Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,587
- 1,858
baadhi ya picha ya maduka yaliyo fungwa.
duh wameogopa mpaka wameacha nafaka na viti nje
baadhi ya picha ya maduka yaliyo fungwa.
Na lile agizo la juzi kuwa wakristo wachinje limetoka wapi? Hata hivyo wakristo wote wakae wakijua hawajafunja sheria yoyote katika taifa hili, Kwa kuchinja kwani hakuna kifungu chochote cha katiba kinachoeleza na kufafanua kwa kina kuhusu uchinjaji,
Tupe habari kimili haya mambo hayahitaji ushabiki, tupe taarifa ili tujadili namna ya kutatua hili tatizo maana wote sisi ni ndugu,ni wakati wa kujiuliza tumetoka wapi?, tumefikaje hapa? na tutatokaje hapa?
Wisdom is the judicious study and application of knowledge. It is a deep understanding and realization of people, things, events or situations, resulting in the ability to apply perceptions, judgments and actions in keeping with this understanding. It often requires control of one's emotional reactions (the "passions") so that universal principles, reason and knowledge prevail to determine one's actions.......... THE OPOSITE OF THIS IS WHAT YOU ARE..ukweli hisia hizi zinachochewa na viongozi wa chadema tunduma
Kwa nini hakutuletea imani moja tu?
Nashauri suala la Kuchinja liwekwe kwenye katiba mpya ili kuondoa migogoro na malumbano ya kidini ambayo yanaatarisha amani yetu! Kila raia awe mwanaume au mwanamke aruhusiwe kuchinja.
Unafikiri yataishia Tunduma tu?Tujipe pole watanzania.poleni sana tunduma badala ya kuchinja ngo'ombe, mbuzi, kuku nk mtachinjana wenyewe sasa
Halafu wengine wameenda kwenye hizo vurugu huku majumbani kwao wameacha majungu ya maharagwe yakichemka....ndio zenu utumbo mtupu mnataka kuitia nchii kwenye vurugu njama zenu za kuigawa nchi hazitafanikiwa nani asiejua kuwa ninyi ni vibaraka wa mabeberu