Mkuu,Mpumbavu ni nani?
Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi
akula posho wazngu Ulaya harafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya.
Anaomba jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.
Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.
View attachment 1870746
Mpumbavu ni nani?

Shauri yako.Tumeletewa chajo tena za beberu,tuliye msimanga pamoja na kuwa donor country,kisa magonjwa mtambuka yametuandama.
Mpumbavu ni nani?
Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi
akula posho wazngu Ulaya harafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya.
Anaomba jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.
Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.
View attachment 1870746
TULIPIGANIA uhuru ili tuweze kujitawala na kufanya maamuzi yetu binafsi kama taifa bila kuingiliwa.Mkuu,
Weww ndiyo mpumpavu,
Miezi minne iliyopita mlikuwa mnaahangilia na kusema Tanzania ni Donorconty /sisi ni matajiri tutembee kifua mbele hatuhitaji misaada kutoka kwa MABEBERU,
Leo umesha sahau,Sasa hapo mpumbavu ni Nani ka siyo wewe?
Tunasikitika sana; Chama na kiongozi anayetegemea siku moja watanzania wampigie kura awe Rais wa nchi hii kuomba tuwekewe vikwazo vya kiuchumi, yaani wananchi tuumie kisa wanasiasa?
Tunaona hali halisi ya Zimbabwe vikwazo vya kiuchumi vilimuumiza Mugabe au kikundi chake?
hapo ndio naona Wansiasa wako radhii kuuwa raia ili wao matumbo yao yajae na dhamira zao zitimie.
Hii awamu naona team Mohamed Said imejipanga kumshambulia Mbowe kila siku. Wee mzima mzima hovyo, ni lini utaacha udini? Unafanya mambo ya kitoto kabisa kwa kutumia ID bandia ili tu uishambulie Chadema.Unafiri tumesahau siku ile ulivyojichanganya na kupost majibizano ya Mohamed Said kwa kutumia hii ID ya Ritz?Mpumbavu ni nani?
Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi
akula posho wazngu Ulaya harafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya.
Anaomba jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.
Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.
View attachment 1870746
Zidisha kuishambulia Chadema. Pengine serikali itasikia kilio chako iandike upya historia ya TANU na Uhuru wa Tanganyika kama unavyotaka wewe. Maana kila siku huishi kulalama kuwa uhuru uliletwa na wazee wa kiislam lakini sasa wakiristo ndiyo wanakula nchi kwenye mfumo Kristo!Tunasikitika sana; Chama na kiongozi anayetegemea siku moja watanzania wampigie kura awe Rais wa nchi hii kuomba tuwekewe vikwazo vya kiuchumi, yaani wananchi tuumie kisa wanasiasa?