Mabucha ya Ng'ombe yaruhusiwe kuuza Nyama ya kitimoto pia!
loh mtume wangu
Mabucha ya Ng'ombe yaruhusiwe kuuza Nyama ya kitimoto pia!
nasi tutavaa, acha wogo wa kijinga. Woga huo ulionao ndiyo unaowapa vichwa hata wakiwa wawili kwenye mji mmoja wanajiona kama mji wote ni milki yao. you are She.nzi type
viongozi wa dini wamekosa nini tatizo ni serikali mkuuu INAKAZI KUBWA YA KUFANYA!chonde chonde viongozi wa dini kutaneni haraka jamani nawaomba
chonde chonde viongozi wa dini kutaneni haraka jamani nawaomba
si ni wale waliopendekezwa na rz 1mkuu Tunduma ni mji mdogo upo wilaya ya mbozi..mkuu wa wilaya nahisi nia kadege kama hajabadilishwa
loh mtume wangu
Yetu ipi? Mimi hapa nasimama kwamba kama mabucha ni ya Umma inashindikanaje kugawa upande yatumiwe na wakristo kuuza nyama na upande mwingine wauzie waislamu? Tatizo ni nini?
Mbona hueleweki mkuu?? Muislamu gani kakubugudhi wewe mkristo? Huyo mkuu wa wilaya huko ni mkristo mwenzio na yeye kauli yake ndiyo imepelekea msikiti kuchomwa sasa hapo nani anayembugudhi mwenzake??
rekebisha maneno,ukisema waislamu unamaanisha wote,sema wafanya biashara ya nyama wa kislamu. Usigeneralize.Hoja ya msingi ni kwa nini waislam wang'ang'anie kuchinja?
Mkuu wewe ndio mshitakiwa namba moja mpaka hapa. Aya tuambie wangapi wamegongwa mpaka kufa kwa vitu vyenye ncha Kali?
Hapo wazambia waone jinsi watz walivyowabish halaf wakawaambie ndugu zao wamalaw na chokochoko zao
ulitaka wasipeleke vizibitisho!?