Tungekopa Ndege (Boeing, Airbus) tungefaidikaje?

Ameyaongolea hayo yote uliyosema na hukusikilizwa. Rudia kumsikiliza ameeleza kwa kirefu na uwazi sana.
Nitajibu hivi. Hata Assad naye amejichanganya. Hata tungekopa bado tungekuwa kwenye wakati mgumu tu. Kukopa na kununua hakuna tofauti kwani mwisho wa siku kote unalipa, tena mkopo utalipa na riba. Kukopa kuna manufaa iwapo biashara ingekuwa nzuri na faida itumike kulipa deni. Biashara ya kukopa ambayo haingizi faida bado ni kimeo tena hata kuliko kununua cash. Tulitakiwa kwanza tufanye upembuzi, je tunahitaji kufufua shirika letu? Na kama tunahitaji ni kwa namna gani? Biashara ya shirika la ndege ni ngumu na mashirika mengi yanafilisika kila mwaka. Kutia chumvu kwenye kidonda covid ndiyo ilisambaratisha kila kitu.
 
Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.

Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.

Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Maswali yangu ni haya hapa chini.

1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?

2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?

Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
bibi yako alipokopa ada yako ya chuo[bodi ya mikopo] wakati aliweza kulipa cash ukasomea setifiketi ya kufuga nyuki alifaidika nini?
 
Uwanjani wakajaa watu wa kila aina kuona Dreamliner, hadi manabii na mitume!
Siku dream liner imenunuliwa nilicheka sana. Sikuamini kama vichwa vyote vile vinavyoongoza nchi havifahamu kama ule ulikuwa utoto au sijui nini!
Dream liner ,, kuitunza ni ghrama kubwa sana na tungefanyia biashara gani na B787! Dah! Ile ilikuwa kituko cha ajabu sana.
Lakini nimerudi kuwaunga mkono wanaotaka mabadiriko ya katiba kwani bila rais kuwa na madaraka makubwa kiasi kile asingefajiingiza kwenye huu mkenge.
Kama kweli mama ana nia njema na hii nchi ,,swala ni moja tu; KATIBA.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Good..!! Bajeti ya Wizara ya Afya unaifahamu? Kitu gani kilikwama mara baada ya ununuzi wa ndege nchini?
Ujui kama hata madawa ya mahospitalini mengi ni ya mkopo MSD? Kwanini dawa tusingenunua cash alafu hayo madege ndio tungekopa
 
Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.

Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.

Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Maswali yangu ni haya hapa chini.

1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?

2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?

Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
Wasalaaam ndugu zangu,naomba kukutaarifu kuwa mm n muumin wa mama samia kindakindaki,

Nilivyomuelewa sieijii mstaafu ni kwamba hakuna haja ya kulipa ndege cash wakati una uwezo wa kukopa hiyo siyo akili ya biashara,,kama una uhakika ndege itakulipa nenda kakope ulipe kidogokidogo alaf hyo ela cash kajenge hata madarasa mkuu.
 
Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.

Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.

Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Maswali yangu ni haya hapa chini.

1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?

2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?

Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
Kwanza je tulikuwa nahaja ya kununua ndege? Tukijibu hilo swali ndiyo tuje kwenye suala la je tungenunua kwa fedha taslim au mkopo?
Manunuzi ya ndege yalikuwa ndiyo kipaumbele cha watanzania?????
 
Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.

Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.

Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Maswali yangu ni haya hapa chini.

1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?

2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?

Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
Kwanza kabisa ndege hatuendi kuazima kwenye mashirika wanayotengeneza ndege kama Boeing au Airbus au Bombardier. Tunaenda kuazima kwenye mashirika yanahusika na uazimishaji wa ndege (Aircraft Financing Corporations) ambayo yamesajiliwa kabisa kufanya hii biashara.

Pili, biashara ya ndege haileti faida ya moja kwa moja hata kwa mashirika makubwa kama KLM, Continental Airlines au Delta. Kinachofanyika ni kwamba lengo ambalo shirika la usafirishaji inategemea kulitimiza ndiyo hilo huleta faida, shirika lenyewe la ndege haliingizi faida ya moja kwa moja: Mfano Fly-Emirates wao wanamiliki ndege lakini lengo kubwa sana ni kufanikisha biashara na utalii, hivyo biashara na utalii ndizo kazi ambazo zinazalisha faida ili kufidia uendeshaji wa mkubwa wa shirika la Fly-Emirates........

Sisi Tanzania tungekuwa tunafanya safari za kimataifa na utalii mkubwa, basi fedha ambazo zingepatikana kutoka kwenye hizo shughuli zingetumika kufidia gharama kubwa za uendeshaji wa shirika letu la ATCL. Lakini hola, GENGE LA WAJAMAA wakiongozwa na Mzee Magufuli, Bashiru, Kabudi na Polepole wakavuruga kabisa nchi yetu na utalii (Kazi ambayo ingesaidia kufidia faida za uendeshaji wa ATCL) ukaangukia pua.......

NCHI IKO AUTO-PILOT..........
 
Kununua ni moja! Strategy za kujiendesha vyema kibiashara ni mbili!

Una taarifa kuwa juzi bodi ya hizo ndege imeonekana ilikua na watu wasio na competency ya kutosha kuhusu aviation industry je waliingiaje kwenye bodi?

Pia usijaribu kukutoa kwenye mstari kuwa kuondolewa kwa CAG Prof Assad kulighubikwa na utata hasa baada ya kuhoji upotevu wa Trillion 1.5 za ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato chini ya ukandarasi wa kampuni ya Mayanga!

Sasa hata majuzi kulazimisha kwa route ya chato bila kuangalia faida za kiuchumi ilikua ni dalili kuwa hayo mambo yalisimamiwa na maamuzi ya mtu mmoja bila ushirikishwaji wa watalaam...
 
hizo ndege zimekuwa ni kikwazo kikubwa kwa usafiri wa nga nchini. toka zimenunuliwa gharama za usafiri wa anga zimepanda zaidi ya asilimia 300.

Matokeo yake idadi ya watu wanaosafiri kwa usafiri wa anga imepungua kwa zaidi ya asilimia 700.
 
Matokeo yake biashara nzima ya usafiri wa anga imeporomoka na kupelekea mashirika ya ndege ya kupunguza idadi ya safari, kupunguza wafanyakazi, na kusitisha uwekezaji zaidi katika sekta hiyo
 
Matokeo yake kupungua kwa mchango wa sekta ya usafiri wa anga katika ukuaji wa uchumi
 
Good..!! Bajeti ya Wizara ya Afya unaifahamu? Kitu gani kilikwama mara baada ya ununuzi wa ndege nchini?
Kutenga Bajeti na kuitekeleza ni vitu tofauti, Kasome utekelezaji wake ni kweli kuwa kuna Ongezeko kubwa la bajeti ila ukienda kwenye performance hadi mwaka unakwisha bajeti imetekelezwa kwa 61% tu. Fuatilia ripoti za Kamati za Bunge utaelewa ninachokisema
 
Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.

Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.

Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Maswali yangu ni haya hapa chini.

1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?

2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?

Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
Faida yakuto nunua cush national airlines au flag carriers Kama ambavo hutambulika kitaalamu...nikwamba ile 1trillion tuliotumia ingeelekezwa kwene miradi au mahitaji muhimu ya wananchi walio wengi Kama maji na elimu, maana si lazima hata hivo nchi kununua ndege Wala si kana kwamba faida yake nikubwa kiasi hicho..bado unaweza wekeza kwene viwanja vya ndege ndani ya nchi nakuacha private sector wakomae kwene biashara ya ndege huku wewe ukikusanya Kodi na viwanja vizuri na vingi bado tu ndege za mashirika makubwa zingeleta watalii kutoka kila pande......USA na nchi nyingi tu hazina national airlines ila zinaongoza kwene makusanyo kupitia Anga
 
!
20210410_235732.jpg

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hujatoa jibu, Hoja ya Aasad kupinga kununua ndege kwa Cash na ndiyo maana nauliza kwani tungekopa tungefaidika vipi zaidi ya tulivyozinunua?
1 trillion iliotumika ingeelekezwa kwene mahitaji ya muhimu kama maji,elimu na afya....huko ndo kufaidika zaidi Yani tungekuwa hatuja poteza investment ya 1trillion kwa mradi ambao unaleta hasara kubwa zaidi ya faida Bora tungekopa na zingetushinda tungeziuza tu hata Kama kwa hasara ingepunguza ile margin..kuliko upoteze investment capital yte na hasara juu
 
Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.

Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.

Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Maswali yangu ni haya hapa chini.

1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?

2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?

Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
Kulikuwa hakuna faida ya kununua ndege kubwa wakati hatuna uwezo wa kufanya safari za kimataifa.Ruti pekee ambayo ni salama ni india kwingine kote ndege yetu ikitua inakamtwa sababu ya madeni
 
Back
Top Bottom