50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 3,885
- 3,751
🤣 🤣Kabla hatujatongozana tuoneshane na vyeti vya kuzaliwa😂😂
hatari sana
🤣 🤣Kabla hatujatongozana tuoneshane na vyeti vya kuzaliwa😂😂
Katika ndoa hasa mijini wanaume wengi ni wajinga ndio maana zinawakuta zahama mbalimbali kuanzia kunyonywa kimatumizi hadi kunyang'anywa mali na wake zao ndoa zinapovunjika.Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hao wana ndoa.
Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni Mkristo owa Mkristo mwenzako.
Issue ni ngumu, Mkristo kaka mwanamke muislamu kipindi mahaba ndindindi, Sasa ndoa imejibu Watoto Wawili, mwanamke wote anadai ni Watoto wake na wote wanapenda madrasa za kiislamu.
Sasa sitaki mada hii iwe ni mihadhara au jukwaa la kukashifu dini nyingine, nimeweka hii mada ili kuitwa ushauri wa bure.
Ikiwa mwanamke na mwanaume mmekubaliana kuweka dini zenu pembeni na mfunge ndoa bomani basi jitahidini na swala Watoto mkubaliane wakizaliwa wafuate imani gani au mgawane vipi urithi wa imani kwa Watoto na kwa hali ya Sasa muandikishiane kisheria ili lisilete tabu baadaye.
Nawapenda sana Mama zangu na Dada zangu lakini ukweli uko wazi wao ndio tatizo, wanaume huwa hawana ligi za kijinga.
Nimewashauri acheni Watoto wakiwa adult wachaguwe imani wanayotaka ila mke wa ndoa anasema Watoto ni wake, ila kimoja kipengele cha school fees mke ndio anatambuwa kama Watoto wana baba.
Nimehairisha hii case namuomba Mungu anipe busara sijui muhafaka utapatikana vipi? Inasikitisha sana Watoto wadogo kuwaharibu kisaikolojia kurithi dini za wakoloni.
Kwakweli mnaotegemea kuowa au kuolewa na watu wa dini tofauti msilipuuze hili muandikishiane kwa Wakili kama mlivyofunga mkataba wa ndoa serikalini.
Wacha nipate kwanza lager zinipe hekima kulimaliza.
Huyo mzee anautashi mkubwa lakini inaonesha hakupita madrasaUpande wa baba yangu wote ni waislam…..
Baba yangu kaja kuoa mama ambae ni mkristo watoto wote 7 ni wakristo hakuna hata alieenda kwa baba
Mzee mwenyewe alikuwa anatupeleka mpk mlangoni kanisani hataki mtu nyumbani jumapili ila yeye hajawai kuingia kanisani
Kwaiyo sisi tumeongeza ukoo wa kikristo kwenye familia ya mzee
Ni raha na Hakuna vita wala sijawahi kusikia wakigombana kisa dini
Hao ni wazee wa zamani sijui wa sasa kama munaweza
Baba yako ametawaliwa na mama yako wala tusizungushe Maneno, na hili linakwenda kuathili maisha yako ya mahusiano moja kwa moja kwa sababu huwezi kuona makosa makubwa ya ubinafsi wa mama yako.Upande wa baba yangu wote ni waislam…..
Baba yangu kaja kuoa mama ambae ni mkristo watoto wote 7 ni wakristo hakuna hata alieenda kwa baba
Mzee mwenyewe alikuwa anatupeleka mpk mlangoni kanisani hataki mtu nyumbani jumapili ila yeye hajawai kuingia kanisani
Kwaiyo sisi tumeongeza ukoo wa kikristo kwenye familia ya mzee
Ni raha na Hakuna vita wala sijawahi kusikia wakigombana kisa dini
Hao ni wazee wa zamani sijui wa sasa kama munaweza
Unaremba Maneno tu, Mzee ametawaliwa na mke wake, fullstop.Huyo mzee anautashi mkubwa lakini inaonesha hakupita madrasa
Huyu kwenye avatar ni wewe?Mwanamke afuate dini ya mume....kwisha mzozo.....mbwembwe nyingi dini zenyewe tumeletewa na jahaz hizi
No.... umeamkajeHuyu kwenye avatar ni wewe?
Ooh sawa,nipo salama kabisa shkamoo sister.No.... umeamkaje
Marahaba mdogo wanguOoh sawa,nipo salama kabisa shkamoo sister.
Afya yako vip?Marahaba mdogo wangu
Ni fresh KabisaAfya yako vip?
Jambo jema,kila lakher kwako uwe na Jpili yenye furaha ngoja niende kwa mama Samia yupo mtaani kwangu leo.Ni fresh Kabisa
Anha, sawa.mpe hi ya kumpungiaJambo jema,kila lakher kwako uwe na Jpili yenye furaha ngoja niende kwa mama Samia yupo mtaani kwangu leo.
Hakika hilo ni gumu sana. Umeongea ukweli mtupu. Nyege zinapelekea wapendanao kupuuza hayo makubwa yanayokuja mbeleni. Issue ya tofauti ya dini si jambo la kupuuza hata kidogo!Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hawa wanandoa.
Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni Mkristo oa Mkristo mwenzako.
Issue ni ngumu, Mkristo kaowa mwanamke muislamu kipindi mahaba ndindindi, Sasa ndoa imejibu Watoto Wawili, mwanamke wote anadai ni Watoto wake na wote wanakwenda madrasa za kiislamu.
Sasa sitaki mada hii iwe ni mihadhara au jukwaa la kukashifu dini nyingine, nimeweka hii mada ili kutowa ushauri wa bure.
Ikiwa mwanamke na mwanaume mmekubaliana kuweka dini zenu pembeni na mfunge ndoa bomani basi jitahidini na swala la Watoto mkubaliane wakizaliwa wafuate imani gani au mgawane vipi urithi wa imani kwa Watoto na kwa hali ya Sasa muandikishiane kisheria ili lisilete tabu baadaye.
Nawapenda sana Mama zangu na Dada zangu lakini ukweli uko wazi wao ndio tatizo, wanaume huwa hawana ligi za kijinga.
Nimewashauri acheni Watoto wakiwa adult wachague imani wanayotaka ila mke wa ndoa anasema Watoto ni wake, ila kwenye kipengele cha school fees mke ndio anatambua kama Watoto wana baba.
Nimehairisha hii case namuomba Mungu anipe busara sijui muafaka utapatikana vipi? Inasikitisha sana Watoto wadogo kuwaharibu kisaikolojia kwa sababu ya kurithi dini za wakoloni.
Kwakweli mnaotegemea kuoa au kuolewa na watu wa dini tofauti msilipuuze hili muandikishiane kwa Wakili kama mlivyofunga mkataba wa ndoa Serikalini.
Wacha nipate kwanza lager zinipe hekima kulimaliza hili.
hapo nilipoweka highlight na bold na rangi. Huyo mwanamke kama mm ndo mume wake hakuna rangi ataacha kuona. Basi tu kuna wanaume wengine ni wavaa suruali tu siyo wanaumeNitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hawa wanandoa.