Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
Huyu DC anaijua katiba vizuri kuhusu hilo jambo? na anatimiza vipi kiapo chake kwa kuilinda na kuitetea?

Buseresere Geita alianza kwenda RC Evaristo Ndikilo(Mkristo) yakamshinda baada ya kutoa amri yenye utata ati Waislamu ndiyo wenye haki ya kuchinja. Baada ya kuona kimenuka akaomba msaada kwa Zee la Nyani Steven Wassira a.k.a Tyson. Watu wakafikiri Waziri ataokoa jahazi. Kufika kule kwa vile alikuwa amepewa maelekezo maalumu na Rais Kiwete akawaita Viongozi wa dini zote na kuwaambia kwamba: IMEKUWA NI MAZOEA AU DESTURI KWA WAISLAMU KUCHINJA TANGU ZAMANI KWA HIYO WAISLAMU WAENDELEE KUCHINJA!!!

Tyson akarejea Dar kwa mbwembwe kuwa mgogoro wa kuchinja ameumaliza na kila kitu ni shwari! Hazikupita hata siku 2 Wakristo wakaanzisha Butcher zao kitu kilichopelekea Mchungaji wa Kikristo kuchinjwa! Hakika ni aibu tupu.
Tunangojea tena Tyson na Nchimbi waende wakamalize mgogoro wa kuchinja kama walivofanya Buseresere-Geita.

My take: Sielewi kigugumizi kinatoka wapi kwa Serikali ya Kiwete kutoa tanko rasmi la kiserikali kwamba KUANZIA SASA WAKRISTO WARUHUSIWE KUWA NA MABUCHA YAO KULINGANA NA IMANI YAO MAANA SWALA LA KUCHINJA HALIKO KIKATIBA WALA HAPANA SHERIA INAYOWAPA WAISLAMU KUCHINJA KWA AJILI YA DINI ZINGINE!

Natamani Mzee Ruksa President(rtd)angerudi pale Ikulu japo kwa siku moja tu halafu atoe tamko kama ifuatavyo:"..... NDUGU WATANZANIA WENZANGU KUANZIA LEO NASEMA RUKHSA KWA WAKRISTO KUCHINJA. MTU AKITAKA KUCHINJA NGURUWE RUKHSA, MTU AKITAKA KUCHINJA MBWA RUKHSA...."

 
Dini inatumika kama kivuli kuhalalisha ujinga...msichafue dini hapa
 
kamanda wa polisi wa mkoawa Mbeya Diwani Athumankufika eneo hilo.Source: Mpekuzi[/QUOTE]Mkuu Uyo kamanda wa Polisi ni diwani wa Chama gani?
 
Hii nchi haina uongozi bali kundi tu la watu wanaojiita viongozi.....
 
Sisi Watanzania ni wajinga na watu wa ajabu sana kuna mambo ya msingi mengi sana yametushinda tunakaa na tunalumbana nani achinje na nani asichinje? Hii haiingii akilini kabisa.
Na sasa naanza kuamini ule msemo wetu wa HII NCHI HAITATAWALIKA
 
Kuchinja kuchinja Ngombe,Nguruwe,Fisi,punda N.k.Hivi kama kuchinja ni imani fulani ya dini na inalazimisha mnyama halali kulingana na Dini jee wale wanaotaka kujichinjia hovyo hovyo tu kwa kisingizio cha kitoweo chao tunauhakika gani kuwa hawatolisha watu wengine nyama isio halali kwao,kwa mfano,nguruwe,fisi,punda na wengineo.Pili jamii hii mchanganyiko ilioishi pamoja kwa zaidi ya miaka 50 sasa bila kujali mchinjaji jee pale watakapo ruhusika watu ambao wakichinja wengine hawali.Jee mnataka kutuambia kuanzia sasa shughuli za arusi misiba na mengineo zenye karamu hazito jumuisha watu wa dini tofauti.Kama zitashirikisha lakini wengine wakakataa kula chakula kiliopikwa tutajisikiaje.Mnataka kutupeleka pabaya kwa maslahi yenu binafsi na wala sio dini.

