omben
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 822
- 480
Imeangukia kwenye wilaya mpya mkuu kuna mkuu wa wilaya ya Momba wilaya mpya simkumbuki jina anyemfahamu atuwekee hapa ambaye hazimtoshi badala ya kuzima moto yeye anachochea
Anaitwa Abiudi Saidea
Imeangukia kwenye wilaya mpya mkuu kuna mkuu wa wilaya ya Momba wilaya mpya simkumbuki jina anyemfahamu atuwekee hapa ambaye hazimtoshi badala ya kuzima moto yeye anachochea
Jamani mambo mengine Serkali huwa tunaibebesha lawama zisizo stahili. Sasa ulitaka Serkali itoe kauli gani? Wakati mulisha ambiwa kuwa mwenye haki ya kuchinja ni Muislam full stop.Haya ni majibu ya ukimya wa wenye mamlaka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkristo hajakatazwa kuchinja. Achinje ila ale na wanawe hukoo nyumbani kwake sio apeleke mabuchani.Huu ni unafki, kwani mkristo kuchinja kitoweo kuna madhara gani, mbona sijawahi kusikia mtu aliyekula nyama iliyochinjwa na mkristo kaota manyoya au hata tu kufa? Huu ni ujinga usio tukuka, hapa unaweza leta nyama ya msaada iliyochinjwa na mashine au mkristu toka Ulaya na watu watakula bila pingamizi na wengi mitaani utawasikia kuwa duh hii nyama ni tamu kweli.
chonde chonde viongozi wa dini kutaneni haraka jamani nawaomba
Huyu DC anaijua katiba vizuri kuhusu hilo jambo? na anatimiza vipi kiapo chake kwa kuilinda na kuitetea?
Mabomu yamepigwa mengi kiasi kwamba hata ukijamba unatoka machozi mwenyewe
Halafu wengine wameenda kwenye hizo vurugu huku majumbani kwao wameacha majungu ya maharagwe yakichemka....
To be honest, hata baadhi ya waislamu wanaona aibu san juu ya mambo wayafanyayo waislamu wenzao.....
1. Mbona kanisani hamuingii? kwa nini usiipite hiyo bucha yenye nyama iliyochinjwa na mkristu?
2. Kwa nini unitake nishiriki ibada ya kiislamu wakati mimi ni mkristu?
3. Tuwaletee na kitimoto mtuchinjie?
4. ..... waislamu mmezidi mno kulalama na kudai dai vimambo visivyowasaidia...
Sasa na wewe Mbuzi katoliki anachinjwa bhanaa? Hupigwaga na kitu kizito tu.Ikiwezekana wawe wanatuchinjia na NGURUWE maana wakati wa mfungo wa ramadhani mauzo hushuka kudhihirisha kuwa nao ni wadau wa kitimoto
Una uhakika na hiyo "full stop"?Haki ya kuchinja kitu gani?Kuku,Ng'ombe,nguruwe?Jamani mambo mengine Serkali huwa tunaibebesha lawama zisizo stahili. Sasa ulitaka Serkali itoe kauli gani? Wakati mulisha ambiwa kuwa mwenye haki ya kuchinja ni Muislam full stop.
kuchinja unataka uruhusiwe iwe rasmi, shut up. mbona kuuoa huombi kibali? hao waislamu wanaooa wakristo au wakrist wanaooa waislamu wanaomba ruhusa wapi?suluhisho sio viongozi wa dini bali ni serikali kuacha kigugumizi cha kuilinda na kuitetea katiba kwa kutamka kila mtu ana haki ya kuchinja kwa mujibu wa katiba. waliapa hivyo kwanini wawe na kigugumizi kuilinda na kuitetea katiba?
tafuta sredi za nyuma kuhusu ugomvi wa kuchinja kule mwanza na mauaji ya buserere kule mkoani geita,utapata majibu!Mdau nashukuru umejibu sehemu ya sintofahamu yangu, mi ni mkristo lakini napata shida sana kuelewa ni kwanini wakristo wameibuka na hii hoja ya kutaka kuchinja? kwani kuna tija gani ktk kuchinja? hebu nijuzeni zaidi hapo kwenye bold jamani, nadhani niko gizani!
Natamani nchi yangu ya zamani ambapo sikumtambua mtanzania mwenzangu kwa jina,wala nyama,wala rangi,wala alikotoka ,Mungu wangu simamia nchi hii tuna kiongozi mwenye mapepo hasikii wala hambiriki ,tatizo linasambaa yeye anaangalia tu
Sasa na wewe Mbuzi katoliki anachinjwa bhanaa? Hupigwaga na kitu kizito tu.
wenye taarifa hali ikoje sasa hivi tujuzeni tafadhali.