PostGE2025 Tunduma kila nyumba Leo wameomboleza

PostGE2025 Tunduma kila nyumba Leo wameomboleza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,717
Reaction score
58,887
Leo nimekuwa Tunduma kila nyumba wanaomboleza mtu mmoja au wawili waliouwawa October 29 2025.

Ni huzuni Sana

Mimi binafsi kaka yangu kaniachia majukumu yake kutunza familia yake watoto 2 nasomesha

Alipigwa risasi alitoka ATM kutoa pesa mida ya saa 1 jioni kibo complex tegeta tarehe 29/10/2025

Hii siku sitokaa nisahau nilijua ni Mimi tu kumbe 80% ya watanzania ndugu zao waliuwawa

Rest in peace brow tutaonana badae

Leo nilikuwa tunduma lkn nimeshindwa kabisa kufanya kazi yeyote siku nzima.
 
Leo nimekuwa tunduma kila nyumba wanaomboleza mtu mmoja au wawili waliouwawa October 29 2025.

Ni huzuni Sana

Mimi binafsi kaka yangu kaniachia majukumu yake kutunza familia yake watoto 2 nasomesha

Alipigwa risasi alitoka ATM kutoa pesa mida ya saa 1 jioni kibo complex tegeta tarehe 29/10/2025

Hii siku sitokaa nisahau nilijua ni Mimi tu kumbe 80% ya watanzania ndugu zao waliuwawa

Rest in peace brow tutaonana badae

Leo nilikuwa tunduma lkn nimeshindwa kabisa kufanya kazi yeyote siku nzima.
Mkuu pole sana lakini hapo kwenye 80% pana ukakasi
 
Video alikua nazo yeye lkn kwa ajili ya usalama alikataa kunitumia.
Ungemwambia aje azimwage humu JF ni sehemu salama ingawa kuna lile liwaziri kiazi mbatata linatutisha kwamba eti hakuna end to end encryption ila halijui linachokiongea bogus kichwa nazi, huyo bro ungemwambia aziweke humu ikiwezekana afungue fichua maovu aingine km anonymous guest
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom