Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

Status
Not open for further replies.
habari zilizojiri punde zinasema wakazi wa tunduma mbeya wapo kwenye mapambano ya kidini baina ya WAKRISTO na WAISLAMU kwa sababu za "nani achinje na nani asichinje". Mabomu ya machozi toka kwa polisi, mawe na marungu kwa raia, hiyo ndiyo hali halisi. Tunaomba picha za mnato na za kucheza ili kujazia habari hii.
 
si anatekeleza ahadi ya mkuu wake aliyetoahadi ya mahaka ya kdhi na kuwarudishia uhuru wao uliopotea bila kuwaeleza uhuru gani waislamu walipoteza>>>>>>>>>>>>
Mbona hueleweki mkuu?? Muislamu gani kakubugudhi wewe mkristo? Huyo mkuu wa wilaya huko ni mkristo mwenzio na yeye kauli yake ndiyo imepelekea msikiti kuchomwa sasa hapo nani anayembugudhi mwenzake??
 
Kwanza usiniingize kwenye kundi la "wao" dhidi" yenu" hapa tunajaribu kupanuana mawazo. Tatizo hawa wakristo wanakataa kushirikishwa kwenye "Ibada" ya waislamu na waislamu nao hawataki kula "vibudu" vinavyochinjwa na wakristo. Lakini ukisema wakristo wasitumie mabucha ya umma kuuzia nyama zao unamaanisha hawana sifa za kuwa na nyama salama au nyama yao siyo takatifu?

Hivi ninaposema mabucha ya umma unanielewaje?? Je mtakubali nyama yenu iuzwe na nyama ya mapepo sehemu moja? mbona hilo hutaki kunijibu??
 
Petro alipotoa upanga na
kumkata sikio mmoja wa watesi wa Yesu,Yesu alimwambia Petro arudishe
upanga kwenye ala, hakumwambia atupe upanga bali alimwambia arudishe
kwenye ala.Hapo inabidi tutafakari Yesu alikuwa na maana gani.

Muda wa vita bado? Au alikuwa anataka amwambie kazi ya kuchinja ni ya waislamu.
 
Hawa wanao jiita wakristo na waislam sidhani kama kweli wanazijua dini wanazo dhani wana zitetea! Ni kitabu gani kimeandika ukishindwa kupata haki au suluhu ni kupigana au kuchinjana? Hizi dini mbona zinawafanya watu wana kuwa kama wanayama?
Badala ya kugombania maendeleo wanao jiita wakristo na waislam wana gombania kuchinja!
Na katika hili wanapo elekea ni kugombania kuchinjana tu hakuna lingine!

Naona watanzania wamechoka amani kabisa wanaona bora wachinjane kwaajili ya ng'ombe.
 
Nadhani wewe utakuwa mgeni wa Vurugu hapa nchini....Polisi wakikosa vya kuokota huanza kuwanyang'anya wanaowatia nguvuni...
Kuna jamaa alikuwa Chuo kimoja jirani na UDSM...Aliwarekodi askari walioonekana wakiokota simu,waleti na mengineyo ya wanachuo kipindi cha fujo....
Yaani kukutana na hawa haina tofauti na kukutana na vibaka wa keko....yaani wewe kimbia...sio wana usalama hao..viceversa ndio kweli!
ulitaka wasipeleke vizibitisho!?
 
Hebu jamani tusi comment kwa jazba wala kwa hisia pia huu si muda wa kushutumiana. Tujadili nini suluhsho la haya matatizo? Tanzania ni yetu pia tusiombee vita tutakufa kwa mengi. Kumbuka kuna watu ambao hawapati hata mlo mmoja je tukipigane wataishije? Naomba tuwe wazalendo jamani tuache ushabiki wa kidini na kichama.
tuwe kama JK analia tuu mkuu na anataka kuonewa huruma??
 
Maduka yote yamefungwa matairi yanachomwa barabarani, magari ya


polisi yanamwagwa mitaani.Chanzo cha vurugu ni mkuu wa wilaya kuzuia wakristu kuchinja na kwamba wanaoruhusiwa ni waislam tu.!!

Apdate:
diwani anajaribu kuongoea na polisi kama kuna uwezekano wa kusitisha mabomu ili aitishe mkutano wa hadhara..hali bado ni mbaya sana mabom yanapigwa mfululizo.!!

Apdate: saa nane mchana

polisi wameingia mitaani kulazimisha watu kujifungua ndani, polisi ni kama wamezidiwa wakitawanya upande huu raia wanahamia upande mwingine. Matairi yanachomwa kama kawaida na mabom yanapigwa mfululizo.... Hakujasikika kifo chochote.!

kwahiyo vurugu ni baina ya polisi na wakristo wanaotaka kuchinja na si baina ya waislam na wakristo.
 
Kwa mujibu wa IDAWA chanzo cha vurugu ni kauli ya mkuu wa wilaya kukataza wakristo kuchinja kwa ajili ya matumizi ya jamii nzima ya Tunduma, sasa inakuwaje tena badala ya kuchoma moto ofisi ya mkuu wa wilaya badala yake msikiti ndiyo uchomwe moto??

Watu humu wanajitoa akili kwa matakwa ya nafsi zao, serikali clearly imesema mchinjaji kwa kwa jamii nzima waendelee kuwa waislamu lakini kwa mahitaji yako na familia yako basi wewe chinja tu hakuna shida sasa watu hawaelewi nini? Mathalan kwasasa nchi nzima kuna mabucha ya nguruwe na hakuna shida katika hilo kwanini basi kama issue ni kuchinja hizi nyama wanazochinja wakristo wasiziuze kwenye mabucha yao ya nguruwe badala ya kuendelea kutaka wachinje kwa matumizi ya jamii nzima? Kwanini wasiweke mabucha kwenye nyumba zao za ibada then wauziane wao kwa wao? Kwa hilo mnalolitaka solution ni nchi igawanyike kulingana na imani ya mtu!!!

Kwani Mabucha ya nyama yaliyopo ni ya serikali au ni ya waislamu, kwanini serikali inalazimisha watanzania wote waabudu dini moja? huu ni uvunjifu wa katiba! uhuru wa kuabudu uko wapi tanzania?
 
Chanzo cha vurugu ni mkuu wa wilaya kuzuia wakristu kuchinja na kwamba wanaoruhusiwa ni waislam tu.!!

Kwa hiyo DC anarasimisha uislam ndio dini MAKINI na inayojua kuchinja? acha hizo DC
 
..ninavyoujua ule mji... Kazi itakuwepo.. Vijana wapo consciouss sana pale...

Pinda panda ndege..

lol pinda huyuhuyu asiye na maamuzi afike pale aanze kulia bora asiende. Aende mtu mwingine
 
Tumechoka ujinga na upuuzi wa dini ya kiislamu sasa, wao ni akina nani waende omani watuachie nchi yetu sasa, maana naona wanataka nchi isiyo na mchanganyikao wa dini..........wanaudhi sana,,,,,,kwani wamelazimishwa kula hiyo nyama ya wakristu maana wakati mwingine naona kama wanamapepo.... kwanini wasiwe wapole wanaonekana hawataki muafaka na huyu kikwete na serikali yake asituletee ujinga maana hii ni gharama ya cheap politics, anashinda kwa kutoa ahadi za kijinga atawapa mahakma ya kadhi na kuwarudishia uhuru wao bila kuelezea uhuru waliopoteza ni upi kwakweli inakera na kuudhi sana!

Huyu bwana/bibi naona anataka kwenda Ulaya kwa nguvu kwani akishawarudisha Waislamu Omani, yeye atataka kwenda Ujerumani ama Uingereza alipoletewa dini yake ya Ukristo!
 
Mambo yamewashinda wataanza kuspin taarifa sasa hivi badala ya kukaa na wananchi kuwaelewesha na kusihi wapatane na kuheshimiana wao watachukua upande na kukomaza mgogoro
 
Hivi ninaposema mabucha ya umma unanielewaje?? Je mtakubali nyama yenu iuzwe na nyama ya mapepo sehemu moja? mbona hilo hutaki kunijibu??

Yetu ipi? Mimi hapa nasimama kwamba kama mabucha ni ya Umma inashindikanaje kugawa upande yatumiwe na wakristo kuuza nyama na upande mwingine wauzie waislamu? Tatizo ni nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom