Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
Naskia m
Kuu wa mkoa jana alikwenda kutuliza but wakamkatalia wakasema wanataka kauli ya rais khs masuala haya.leo asb fujo zimeibuka matairi yachomwa moto barabaran,polisi wapiga mabomu,vibaka wapora madukani.....

Watakaokamatwa na polisi watafunguliwa mashtaka gani?
 
HII NDO HALI HALISI


TUNDUMA.jpg


408045_320549398071314_843401007_n.jpg



DSC00354.JPG





DSC00440.JPG

Wanafunzi wakisindikizwa na jeshi la polisi kurudi majumbani mwao


DSC00476.JPG


Baadhi ya magari ya IT yaendayo nchini Zambia yakiwa yamepakiwa nnje kidogo ya mji wa Tunduma kuogopa kuharibiwa kwa magari hayo


 
habari zilizojiri punde zinasema wakazi wa tunduma mbeya wapo kwenye mapambano ya kidini baina ya WAKRISTO na WAISLAMU kwa sababu za "nani achinje na nani asichinje". Mabomu ya machozi toka kwa polisi, mawe na marungu kwa raia, hiyo ndiyo hali halisi. Tunaomba picha za mnato na za kucheza ili kujazia habari hii.
kimsingi kuna mambo watu wamifuatilia desturi ya kuchinja kama heshima ya muislamu. wakati mwingine una rafik anakuja nyumbani unaagiza mtoto akamate kuku faster halafu unbamtoa mgeni kwenda kuchinja kuku ilimradi umridhishe, lakini kama ni maharage au samaki hamna mjuba anapiga kavukavu bila kujali kama alichinjwa au la. desturi hii imeanedlea kwa vizazi sasa watu wameamka wanatafuta kiini cha utaratibu huu na wameiuliza sheria na katiba wakaona havisemi lolote. ukiuliza unaambiwa mkristo hana haki ya kuchinja unajiuliza hiyo haki inayoambata na vifungu vya dini si ina nyanga'anya uhuru wa wengine HAPA KUNA UDIDKTETA BILA SHAKA. LA AJABU ZAIDI NI KWAMBA WAKATI MWINGINE SHEHE ANAYECHINJA HANA WALAJI WANAOKULA NI WAKRISTO NA HIYO NDO SUALA WANAOULIZA WATU HAPA TUNDUMA HIVI KUNA WAISLAMU WANGAPI HAPA KAMA SIYO WAPITA NJIA KUELEKEA DRC CONGO? INAONEKANA WAKRISTO WANACHINJIWA NG'OMBE HALI WAO WENYEWE WANAWEZA KUCHINJA BILA KIZUIZI KWASABABU HAO NG'OMBE WENYEWE HAWAKATAI KUCHINJWA NA WAKRISTO . WATU WANA MASHAKA INAWEZEKANA HII NI MBINU YA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU KUJIPATIA KIPATO NDO MAANA WAOA WENYEWE HAWAKOORGANISED HAPAHAPA TUNDUMA WAISLAMU WA TAASISI NYINGINE ISPOKUWA WALE WA BAKWATA. EBU TUJIULIZE KUNA NINI HAPA KAMA SIYO KIPATO CHA MSIKITI?
 
kimsingi kuna mambo watu wamifuatilia desturi ya kuchinja kama heshima ya muislamu. wakati mwingine una rafik anakuja nyumbani unaagiza mtoto akamate kuku faster halafu unbamtoa mgeni kwenda kuchinja kuku ilimradi umridhishe, lakini kama ni maharage au samaki hamna mjuba anapiga kavukavu bila kujali kama alichinjwa au la. desturi hii imeanedlea kwa vizazi sasa watu wameamka wanatafuta kiini cha utaratibu huu na wameiuliza sheria na katiba wakaona havisemi lolote. ukiuliza unaambiwa mkristo hana haki ya kuchinja unajiuliza hiyo haki inayoambata na vifungu vya dini si ina nyanga'anya uhuru wa wengine HAPA KUNA UDIDKTETA BILA SHAKA. LA AJABU ZAIDI NI KWAMBA WAKATI MWINGINE SHEHE ANAYECHINJA HANA WALAJI WANAOKULA NI WAKRISTO NA HIYO NDO SUALA WANAOULIZA WATU HAPA TUNDUMA HIVI KUNA WAISLAMU WANGAPI HAPA KAMA SIYO WAPITA NJIA KUELEKEA DRC CONGO? INAONEKANA WAKRISTO WANACHINJIWA NG'OMBE HALI WAO WENYEWE WANAWEZA KUCHINJA BILA KIZUIZI KWASABABU HAO NG'OMBE WENYEWE HAWAKATAI KUCHINJWA NA WAKRISTO . WATU WANA MASHAKA INAWEZEKANA HII NI MBINU YA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU KUJIPATIA KIPATO NDO MAANA WAO WENYEWE HAWAKOORGANISED HAPAHAPA TUNDUMA WAISLAMU WA TAASISI NYINGINE HAWARUHUSIWI KUCHINJA ISPOKUWA WALE WALIOCHAGULIWA NA BAKWATA. EBU TUJIULIZE KUNA NINI HAPA KAMA SIYO KIPATO CHA MSIKITI?
 
Waislamu wanajiona kwamba wao ndo wana Mungu, sijui huyo allah ni nani hili ni kuu la majini ndo maana haya majamaa kutwa nzima mipango ya kuua Wakristo,tutaona huyo muhamad aliukuta Ukristo na Biblia pia mnabisha someni kitabu kiitwacho maisha ya mtume kuna ushahidi tosha,huyo mtume wenu aliviacha yuko udongoni mpaka sasa anasubiri hukumu hivyo hata nyie mtaondoka mtauacha Ukristo umesimama mpaka kiama.
 
Kufuatia vurugu zilizotokea jana Tunduma,msikiti umechomwa na kuharibiwa vibaya.Vyomba vya habari vyote kimya.
 
mkuu hebu funguka zaidi, ni msikiti gani na madhara gani zaidi yametokana na kuchomwa kwa msikiti huo, na imetokea muda gani, reaction ya watu ikoje. Hebu tupe hizo information tafadhali, vinginevyo inaonekana kama ni alfu lela ulela.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom