jonas kwigeza
Member
- Oct 12, 2016
- 96
- 134
Ukiamua kutoa hoja karibu kuwakweli Huhitaji mwanahisaati kujua kuwa basic salary 630000/_ na HESLB amekatwa 47000/_ ni 8%.Kwa nini uweke slip yamwaka 2015 , WATU WATASEMA WEWE SIO MKWELI KWA LUGHA YA KING WANA, Wanasoma watu wengi lakini na hesabu za msingi sio shida kwa wasomaji. Weka ya mwaka huu ionyeshe basic ni 63000/_ na makato ya HESLB yawe 94500/_ hapo utaonekana Sahihi. NI USHAURI TU, KAMA NI MHANGA WA 15% BANDIKA , TUTAKUPA POLE INGAWA HATUNA MAAMUZI.