ni kwel ndugu yangu na mm nilishwahi kuwambia bara uko mnaishi kindugu sana baina ya wakristo na waislam,, em siku moja mkristo aje zanzibar ajionee akirud huko atajua umuhm wa mashirikiano na kupendana huku znz mkristo akifa hata jiran yako haji kabsa na wala pole upati mtazika ww na ndugu zako,,,,,tofaut na uko bara msiba wa kikristo waislam wanakwenda na kula wanakula hivi tukiish kwa kubaguana aman itakuwepo kwel? Tukiish kwa kuchomeana nyumba za Ibada tufkia wap? Em tuwe na akil na busara tuache ushabiki tuyashaurine yaliyo mema tusipo angalia kila mtu atakuwa na bucha lake,kila mtu atakwenda kwny msiba wa dini yake,na sherehe ya dini yake,akiumwa mkristo muislam haend na akiumwa muislam mkristo haend kumtembelea tuish vipi sisi em tujiulize jaman?? Hii n dunia tu ukifa wendi na kisu na ngo'mbe wala kitimoto tuache upoyoyo
 
Tumechoka ujinga na upuuzi wa dini ya kiislamu sasa, wao ni akina nani waende omani watuachie nchi yetu sasa, maana naona wanataka nchi isiyo na mchanganyikao wa dini..........wanaudhi sana,,,,,,kwani wamelazimishwa kula hiyo nyama ya wakristu maana wakati mwingine naona kama wanamapepo.... kwanini wasiwe wapole wanaonekana hawataki muafaka na huyu kikwete na serikali yake asituletee ujinga maana hii ni gharama ya cheap politics, anashinda kwa kutoa ahadi za kijinga atawapa mahakma ya kadhi na kuwarudishia uhuru wao bila kuelezea uhuru waliopoteza ni upi kwakweli inakera na kuudhi sana!

kumbe nchi hii ya wakristo duu ilikuwa sijui
 
Tatizo ni SERIKALI kushindwa kusimamia katiba. Katiba inasema haina dini, wasimamizi wa katiba wanasema wakristo na waislam kaeni mkubaliane. wakubaliane nini??? wakubaliane wote kuwa na dini moja au??
sidhani kama hili litawezekana.
Serikali acha woga tamka wazi kila mtu ale chakula kulingana na imani yake. na akiandae kwa jinsi anavyotaka.
Kesho tutasikia watu wote wavae vibaragashia, hijab nk...

Hii inanikumbusha pale shule zinazomilikiwa na jumuia za kiislamu zilipoitwa seminari bila kujua mana yake na serikali ikalibeba yosayosa na sasa tuna islamic seminaries kibao.... jamani siyo kila shule inayomilikiwa na jumuia ya dini ni seminary!!!!

ACHA MTU ALE KITU ROHO INAPENDA.
 
Kwa mujibu wa IDAWA chanzo cha vurugu ni kauli ya mkuu wa wilaya kukataza wakristo kuchinja kwa ajili ya matumizi ya jamii nzima ya Tunduma, sasa inakuwaje tena badala ya kuchoma moto ofisi ya mkuu wa wilaya badala yake msikiti ndiyo uchomwe moto??

Watu humu wanajitoa akili kwa matakwa ya nafsi zao, serikali clearly imesema mchinjaji kwa kwa jamii nzima waendelee kuwa waislamu lakini kwa mahitaji yako na familia yako basi wewe chinja tu hakuna shida sasa watu hawaelewi nini? Mathalan kwasasa nchi nzima kuna mabucha ya nguruwe na hakuna shida katika hilo kwanini basi kama issue ni kuchinja hizi nyama wanazochinja wakristo wasiziuze kwenye mabucha yao ya nguruwe badala ya kuendelea kutaka wachinje kwa matumizi ya jamii nzima? Kwanini wasiweke mabucha kwenye nyumba zao za ibada then wauziane wao kwa wao? Kwa hilo mnalolitaka solution ni nchi igawanyike kulingana na imani ya mtu!!!

Hoja nzuri yenye hitimisho la kijinga
 
kamanda wa polisi wa mkoawa Mbeya Diwani Athumankufika eneo hilo.Source: Mpekuzi
Mkuu Uyo kamanda wa Polisi ni diwani wa Chama gani?[/QUOTE]

Ndiyo jina lake, anaitwa Diwani Athumani. Ni kaimu mkuu wa police mkoa wa Mbeya..
 
