Tunduma iko overrated, haipaswi kufananishwa na Mafinga wala Kahama

Kahama sijawai kufika,ila kulingana na sensa iliyopita ni kwamba idadi ya watu ni 453654,yani ujumlishe idadi ya mafinga na tunduma halafu uongeze tena laki moja na sehemu.Kwa mapato ya halmashauri ya wilaya ni ya pili kwa Tanzania,ya kwanza kinondoni,yapili kahama yatatu mafinga
 
Tunduma ni kijiji kikubwa chenye mzunguko mkubwa wa hela lakini hapana hadhi ya kufananishwa na Mafinga au Kahama.
 
Idadi ya watu tunduma ni 219309 na eneo ni 419 mita za mraba,,wakati mafinga Ina watu 71641 na eneo ni 925.8 square meter za mraba,,kuhusu wingi wa vituo vya mafuta(Sheli) vinakaribiana tunduma Kuna vituo16 wakati mafinga14
Kahama kuna filling station zaidi ya 30
 
Nimefika Tunduma jana nikashangaa sana imekuwaje hii sehemu ikafananishwa na eneo kama Kahama.

Tunduma haifiki hata nusu ya Mafinga. Huu mji upo too local na umejengwa kiholela. Nyumba nyingi ni duni sana.

Naweza kusema pia Mafinga ni robo tatu ya Kahama maana angalau pale pana viwango.
"Nimefika Tunduma jana...", yaani siku moja tu imekufanya uje na utafiti wako hapa, bangladesh kabisa wewe!
 
Japo sina takwimu ila nadhani iko hivyo. Kahama ni mji mkubwa, umezidi Mikoa Mingi ti Tanzania. Population as per 2022 Census Kahama Manispaa iko na watu 450k+ wakati Manispaa ya Shinyanga iko na watu 214,744.
Hata idadi hiyo ya watu haipo
 
Nimefika Tunduma jana nikashangaa sana imekuwaje hii sehemu ikafananishwa na eneo kama Kahama.

Tunduma haifiki hata nusu ya Mafinga. Huu mji upo too local na umejengwa kiholela. Nyumba nyingi ni duni sana.

Naweza kusema pia Mafinga ni robo tatu ya Kahama maana angalau pale pana viwango.
Kahama ni zaidi ya Shinyanga, hapa Tanzania hakuna wilaya au mji mdogo nje ya mkoa wake iliyo kubwa kuizidi Kahama, labda wilaya za kati kati ya majiji
 
Unataka kusema Tunduma ni zaidi ya Mafinga na kahama?
Kwa kuifananisha na Mafinga tu TUNDUMA bado sanaaa..

#YNWA
As per census Mafinga Ina watu wachache kushinda Tunduma ni Mji mkubwa kuzidi Mafinga.
 
Japo sina takwimu ila nadhani iko hivyo. Kahama ni mji mkubwa, umezidi Mikoa Mingi ti Tanzania. Population as per 2022 Census Kahama Manispaa iko na watu 450k+ wakati Manispaa ya Shinyanga iko na watu 214,744.
Ni hatarii aise,kumbe kahama wanahaki ya kufikiriwa kuwa jiji miaka michache ijayo,maana hiyo population ni zaidi ya shinyanga na Iringa mkoani,Yan shinyanga jumlisha Iringa ndio upate idadi ya kahama
 
Back
Top Bottom