Mi nashangazwa sana! Nafikiri pana haja ya kuekwa butcher zenue Halal Certification na za kikristo, za kiyahufi, kihindu na nyengine, muhimi ziwe na nembo tu ya kila dini, na butcher 1 isiruhusiwe kuuza nyama kwa dini mbili tofauti!Haya sasa !kila mtu achinje mwenyewe kitoeo chake jamani.Yanini marumbano?
Hoja hapa ni kwa nini wakristo wazuiliwe kuchinja? Kama waislamu wanaona wenzao wakichinja ni haramu basi kuwe na mabucha yanayouza nyama zilizochinjwa na wakristo na zile zilizochinjwa na waislam!! Tatizo liko wapi?
Kama hii ndio hoja, wakristo wazuiliwe kuchinja; watakacho kichinja wao, si halali kwa waislamu na watakacho kichinja waislamu; ni halali kwa wote kwani hakuna maandiko yanayo wakataza wakristo kula kitakacho chinjwa na waislamu.
Less talk about facts; tuache ushabiki wa kidini.
Tujiulize, wakiristo walikuwa wapi enzi za nyerere katika suala hili? Enzi za mwinyi? Mkapa? Waliokuwa wakichinja machinjioni ni wa dini gani katika zama hizi?? Hapa hamna lolote zaidi ya siasa tu.jk ndo anaendekeza huu upuuzi,coz ana uwezo wa kutoa tamko km kiongozi haya mambo yakaisha!Halafu na hawa waislam aliowaambia kuwa wenyewe ndo wanamamlaka ya kuchinja ni nani?,kila m2 achinje mwenyewe bana tusizinguane kabisa
kwani hayo mabucha mnayotumia nyie yako kwenye misikiti?serikali imetumia kigezo gani?na hilo ni tamko la serikali au wahuni fulani?Ktiba inatangaza uhuru wa kuabudu,so hakuna suala la imani kwenye kuchinja.
Kwani mabucha ya Umma ni mali ya Waislamu!Na mimi ndiyo nimesema hivyo hivyo mkuu kama umeielewa vizuri comment yangu!!Nimetoa option simple tu kwamba kwanini mabucha ya kitimoto yasianze kuuza na nyama nyingine ambazo mnazitaka ili muwe mnakwenda kununua hapo tena bila bugudha ya mtu wa imani nyingine??
Tunduma iko katika wilaya ya Mbozi Mkuu wa wilaya hiyo anaitwa Kadege.
Unapenda kuua???Hao wanao fanya fujo,dawa ni moja tu, peleka polisi piga risasi kama watano halafu ndio watakaa sawa.hakuna cha muislamu wala mkristo,changanya wote.
Chanzo cha mauaji ya buselesele unakifahamu? Jamaa alichinja kwa matumizi ya kumaliza msiba nyumbani kwake na ndugu zake.Msimamo wa serikali unafahamika na uko hivyo kama ulivyosema, lakini hapa issue si msimamo wa serikali.Waislamu wanataka kuchinja wao iwe ni kwa matumizi ya biashara ama household na walitoa tamko la kupingana na serikaliAcha kupotosha mkuu hili wala halisaidii badala yake unazidi kuharibu tu!! Serikali ilisema kwa matumizi ya umma ndiyo wachinje waislamu lakini kwa matumizi ya kifamilia hapo hauingiliwi na mtu!! Wewe nunua ka kuku kako au ka nguruwe then chinja na ule na familia yako uone kama kuna mtu atakuhoji!!
ndio hapa ujiulize watu walimuonya mwenyekiti wa CCM alipokuwa anagombea kipindi cha pili alipojitanabaisha na udini mambo yamemzidi yako nje ya uwezo wake ajitafakali amekosea wapiTujiulize, wakiristo walikuwa wapi enzi za nyerere katika suala hili? Enzi za mwinyi? Mkapa? Waliokuwa wakichinja machinjioni ni wa dini gani katika zama hizi?? Hapa hamna lolote zaidi ya siasa tu.
Kamata huyo,piga ingiza kny gari.....takbiir,tumsifu yesu kristo....kila mtu anasema lake
Inakuaje wale waliotumwa na jamhuri kwenda kutuliza ghasia zilizosababishwa na udini wao ndio wamegeuka waporaji wa mali za raia mpakani tunduma? central government inafanya nin mpaka kunatokea eruption ya haya mambo tena? wananchi waelewe nini hapo? Wanatumia nguvu nyingi wananchi wamekimbia wameacha biashara zao,wao badara ya ulinzi wanageuka kua wezi? ni nini kama sio kwamba siku hizi CCP wanatrain wezi? Je tutafika?
tatizo si Mkuu wa Wilaya, ni muendelezo wa chadema kuifanya nchi Isitawalike.