Tungekopa Ndege (Boeing, Airbus) tungefaidikaje?

Tungekopa Ndege (Boeing, Airbus) tungefaidikaje?

Huoni watoto mpaka leo wanakaa chini, madarasa chakavu, vituo vya afya havina vitendea kazi vya kisasa, nitajie hospitali yoyote ya serikali kwa kanda ya kaskazini yenye CT scan na MRI machine?
Nafikiri ukizungumzia issue ya Hospital na uboreshwaji wa huduma za afya nchini, ukarabati wa shule kongwe na kampeni kubwa ya madawati iliyokafanyika kipondi cha hayati basi tunapaswa kumpa sifa zake kuwa hapa alipaona zaidi.
 
Kwani kulikuwa kuna ulazima gani wa kununua hizo ndege? Wakati magufuli anaingia madarakani, Precision na fast jet walikuwa wanafanya vizuri sana kwenye soko la ndani!

Kwa nini tusingewekeza nguvu kubwa kuboresha/kujenga viwanja vingi vya ndege ili kuwavutia wawekezaji wengi zaidi? Tena ni kipindi hicho shirika letu la ATCL lilikuwa na ndege sijui mbili zile (mbovu mbovu) huku likiwa na wafanyakazi 200! Na hivyo kuifirisi tu nchi kwa kuwalipa wafanyakazi wasio fanya kazi!

Sasa mzee wako kwa kupenda sifa na kwa kutokupenda kushaurika au kujiridhisha kwanza, akakurupuka nakununua madege lukuki, likiwemo lile li dreamliner! Ona sasa zinavyo zalisha hasara!
Kwani Mama Samia ameenda Uganda na ATCL au Bajaj ?
 
Hujawahi kwenda hospital ukaambiwa Dawa hiyo haipo? Unaijua hali ya hospital zetu Na wataamu wake kama manesi, madaktari? Huoni pa kuboresha? Vipi elimu?

Utakuwa haupo bongo wewe
Yupo bongo tena kijijini kwao kule jimboni kwao kwa Ndugaye
 
Hacha maswali yako ya kidwanzi.

....dikteta lenyewe baada ya kuugua korona lilikimbizwa kenya kisha india kwa kuwa lilijua hakuna health facility za maana apa bongo.

Au na wewe ni mdwanzi anayejivunia hospital izi za kata??

Inshort hacha udwanzi
Good..!! Bajeti ya Wizara ya Afya unaifahamu? Kitu gani kilikwama mara baada ya ununuzi wa ndege nchini?
 
Nafikiri ukizungumzia issue ya Hospital na uboreshwaji wa huduma za afya nchini, ukarabati wa shule kongwe na kampeni kubwa ya madawati iliyokafanyika kipondi cha hayati basi tunapaswa kumpa sifa zake kuwa hapa alipaona zaidi.
Taja amejenga chuo gani toka ameingia madarakani? B.Mkapa ni sawa na health centre zote Tz, Udom ni sawa na secondary zote o-level + advance na chenchi inabaki
 
Hujawahi kwenda hospital ukaambiwa Dawa hiyo haipo? Unaijua hali ya hospital zetu Na wataamu wake kama manesi, madaktari? Huoni pa kuboresha? Vipi elimu?

Utakuwa haupo bongo wewe
Ndiyo maana mleta mada nimembatiza jina la ndwezi.
 
Unapofanya biashara yoyote ile usifanye kwa kujaribu jaribu. Biashara inahitaji uwe na soko la uhakika wa bidhaa yako.

Kukopa, kukodisha, au kununua kwa fedha taslim kwangu kungeangalia mambo mawili moja nani anazisimamia na rekodi yake ya usimamizi ipoje, na mbili, soko la uhakika lipo, na kama lipo ni wapi. Kusema ukweli Wantanzania wengi si watumiaji wakubwa wa usafiri wa ndege sababu ni rahisi tu, kipato!

Tumeshindwa kufanya safari za nje za uhakika kwa sababu ya ushindani na mashirika makubwa, pia humu ndani wananchi walio wengi hawapandi hizo ndege kwa shughuli zao za kila siku...

Sasa faida itatoka wapi?

Kiufupi soko limekosekana na wasimamizi wametulizia kulinda mkate wao. Basi!
 
Ok nashukuru kwa ufafanuzi wako.
Basi kwa namna hii kumbe hakuna haja ata kupondea kununua Ndege Cash bali hoja iwe hatukuoaswa kuwa ndege za ATCL kwasasa.
Lakini kulikuwa na kelele kutoka kwa wapiga filimbi kwamba nchi ni lazima iwe na ndege zake labda walizingatia matumizi ya ndege kwa nchi ni lazima.
Hatahivyo kulaumu ununuzi wa ndege ni ajenda za kisiasa za kutafutiza kasoro hoja ya msingi ni usimamizi na kudhibiti hasara na unapowekeza kwenye biashara kubwa faida huja baadaye ni sawa na unapoamua kununua shamba kwa bei kubwa usitarajie pesa kurudi ndani ya wiki moja nk.
Leo tunavurugwa na ripoti ya miaka mitano! wakati ndege zina miaka minne! Na ripoti yetu ni ya mwaka mmoja! lazima mjadala mrefu unahitajika hapa. Au mmemuua nini?
 
Wewe kweli mataga, hujui kwamba mkopo unalipa kidogo kidogo, wakati huo huo maendeleo mengine yanaendelea kufanyika.

Kuliko unateketeza fedha nyingi kwa wakati mmoja huku maendeleo ya upande wa pili yanasimama.

Nimejibu swali .
Atakuja atabisha. Unaweza kuta ndio kichwa cha familia hiko
 
I'm sorry bro..!! Nimejiajiri
Umejiajiri kwa sababu unapenda au kwa sababu imekosa ajira halafu bado unaitetea serikali iliyokunhima ajira! Aise kwani watanzania ni wapumbavu. Huna ajira lakini bado unaona ni haki yako kukosa ajira na kumtetea jiwe kuharibu nchi kwa kununua madege ambapo hiyo hela ya kununulika madege angekuajiri wewe
 
Ngoja nikujibu kitaalam

1.ukienda kukopa ndege kabla ya kukubali ombi lako wangeomba Business plan zako pamoja na chashflow projection kuona uwezekano wa wewe kuwez kulipa deni lao, ingemlazimu JPM kuandaa papaer hizo za kitaalam ambazo pengine zingemstua kuwa hii project ni mfu

2.Ukifanya Cashoutflow kubwa kwa maramoja tena kwny foreign currency unatikisa Uchumi kwa kiwango kikubwa na hicho ndio kilichangia Currency yetu ianguke kwa haraka na baadae kusingizia bureade change hali iliyopelekea kuvamiwa na Majeshi na kuporwa fedha zao na hatimae kufungiwa

3. Fedha hizo cash za mara moja zililazimisha SerikL kipora fedha kinguvu kwny Accounts z Wafanyabiashara hali iliyopeleka Forein Direct Investment ishuke kutola projects 420 mwala 2015 hadi 129 mwaka 2020

Umeelewa?
 
Mi sina majibu ya swali lako mkuu, ila nahisi watz hatujui tunataka nini ila tumekuwa washabiki tu wa mambo mbali mbali.

Tunaowashabikia wakisema hili Baya hatuumizi vichwa kujua ubaya wake ila nasisi tutasema ilo baya.

Tunaowashabikia wakisema hili zuri pia tunaamia huko.

Ndio maana wachangia hoja wengi huishia kusema fulani alisema sio mimi nalionaje jambo hili
 
Umejiajiri kwa sababu unapenda au kwa sababu imekosa ajira halafu bado unaitetea serikali iliyokunhima ajira! Aise kwani watanzania ni wapumbavu. Huna ajira lakini bado unaona ni haki yako kukosa ajira na kumtetea jiwe kuharibu nchi kwa kununua madege ambapo hiyo hela ya kununulika madege angekuajiri wewe
Duh..!! Kama we ni msomi basi Taifa lina safari ndefu. Kaa usubiri ajira brother.
 
Back
Top Bottom