PostGE2025 Tunduma kila nyumba Leo wameomboleza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Leo nimekuwa tunduma kila nyumba wanaomboleza mtu mmoja au wawili waliouwawa October 29 2025.

Ni huzuni Sana

Mimi binafsi kaka yangu kaniachia majukumu yake kutunza familia yake watoto 2 nasomesha

Alipigwa risasi alitoka ATM kutoa pesa mida ya saa 1 jioni kibo complex tegeta tarehe 29/10/2025

Hii siku sitokaa nisahau nilijua ni Mimi tu kumbe 80% ya watanzania ndugu zao waliuwawa

Rest in peace brow tutaonana badae

Leo nilikuwa tunduma lkn nimeshindwa kabisa kufanya kazi yeyote siku nzima.
Pole sana. Una la kujifunza kutoka kwa kakaako. Siku na wewe ukisikia "Amri halali" itekeleze kwanza, hoji baadae!
 
Leo nimekuwa tunduma kila nyumba wanaomboleza mtu mmoja au wawili waliouwawa October 29 2025.

Ni huzuni Sana

Mimi binafsi kaka yangu kaniachia majukumu yake kutunza familia yake watoto 2 nasomesha

Alipigwa risasi alitoka ATM kutoa pesa mida ya saa 1 jioni kibo complex tegeta tarehe 29/10/2025

Hii siku sitokaa nisahau nilijua ni Mimi tu kumbe 80% ya watanzania ndugu zao waliuwawa

Rest in peace brow tutaonana badae

Leo nilikuwa tunduma lkn nimeshindwa kabisa kufanya kazi yeyote siku nzima.
Wajifunze waache upumbavu, kwanza wengi hapo ni wahamiaji toka Congo na Zambia walitaka kutuharibia nchi yetu, walitegemea serikali iwachekee wafanye nchi km Congo? Na hata mkirudia mtamalizwa
 
Leo nimekuwa tunduma kila nyumba wanaomboleza mtu mmoja au wawili waliouwawa October 29 2025.

Ni huzuni Sana

Mimi binafsi kaka yangu kaniachia majukumu yake kutunza familia yake watoto 2 nasomesha

Alipigwa risasi alitoka ATM kutoa pesa mida ya saa 1 jioni kibo complex tegeta tarehe 29/10/2025

Hii siku sitokaa nisahau nilijua ni Mimi tu kumbe 80% ya watanzania ndugu zao waliuwawa

Rest in peace brow tutaonana badae

Leo nilikuwa tunduma lkn nimeshindwa kabisa kufanya kazi yeyote siku nzima.
80%

❓⁉️
Kikiwaka hakuna alie salama Ile Hali ni ya kuomba isijirudie
Msirudie Kwa kweli, maandamano yawe ya amani sio kama yale
 
30th October ndiyo hasa ilichukua uhai wa wengi,shetani alikuwa kazini siku kama ya leo.
 
Leo nimekuwa tunduma kila nyumba wanaomboleza mtu mmoja au wawili waliouwawa October 29 2025.

Ni huzuni Sana

Mimi binafsi kaka yangu kaniachia majukumu yake kutunza familia yake watoto 2 nasomesha

Alipigwa risasi alitoka ATM kutoa pesa mida ya saa 1 jioni kibo complex tegeta tarehe 29/10/2025

Hii siku sitokaa nisahau nilijua ni Mimi tu kumbe 80% ya watanzania ndugu zao waliuwawa

Rest in peace brow tutaonana badae

Leo nilikuwa tunduma lkn nimeshindwa kabisa kufanya kazi yeyote siku nzima.
Jirani yangu alipigwa risasi pale Kibamba CCM akiwa anarudi kutoka kazini jioni, haijawahi kuwa rahisi tena kwangu kuona mauwaji yale. ila ikitokea fursa siku mtu ukapata muda wa kukutana na Polisi au mwana CCM sehemu NZURI nitawawakilisha marehemu wote wa 29/October 2026 kwa 100%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom