Ngoja nikuulize swali mkuu. Wewe ni mfanyabiashara??? Au unajua jinsi biashara zinavyofanyikaUmelielewa swali langu bwa shekhe?
You are very right. Ushauri ulikosekana.Kwani kulikuwa kuna ulazima gani wa kununua hizo ndege? Wakati magufuli anaingia madarakani, Precision na fast jet walikuwa wanafanya vizuri sana kwenye soko la ndani!
Kwa nini tusingewekeza nguvu kubwa kuboresha/kujenga viwanja vingi vya ndege ili kuwavutia wawekezaji wengi zaidi? Tena ni kipindi hicho shirika letu la ATCL lilikuwa na ndege sijui mbili zile (mbovu mbovu) huku likiwa na wafanyakazi 200! Na hivyo kuifirisi tu nchi kwa kuwalipa wafanyakazi wasio fanya kazi!
Sasa mzee wako kwa kupenda sifa na kwa kutokupenda kushaurika au kujiridhisha kwanza, akakurupuka nakununua madege lukuki, likiwemo lile li dreamliner! Ona sasa zinavyo zalisha hasara!
Press yake uliisikia hasa kuhusu issue ya ndege au umesikia kwa watu....ngoja nikusaidie..Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.
Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.
Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
Maswali yangu ni haya hapa chini.
1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?
2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?
Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
Na ieleweke pia kwamba hao hao wanaoponda kununuliwa ndege kwa cash au kwa mkopo, ndio hao hao waliokuwa wanaponda serikali kutoimarisha shirika lake la ndege. Yaani ni ukisimama nch'ale, na ukikaa nch'ale.Ok nashukuru kwa ufafanuzi wako.
Basi kwa namna hii kumbe hakuna haja ata kupondea kununua Ndege Cash bali hoja iwe hatukuoaswa kuwa ndege za ATCL kwasasa.
Tulinunua ndege nyingi, kwa cash, na kwa wakati mmoja kwa sababu uwezo huo tulikuwa nao. JPM alikuwa muumini wa getting things done. Kama kitu kinawezekana leo kisisubiri kesho.Kununua hayo madege kwa cash kwangu mimi naona ilikuwa ni faida kuliko kuongeza riba na madeni.
Tatizo langu kwenye hayo madege, ni Kwa nini yalinunuliwa mengi kiasi hicho? Kulikuwa na demand kubwa sana kwenye soko la anga abiria kukosa ndege Tanzania kwenda anga za kimataifa?
Je? Tulipoleta Ile ndege ya kwanza mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa sana ikapelekea kuongeza ndege zingine kutosheleza mahitaji ya wateja?
Ushauri wangu, ndege zikinunuliwa kwa cash na soko la ndege ndani na nje ya nchi likiwa zuri linasaidia kupunguza hasara na kuongeza faida. Tungeanza na ndege mbili tu kwanza tushindane sokoni tutengeneze wateja kwanza.
Na kama tungekopa hizo Boeing na hazizalishi chochote tungefilisiwa kabisa uchumi wa nchi ungesinyaa tusipate pa kutokea.
Rejea kwenye sheria za manunuziHujatoa jibu, Hoja ya Aasad kupinga kununua ndege kwa Cash na ndiyo maana nauliza kwani tungekopa tungefaidika vipi zaidi ya tulivyozinunua?
Ebu Tusaidieni Jambo Moja Hapa, CAG kazi yake ni kukagua hesabu na ku establish kama kuna faida au loss kihasibu.CAG ametumia mwanya wa ripoti kwa sababu binafsi. Siku zote gharama ya kukopa ni riba, ndio maana haonyeshi tungetumia gharama kiasi gani kulipa huo mkopo. Angekuwa hatumiwi angeonyesha kwa comparison gharama za kununua kwa cash ni sh ngapi na gharama za kukopa ni sh ngapi.
Kuna dada mmoja kule twitta analaumu serikali kukopa trillioni 1.5 kwa ajili ya kujenga shule huku akilaumu kwa kununua ndege cash kwa sh trilioni 1.2. Kwa mtazamo wake anaona tungefanya swap ndio sahihi yaani tutumie cash kujenga shule lakinu tukope kununua ndege.
Halafu hao hao ndio huwa wanapiga kelele serikali imezidi kukopa na deni la serikali ni kubwa mno.
Mnakumbuka lile sakata la kukopa pesa za bajeti toka benki moja ya nje (standard ....) ambapo ilihusisha dalali ambaye alilipwa fee pamoja na mkwe wa mwanasiasa mmoja, JPM alivyoingia madarakani ikabumbuluka kuwa kumbe tulipigwa na watu wakawekwa ndani kwa muda mrefu (wametoka hivi karibuni).
Mikopo ni biashara inayolipa sana.
Jinsi siku zinavyosogea JPM atakuja kuonekana hero.
Mkuu ina maana hujui faida za kukopa huku ndege zikiwa zinajidhamini?Unafanya kuwa na cashflow nzuri.Ndege ikiwa haieleweki wenyewe wanaichukua.Ikiwa inaelewaka unaendelea kupiga kazi.Sasa hivi angalia madege yamepaki hatujui tuyapeleke wapi ingekuwa ni ya mkopo mengne tungewarudishia wenyewe wahangaike nayo.Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.
Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.
Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
Maswali yangu ni haya hapa chini.
1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?
2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?
Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
Kwaiyo kama unakopa na ushalipa labda bilion 100 na wenyewe mlikubaliana mtanunja bilion 200, hivo biashara imekushinda unawarudishia ndege yao na bilion 100 washachukua?Mkuu ina maana hujui faida za kukopa huku ndege zikiwa zinajidhamini?Unafanya kuwa na cashflow nzuri.Ndege ikiwa haieleweki wenyewe wanaichukua.Ikiwa inaelewaka unaendelea kupiga kazi.Sasa hivi angalia madege yamepaki hatujui tuyapeleke wapi ingekuwa ni ya mkopo mengne tungewarudishia wenyewe wahangaike nayo.
Tulia si umetaka majibu? Au unamajibu yako?Umelielewa swali langu bwa shekhe?
Ndio msana alitakiwa aionyeshe (quantification) ya hiyo loss kwa kukopa.Ebu Tusaidieni Jambo Moja Hapa, CAG kazi yake ni kukagua hesabu na ku establish kama kuna faida au loss kihasibu.
Hii inaitwa accounts loss, wachumi ndio hucheza na opportunity cost na viongozi huangalia nation prestige.
Kuwa na flag carrier kama ATCL ni nation prestige, sasa CAG hayupo kwenye opportunity cost wala nation prestige yeye huangalia hasara na fainda katika muktadha wa kihasibu. Kwa hiyo he is right??
Kabisa ndezi mbobezi.Huyo naye ni ndezi
Corona ilikuwepo Tanzania lini na kwani udhaifu wa utendaji siyo hasara quantifiable?Ndio msana alitakiwa aionyeshe (quantification) ya hiyo loss kwa kukopa.
Chukulia kuwa kipindi hiki cha corona mwaka mzima sasa airline hazizalishi, je riba ya mkopo naye ingesimama au deni lingeendelea kukua.
Pesa sh bilioni 15 iliyolipwa kwenda Wakala wa ndege za serikali ambayo iliikodisha ATCL nayo anaipigia debe kuwa ni part ya hasara ya sh bilioni 60 wakati ni udhaifu wa mkataba ambao angeshauri urekebishwe ili ATCL ilipie tu pale inapotumia hizo ndege na wakala wangekubali tu.
Believe me or not but this CAG report embedds ill intention.
Je what were the contingency plans na CAG ameainisha loss zimeanza five years back je huko nyuma loss ilikuwa mitigated vp. Mfano umefungua duka la sukari mwaka wa kwanza hadi wa tatu ukapata hasara mwaka nne pakatokea mafuriko je unaweza kuaccount mafuriko ndiochanzocha matatizo ya dukani kwako?Ndio msana alitakiwa aionyeshe (quantification) ya hiyo loss kwa kukopa.
Chukulia kuwa kipindi hiki cha corona mwaka mzima sasa airline hazizalishi, je riba ya mkopo naye ingesimama au deni lingeendelea kukua.
Pesa sh bilioni 15 iliyolipwa kwenda Wakala wa ndege za serikali ambayo iliikodisha ATCL nayo anaipigia debe kuwa ni part ya hasara ya sh bilioni 60 wakati ni udhaifu wa mkataba ambao angeshauri urekebishwe ili ATCL ilipie tu pale inapotumia hizo ndege na wakala wangekubali tu.
Believe me or not but this CAG report embedds ill intention.
Magufuli alisema kuwa asiponunua ndege basi Tanzania hatutakuwa na ndege kamwe:1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/ Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya tulivyozinunua kwa Cash?
2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?
Wewe ndie unaeshindwa kugundua kuwa umeshajibiwa japo swali moja. Hebu panua akili kidogoUmelielewa swali langu bwa shekhe?