Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
Sisi tunataka bei ya nyama ishuke, alie chinja wala sio muhimu.
 
View attachment 89029 uploadfromtaptalk1364998427210.jpg
 
wenye taarifa hali ikoje sasa hivi tujuzeni tafadhali.
 
Kama unaendelea kukwepa kujibu swali langu basi kamwe huwezi kunielewa mkuu!!
Mimi nimejibu lakini wewe hullikubali jibu. Ninachosema wakristo wana haki ya kuchinja na kutumia mabucha ya umma kuuzia nyama watakazochinja. Ndiyo nakuuliza katika hilo tatizo liko wapi? Hakuna mahalil wakristo wamesema hawataki nyama watakazochinja zisisogeleane na zile zitakazochinjwa na ndugu zao waislamu!
 
Hivi machinjio za kisasa kama ile ya Dodoma inayotumia mashine za umeme kuchinja, huwa inakuwaje kwa hao waislam au nyama inayotoka hapo hawali?
 
Hakuna kiongozi aliyemsafi katika lisirikali la sisiem labda magufuli tu.Inaonesha mkuu wa wilaya ni taahira anayejtmbua
 
Mimi napata shida kama kazini kwangu, t ukiamua kufanya kasherehe nyama tutanunua bucha ya mdini yupi ?

Hii inatokana na kukosa ajira wala siyomungu

Mdau nashukuru umejibu sehemu ya sintofahamu yangu, mi ni mkristo lakini napata shida sana kuelewa ni kwanini wakristo wameibuka na hii hoja ya kutaka kuchinja? kwani kuna tija gani ktk kuchinja? hebu nijuzeni zaidi hapo kwenye bold jamani, nadhani niko gizani!
 
Wengine tuliyaweka kwenye maoni yetu kuwa katiba ibainishe kila mtu awe huru kuchinja.

hapo serikali haiwez kwan haina dini inajisingizia sasa pagumu hapo hakiruhusu kila mtu kujinga msiba wa waislam watakaa peke yao na wakristo watakaa peke yao hakuta kuwa na mashrikiano hapo
 
mkuu wa kaya amekaa kimya, sijui kama hana habari na hili tatizo la uchinjaji!! Tunajua yeye ni mmojawapo wa Waumini wa hii dini inayong'ang'ania kuchinja! Lakini ni lazima katiba ya nchi iheshimiwe!!
 
Mabomu yamepigwa mengi kiasi kwamba hata ukijamba unatoka machozi mwenyewe

ama kweli JF ina kila mtu, au ndio mabomu yamekuchanganya?
ngoja niamini hivyo pole kwa mabomu kiongozi najua umechanganyikiwa na mabomu hata busara ya nini cha kuandika imepotea ghafla.
 
Jk mbegu ya udini iliyopandwa kwenye propaganda za kisiasa zimeanza kukulipa sasa

kwan kapanda yeye ww kuku,,,,,,mulize nyerere ww umekuwa umeyakuta na yeye JK kayakuta acha kumsingizia
 
Iman imaja tu na ndio maana adam hawa na wengine ni hao hao tu.yesu,issa,jesus,bebeto,jeswie ni mtu huyohuyo so mapokeo yametufanya tukafikia hapa but din ni moja tu.m,/mungu katupa mtihan na hatutafaulu mpaka siku ya mwisho


Amakweli watanzania ni kama tumechoka amani na utulivu; unakuwaje swala dogo kama kuchinja kuwa big deal nakusababisha fujo mpaka polisi wanaingilia kati. Kama ni kuchinja, kila mtu ana haki hiyo ilimradi hamlazimishi mtu mwingine kula; na kama ni nyama ya biashara basi busara itumike ilikusiwe na mtu atakaeshindwa kununua nyama kwaajili ya imani yake.
 
Mdau nashukuru umejibu sehemu ya sintofahamu yangu, mi ni mkristo lakini napata shida sana kuelewa ni kwanini wakristo wameibuka na hii hoja ya kutaka kuchinja? kwani kuna tija gani ktk kuchinja? hebu nijuzeni zaidi hapo kwenye bold jamani, nadhani niko gizani!
Hapo kuna watu wanagombania biashara wala sio dini. Unaweza kukuta hao wachinjaji wote hawajui cha kanisa wala msikiti lakini wanatumia dini kujineemesha.
 
Huyu DC anaijua katiba vizuri kuhusu hilo jambo? na anatimiza vipi kiapo chake kwa kuilinda na kuitetea?
Kwahiyo ulitaka awaache mutulishe vibudu? Ahsante DC kwa kuzima jalibio la kutka kuwalisha wengine vibudu
 
Kwa Bahati mbaya sana serikali inadhani huu mgogoro ni rahisi ku uhandle kiukweli kama serikali yoyote duniani imewahi kukumbwa na mgogoro mkubwa inapaswa kujua huu ni wakutisha sana..Kwanza huwezi kuutatua kwa kuwalazimisha wakristo/waiislamu kula kilichoandaliwa tofauti na imani yake hasa ukilinganisha katiba haikusema chochote.Unasema eti viongozi wa dini wakae wamalize tofauti zao huku makundi yote hayakuwahi kuwa na njia ya kutokuwa na tofauti ila kwakuwa kundi moja kwa uungwana lilikubali kwa masharti ya kiimani kwamba kundi jingine halifanyi uchinjaji kama ibada hivyo basi kufanya kama vile kuvumilia na sio kuvumiliana maana linalivumilia ni kundi moja tu na jingine haliwezi kuvumilia jingine...Yaani wakristo ni wavumilivu ilihali waislamu sio wavumilivu,wakristo hawataki kuchinja kwa ibada ya allah ilhali waislamu hawawezi kuchhinja bila ibada hiyo, Waislamu kuchinja ni chanzo cha mapato ilihali wakristo kuchinja kiislamu ni ushetani..Katiba inasaunndi kwa wakristo kisheria ilihali haitambui madai ya waislamu hata kidogo..Serikali inataka wakristo wavumilie kwa lazima hata kama imani yao haitaki kwa kutambua kuwa waislamu hawapo tayari kujadili hilo kkwa upande wao...Masikini JK ulikosa washauri wa kukwambia kampeni ya udini uliotumia 2010 ilikuwa ni mbaya...JK na CCM wanafurahi kukiita Chadema chama cha Wachaga huku wakijua wazi sio kweli na matokeo yake kuimega nchi kipande cha kwanza,Cuf yaa waislamu kipande cha pili,na CCM wanadhani kuna kufanikiwa katika hizo kampeni na RAIS na MWENYEKITI huwa kemei kwamba nchi haitawaliki vipandevipande unyamaza kimya hapo ndipo unapokosea..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom