PostGE2025 Tunduma kila nyumba Leo wameomboleza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nilijua ni 29 pekee.. wewe na raha za jf tena!!
Nilishuhudia chizi akipigwa risasi pale mbalizi, tarehe 31 vijana karibu wote tuliukimbia mji wa mbalizi na kwenda pembezoni, Polisi walikua wa apita nyumba kwa nyumba kukagua wanaume waliokutwa walikutana na cha moto, nikikumbuka tulikimbilia milimani, sina hamu ila siku haki inakuja walio husika watawajibishwa
 
Poleni sana , hawa mashetani waliingia banda ka mpira wakaua watu 11 mwanza😢

Walikuwa wanaingia guest jirani wanakagua kila chumba ukikutwa huna id ni kichapo cha haja! Wana roho mbaya sana siwapendiii😮‍💨
 
Walifanya ufuska kuna wasukuma walikua guest walipigwa risasi na kupora hela zao zote awa majamaa ni trash
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom