Tungekopa Ndege (Boeing, Airbus) tungefaidikaje?

Biashara ya ndege haina faida labda kama unataka kwa ajili ya sifa.
Ukiwekeza kwenye kilimo unapata zaidi ya hizo tena kwa haraka zaidi
Tatizo ni kupenda sifa kila kukicha yeye ni kusifiwa na ndiyo maana sasa hivi nchini kwetu kumeibuka kundi la kusifia vitu vya hovyo hovyo.
 
Kusifu na kuabudu zama ziliisha
 
Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.

Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.

Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Maswali yangu ni haya hapa chini.

1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?

2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?

Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
CAG ametumia mwanya wa ripoti kwa sababu binafsi. Siku zote gharama ya kukopa ni riba, ndio maana haonyeshi tungetumia gharama kiasi gani kulipa huo mkopo. Angekuwa hatumiwi angeonyesha kwa comparison gharama za kununua kwa cash ni sh ngapi na gharama za kukopa ni sh ngapi.

Kuna dada mmoja kule twitta analaumu serikali kukopa trillioni 1.5 kwa ajili ya kujenga shule huku akilaumu kwa kununua ndege cash kwa sh trilioni 1.2. Kwa mtazamo wake anaona tungefanya swap ndio sahihi yaani tutumie cash kujenga shule lakinu tukope kununua ndege.

Halafu hao hao ndio huwa wanapiga kelele serikali imezidi kukopa na deni la serikali ni kubwa mno.

Mnakumbuka lile sakata la kukopa pesa za bajeti toka benki moja ya nje (standard ....) ambapo ilihusisha dalali ambaye alilipwa fee pamoja na mkwe wa mwanasiasa mmoja, JPM alivyoingia madarakani ikabumbuluka kuwa kumbe tulipigwa na watu wakawekwa ndani kwa muda mrefu (wametoka hivi karibuni).

Mikopo ni biashara inayolipa sana.

Jinsi siku zinavyosogea JPM atakuja kuonekana hero.
 
Kwani kulikuwa kuna ulazima gani wa kununua hizo ndege? Wakati magufuli anaingia madarakani, Precision na fast jet walikuwa wanafanya vizuri sana kwenye soko la ndani!

Kwa nini tusingewekeza nguvu kubwa kuboresha/kujenga viwanja vingi vya ndege ili kuwavutia wawekezaji wengi zaidi? Tena ni kipindi hicho shirika letu la ATCL lilikuwa na ndege sijui mbili zile (mbovu mbovu) huku likiwa na wafanyakazi 200! Na hivyo kuifirisi tu nchi kwa kuwalipa wafanyakazi wasio fanya kazi!

Sasa mzee wako kwa kupenda sifa na kwa kutokupenda kushaurika au kujiridhisha kwanza, akakurupuka nakununua madege lukuki, likiwemo lile li dreamliner! Ona sasa zinavyo zalisha hasara!
Wewe huwa ni mpuuzi tu
 
Hujatoa jibu, Hoja ya Aasad kupinga kununua ndege kwa Cash na ndiyo maana nauliza kwani tungekopa tungefaidika vipi zaidi ya tulivyozinunua?
Debt finance is more desirable/ordered as compared to equit finance. Good advantages of debt finance over equit finance usitake kutafuniwa kila kitu. Ndo Mana asaad amesema civil servants wote ni mambumbumbu na we ukiwemo. Sasa ulienda shuleni kufanya nini Kama concept ndogo hii hujui halafu ukute na we umeajiriwa serikalini
 
Msishangae hawa watu kuibuka namna hii. Hii si bahati mbaya ni kama imepangwa. Maneno yao yamejaa chuki kuliko professionalism.
 
Good..!! Bajeti ya Wizara ya Afya unaifahamu? Kitu gani kilikwama mara baada ya ununuzi wa ndege nchini?
Huoni watoto mpaka leo wanakaa chini, madarasa chakavu, vituo vya afya havina vitendea kazi vya kisasa, nitajie hospitali yoyote ya serikali kwa kanda ya kaskazini yenye CT scan na MRI machine?
 
Hujatoa jibu, Hoja ya Aasad kupinga kununua ndege kwa Cash na ndiyo maana nauliza kwani tungekopa tungefaidika vipi zaidi ya tulivyozinunua?
Ngoja nikujibu kijana wangu. Kwanza lazima ujue tuna manunuzi ya aina mbili tu, CASH na CREDIT na nikuweke wazi CREDIT Purchase sio LOAN hapa namaanisha kuna tofauti kubwa sana kati ya MKOPO (LOAN), na kununua kwa MKOPO (CREDIT) nimetaka kwanza uelewe nadharia hizo mbili ili niwekapo faida za kununua kwa mkopo uelewe. Pili lazima ujue kuna vitu lazima ununue kwa CASH kama NCHI na vingine lazima UNUNUE KWA CREDIT kama NCHI. Miradi yote mikubwa huwezi fanya kwa CASH hii ni kwa sababu kuna daily activities ambazo governments ina run hivyo ili kubalance purchasing power ya nchi miradi mikubwa unakopa ili pesa yako iliyopo cash unaiingiza kwenye mzunguko wa uchumi wako ambapo sasa itakufanya uchumi ukue na uweze kukusanya pesa kuweza kulipa lile deni wakati huo wananchi hawafeel economic hardship. Pesa ambazo umenunua ndege CASH zingepelekwa kwenye maboresho ya shule zetu au zahanati zetu ungeona impact katika uchumi wetu kwani watu wangepata huduma muhimu wakati huo serikali inaangalia kwa kina ile biashara kama inafaa kuendelea nayo au la. Wakati pesa hizo unanunua ndege kumbuka hata akiba ya pesa za kigeni unapunguza kwa wingi kwenye akiba yako hivyo kupunguza purchasing power ya nchi yetu. Umeeona hata suala la sukari lilituzidi nguvu? Ni kwakuwa hatukuwa na akiba ya kutosha kuagiza bidhaa hiyo muhimu badala yake tulinunua NDEGE. HIVYO MIRADI YOTE MIKUBWA KIUCHUMI UNASHAURIWA KUNUNUA KWA CREDIT TU ILI KUONDOA VIKWAZO KATIKA MZUNGUKO WA PESA KATIKA NCHI YAKO.
NIMEJARIBU KUKUELEZA KWA UFUPI SANA NA NAIMANI UTAELEWA.
 
Msishangae hawa watu kuibuka namna hii. Hii si bahati mbaya ni kama imepangwa. Maneno yao yamejaa chuki kuliko professionalism.
Hao watu ni makada wa ccm.
Ndiyo mjue kuwa nchi ilikuwa chini ya umiliki wa mtu mmoja tu na watu walikuwa wanaishi kwa uoga.
 
Ngoja nikujibu kijana wangu. Kwanza lazima ujue tuna manunuzi ya aina mbili tu, CASH na CREDIT na nikuweke wazi CREDIT Purchase sio LOAN hapa namaanisha kuna tofauti kubwa sana kati ya MKOPO (LOAN), na kununua kwa MKOPO (CREDIT) nimetaka kwanza uelewe nadharia hizo mbili ili niwekapo faida za kununua kwa mkopo uelewe. Pili lazima ujue kuna vitu lazima ununue kwa CASH kama NCHI na vingine lazima UNUNUE KWA CREDIT kama NCHI. Miradi yote mikubwa huwezi fanya kwa CASH hii ni kwa sababu kuna daily activities ambazo governments ina run hivyo ili kubalance purchasing power ya nchi miradi mikubwa unakopa ili pesa yako iliyopo cash unaiingiza kwenye mzunguko wa uchumi wako ambapo sasa itakufanya uchumi ukue na uweze kukusanya pesa kuweza kulipa lile deni wakati huo wananchi hawafeel economic hardship. Pesa ambazo umenunua ndege CASH zingepelekwa kwenye maboresho ya shule zetu au zahanati zetu ungeona impact katika uchumi wetu kwani watu wangepata huduma muhimu wakati huo serikali inaangalia kwa kina ile biashara kama inafaa kuendelea nayo au la. Wakati pesa hizo unanunua ndege kumbuka hata akiba ya pesa za kigeni unapunguza kwa wingi kwenye akiba yako hivyo kupunguza purchasing power ya nchi yetu. Umeeona hata suala la sukari lilituzidi nguvu? Ni kwakuwa hatukuwa na akiba ya kutosha kuagiza bidhaa hiyo muhimu badala yake tulinunua NDEGE. HIVYO MIRADI YOTE MIKUBWA KIUCHUMI UNASHAURIWA KUNUNUA KWA CREDIT TU ILI KUONDOA VIKWAZO KATIKA MZUNGUKO WA PESA KATIKA NCHI YAKO.
NIMEJARIBU KUKUELEZA KWA UFUPI SANA NA NAIMANI UTAELEWA.
Good sn mkuu, angalia mikoa ya kaskazini hatuna hospitali ya serikali hata moja yenye CT scan wala MRI machine zipo kwenye hospitali za private ambazo ni ghali sn kwa mwananchi wa kawaida, kila siku kilio cha madawati, sijui madarasa mishahara kupanda na mengineyo.
 
Labda tungeishia kudefault hayo madeni wakakamata maubalozi ambayo hata hayana faida wakayauza na kufidia madeni yao
Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.

Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.

Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Maswali yangu ni haya hapa chini.

1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?

2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?

Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
 
Habari za Asubuhi wadau..!
Kwa wakazi wa Dar es Salaam poleni na mvua.

Nimeona taarifa ya Prof: Mussa Assad aliyewahi kuwa CAG wa Tanzania juu ya taarifa yake ya kupondea ununuaji wa ndege kwa Cash, binafsi ile habari imefikirisha sana na naomba wanazengo leo mnisaidie kwa maswali yangu machache ambayo nafikiri yatasaidia ata member wengine humu ndani kupata elimu ya kile tunachokipondea ama kukitetea.

Kwanza nikiri wazi kuwa mimi ni muumini kindakindaki wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Maswali yangu ni haya hapa chini.

1. Tungeenda kukopa ndege zetu kwa
wanaotengeneza ndege (Boeing/ Airbus/
Bomberdier) tungefaidika vipi zaidi ya
tulivyozinunua kwa Cash?

2. Tungekodi Ndege kama ilivyokuwa zamani baada ya kuingia enzi za JK tukaingia ubia na Shirila la ndege la South Africa na mwisho wa siku tukabaki na madeni makubwa tukidaiwa na Shirika hilo kwa ATCL isingetucost?

Nafikiri maswali yangu aya machache yanajitosheleza kama ni bora kukopa au bora kukodi? Maana nimeona ata KQ imepata hasara zaidi ya Mabilioni ya Fedha japo wamekopa pia ndege zao.
Soma hapa

Debt finance​

Debt finance is borrowed money that you pay back with interest within an agreed time frame. The most common forms of debt finance include bank loans, overdrafts, mortgages, credit cards and equipment leasing/hire purchase.

Advantages of debt financing​

  • Maintaining ownership - unlike equity financing, debt financing gives you complete control over your business. As the business owner, you do not have to answer to investors.
  • Tax deductions - unlike private loans, interest fees and charges on a business loan are tax deductible. This is a big incentive for debt financing. Learn more about tax deductions for your business.
  • Retaining profits - your only obligation to your lender is making repayments within agreed time frames. You do not have to share your business profits.

Disadvantages of debt financing​

  • Accessibility - banks are conservative when lending money. New businesses may find it difficult to secure debt finance.
  • Repayments - you need to be sure your business can generate enough cash to service the debt (i.e. repayments plus interest). Remember, if your business fails you are still obliged to repay your debts.
  • Credit rating - failing to make repayments on time will affect your credit rating, which may affect your chances of securing future loans.
  • Cash flow - committing to regular repayments can affect your cash flow. Start-up businesses often experience cash flow shortages that make regular payments difficult.
  • Bankruptcy - unless you have a guaranteed way of paying back your loan, any business that uses debt financing is risking potential bankruptcy. This is particularly serious if you have pledged your personal assets to secure a loan.
 
Debt finance is more desirable/ordered as compared to equit finance. Good advantages of debt finance over equit finance usitake kutafuniwa kila kitu. Ndo Mana asaad amesema civil servants wote ni mambumbumbu na we ukiwemo. Sasa ulienda shuleni kufanya nini Kama concept ndogo hii hujui halafu ukute na we umeajiriwa serikalini
I'm sorry bro..!! Nimejiajiri
 
Back
Top Bottom