Suala hapa ni raia kuungana wote kuipinga serikali ya dhalimu JK na wenzake. Mamlaka ya kusema waislamu ndiyo wenye haki wameyatoa wapi? waache uongozi wa nchi wakafanye kazi ya kueneza dini yao. Na katika hili si dhani kama atakuja tokea rais mwislamu tena katika nchi hii. Na ndiyo maana Mtikira alisema JK ni gaidi namba moja, watu hawakumwelea, ila kwa sasa wanaanza kumwelewa.
 
Ngoruwe hachinjwi weweeee! Hupigwaga na kitu kizito tu.

Kitoabu,

Usitake kuleta vichekesho hapa. Siyo lazima nguruwe apigwe na kitu kizito wewe. Kwa nchi zilizoendelea hakuna kitu kama hicho. Wenzetu wana slaughterhouse ambako wanyama wote iwe ng'ombe,kondoo,mbuzi,n.k huingizwa mahali ambapo mashine maalumu kukata shingo ya mnyama husika.

Kwa akili yako unafikiri kila mahali duniani watu wanafanya mambo ya kijinga kama hapa Tanzania kukaa kubishana nani anastahili kuchinja. Ni ujinga na ujuha! Mpaka sasa naamini watu wa dunia nzima wameshasikia vioja vya Tanzania na watakuwa wanatushangaa kuwa tu watu wa aina gani!!!!
 
Sisi Watanzania ni
wajinga na watu wa ajabu sana kuna mambo ya msingi mengi sana
yametushinda tunakaa na tunalumbana nani achinje na nani asichinje? Hii
haiingii akilini kabisa.
Na sasa naanza kuamini ule msemo wetu wa HII NCHI
HAITATAWALIKA

Mpaka mje msituke,tayari tumerudi madarakani! Nani achinje?.. Mimi! Nani achine!?.... sisi! ha ha ha!
 
Buseresere Geita alianza kwenda RC Evaristo Ndikilo(Mkristo) yakamshinda baada ya kutoa amri yenye utata ati Waislamu ndiyo wenye haki ya kuchinja. Baada ya kuona kimenuka akaomba msaada kwa Zee la Nyani Steven Wassira a.k.a Tyson. Watu wakafikiri Waziri ataokoa jahazi. Kufika kule kwa vile alikuwa amepewa maelekezo maalumu na Rais Kiwete akawaita Viongozi wa dini zote na kuwaambia kwamba: IMEKUWA NI MAZOEA AU DESTURI KWA WAISLAMU KUCHINJA TANGU ZAMANI KWA HIYO WAISLAMU WAENDELEE KUCHINJA!!!

Tyson akarejea Dar kwa mbwembwe kuwa mgogoro wa kuchinja ameumaliza na kila kitu ni shwari! Hazikupita hata siku 2 Wakristo wakaanzisha Butcher zao kitu kilichopelekea Mchungaji wa Kikristo kuchinjwa! Hakika ni aibu tupu.
Tunangojea tena Tyson na Nchimbi waende wakamalize mgogoro wa kuchinja kama walivofanya Buseresere-Geita.

My take: Sielewi kigugumizi kinatoka wapi kwa Serikali ya Kiwete kutoa tanko rasmi la kiserikali kwamba KUANZIA SASA WAKRISTO WARUHUSIWE KUWA NA MABUCHA YAO KULINGANA NA IMANI YAO MAANA SWALA LA KUCHINJA HALIKO KIKATIBA WALA HAPANA SHERIA INAYOWAPA WAISLAMU KUCHINJA KWA AJILI YA DINI ZINGINE!

Natamani Mzee Ruksa President(rtd)angerudi pale Ikulu japo kwa siku moja tu halafu atoe tamko kama ifuatavyo:"..... NDUGU WATANZANIA WENZANGU KUANZIA LEO NASEMA RUKHSA KWA WAKRISTO KUCHINJA. MTU AKITAKA KUCHINJA NGURUWE RUKHSA, MTU AKITAKA KUCHINJA MBWA RUKHSA...."


wakitangaza ivyo kuna mengi yatazuka na waislam kuyadai wanayowafeva wakristo hili swala ni zito hila nyie mnaliona jepesi ndomana wanasema kuna kuvumiliana,,,,waislam watataka nao Ijumaa wapumzke kama ilivyo kwa wakristo jumapili
 
Chanzo cha vurugu ni vibaka waliokuwa wanataka kuiba kwny maduka ya watu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom