Naskia m
Kuu wa mkoa jana alikwenda kutuliza but wakamkatalia wakasema wanataka kauli ya rais khs masuala haya.leo asb fujo zimeibuka matairi yachomwa moto barabaran,polisi wapiga mabomu,vibaka wapora madukani.....
kufunga na kusali huwezi ukamzidi Yohana aliyeenda kumkemea Herodi ikulu aache uzinzi! Akakatwa kichwa! Yesu mwenyewe hakuka mbinguni kufunga na kusali kwa ajili ya ukombozi bali alikuja duniani akamwaga damu! Ufahamu usifurahie Ufufuko bali Yesu ana msalaba pia!ni lazima tutetee imani yetu ila kwa kufunga na kusali zaidi na si vurugu.
Mkristo hajakatazwa kuchinja. Achinje ila ale na wanawe hukoo nyumbani kwake sio apeleke mabuchani.
Mkuu Uyo kamanda wa Polisi ni diwani wa Chama gani?[/QUOTE]kamanda wa polisi wa mkoawa Mbeya Diwani Athumankufika eneo hilo.Source: Mpekuzi
hivi mkuu wa wilaya ni ccm?
wakitangaza ivyo kuna mengi yatazuka na waislam kuyadai wanayowafeva wakristo hili swala ni zito hila nyie mnaliona jepesi ndomana wanasema kuna kuvumiliana,,,,waislam watataka nao Ijumaa wapumzke kama ilivyo kwa wakristo jumapili
Bucha zenye nyama iliyochinjwa kwa ibada ya kiislam zijitangaze kuwa nyama yao ni "Halal",ili wale wenye kutaka kula nyama zilizochinjwa kwa iabada hiyo watambue pa kwenda kununua kitoweo.Simple.
Yani serikali inatuma polisi kuwalazimisha raia wake kuchinjiwa kitoweo?Na kuna watu humu wanatumia nguvu zote kueteta ujinga huo.Na vitoweo vya supermarkets wanajuwa vilichinjwa na nani?
Ujinga ungekuwa na world cup tungekuwa kama Brazil kwenye soccer.
SWALI LA KIZUSHI kule Ulaya nako wanachinja waislamu kama ilivyo machinjio ya mombasa au vingunguti?