikiri vizuri anaweza kumlilia mchepuko?Kwahiyo angefanyaje hapo? Mnajikutaga miungu watu nyinyi🚮
Ila huyo mwanaume kuwa Malaya ndio uwezo wa kufikiri??Wanawake hawanaga uwezo wa kufikiri.
Kwahiyo alitakiwa afanye nini? Jibu swali..Sasa mtu anaye fikiri vizuri anaweza kumlilia mchepuko?
Na kupanga kumlipia kisasi dhidi ya mtu anayelala nae kitanda kimoja!!
Aache uzinifu msaliti hana amani siku zoteKwahiyo alitakiwa afanye nini? Jibu swali..
Sepa nikuroge ufe kama huyo mpuuzi mwenzako niliyempatisha ajali akafa 😁😁 hapo vipi mremboHuyo mwanamke ni amempenda sana bwana? Maana km ana kipato binafsi cha kuhudumia familia bila huyo Malaya mzoefu, shida ni gani kwake kusepa?
Halafu ndoa ya kikristo kutegemea kanisa litatue ni uongo, yeye afanye maamuzi kwa kuwa uchumi anao, akusanye watoto na kila kitu chake aende kwingine akaanze maisha mapya.
Yaan Pa1 na yote hayo anavumilia tu? Kisa nitaonekanaje kwa jamii? Au status ya kuwa mke wa fulani ili haki hiko ndani ni pachungu, Lol.
Polee yake.
Kwanza huyo jamaa anampenda sana mke wake, wanaume tunajuana...Kwahiyo alitakiwa afanye nini? Jibu swali..
Ila Mwanaume aaanhh!! Aendelee kusuuza rungu tu..Aache uzinifu msaliti hana amani siku zote
Huwezi kumzuia mwanaume kuchepuka...Ila huyo mwanaume kuwa Malaya ndio uwezo wa kufikiri??
Mnajichagulia vya unafuu! Angekuwa huyo dada ndio anaanzisha matatizo mngebwatuka vibaya mno kwenye comments, ila kwavile mnajuana basi mnamchagulia maamuzi! Mtu anapita na majirani marafiki wote eti atapunguza ujinga! Dawa ya moto ni moto!!Kwanza huyo jamaa anampenda sana mke wake, wanaume tunajuana...
Pili huyo dada alipaswa kurudi kwao, huyo jamaa atamfuata na atapunguza ujinga kwa asilimia kubwa...
Huo sio uchepukaji ni ulimbukeni na ushamba wa k, hakuna muoaji hapo ni mpuuzi mmoja tu!Huwezi kumzuia mwanaume kuchepuka...
Ila unaweza kumuwekea standard akachepuka kwa kukuheshimu.
Imeandikwa jino kwa jino, ila mimi nawaambieni msishindane na mtu mwovu, mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia, mtu akitaka kanzu yako, mpe na joho pia, mtu akikulazimisha kukimbia mile moja ongeza zaidi😃Kwahiyo angefanyaje hapo? Mnajikutaga miungu watu nyinyi🚮
FafanuaAmpige stroke awaite hiyo michepuko yake imuuguze wakati huo ana enjoy life.