Tundu Lissu sikia kilio cha watumishi wa umma

serikali kwa mwezi inakusanya around 1.2 trillion, mishahara ya watumishi wa umma ni karibu 650 Billion. yaani nusu ya pato la taifa wanakula watumishi wa umma ambao hawafiki millioni moja. je hii ni haki??
Ukumbuke hao watumishi wanalipa kodi sio kwamba hiyo mishahara wanaibeba kama ilivyo
 
ce62305f3364d274c269c7c66ff3f62c.jpg
 
Ni wajibu wangu kukupa Elimu hata kama unayo lakini hujaelemika.....!!!!
Uchaguzi Wa vyama vingi Africa ni kiini macho tu , usiliye na kulaumu MTU kwa nini hukumchagu Fulani,lilia Tume huru ya Uchaguzi na katiba mpya.

Kunipa elimu my foot... ulichosema hapo juu ndiyo elimu? you are a shame to yourself.
 
Kunipa elimu my foot... ulichosema hapo juu ndiyo elimu? you are a shame to yourself.
Hujaelemika huwezi kulaumu watu kwa nini hawakumpigia Fulani kura....!!! Na pia haikuwa na haja ya kuchangia kitu usichokielewa mkuu.
 
Cha ajabu ,utakuta unaishi kwa shemeji yako na unalala sebuleni hata maisha huyajui.
Hongera sana
Ukweli unauma etii....
[HASHTAG]#mtazamotu[/HASHTAG] Huyo Bwana Sio Mnyonge na wala haoenewi; anajua anacho kifanya (HAISHI KWA KUTEGEMEA MSHAHARA HUYU), Nivyema akamaliza madeni yake ya mikopo haswa NMB na MABOTO; ili kipato chake kirudi katika sehemu yake. :)
Bora wewe umesema ukweli, huyu MTU alikopa milioni nane ambazo kama aliwekeza zinatosha kufidia makato.
Jamani Kama umekopa unategemea nini....
 
Kichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
d5279fff530fd058ec0f90d383c572ac.jpg

Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?
Kwa ivo tundu lissu afanye nini hapo? Kwani ndio muajiri wako.
 
Walimu na hao wasubili waisome number vielele wa ccm kwanini kanga na sukari zimeisha au subilini uchaguzi ujao tena ili mgawiwe sukari na kanga had I hapo mtakapo hona kuwa nyie ni kweli misukule ya ccm


Swissme
 
d34446c7804ccc72dea3e0c4fa48b533.jpg

Japo sina uhakika na Trade Union za Tanzania,bado ombi langu liko kwa Mh.T.L asaidie kutetea hili janga
 
Elimu ya fedha ni Muhimu sana kwa watumishi wa umma, kumbuka matatizo hayaishagi Leo hili kesho lile
Naomba nikupe Siri ya kutatua matatizo yako nje ya kukopa kopa hovyo kwa kisingizio cha kupata matatizo
" katika mshahara wako unaoupata kabla ya matumizi gawanya fedha katika matumizi makuu ma 3
1.Fedha ya akiba ya malengo
2.Fedha ya dharura (ugonjwa,msiba,safari ya ghafla n.k)
3.Fedha ya matumizi ya msingi (Chakula,nauli ya daladala,vocha n.k)
Kila gawanyo Liwe na mfuko wake wa kuliweka, kuweka akiba hakuhitaji fedha nyingi unaweza kuweka elfu 50 tu kwa mwezi huku ukiwa tayari una malengo ya kutaka kufanya kitu Fulani baada ya kutimiza kiasi Fulani au baada ya muda Fulani, Mara nyingi fedha hizi huwa tuna zihifadhi Bank ni vyema ukaziweka katika Fixed A/C
*Dharura pia unaitafutia mfuko wake wake,hapa unaweza ukawa unaziweka kwenye simu n.k na unaweza ukawa unaweka elfu 15 tu kwa mwezi baada ya muda unakua na fedha ambayo itakusaidia kuanza kutatua matatizo yako mwenyewe yatakayotokea kwa ghafla
Tujenge nidhamu ya fedha,kujibana na kuishi kimkakati badala ya kukimbilia mikopo ambayo mwisho wa siku itatuumiza kwa riba
Laki mbili kwa Hali hii kweli!!!!!!! Duh saw
 
Mtoa jaribu kua mungwana Huyu mwenyewe salary' slip ana mkopo bank na kwingine kunaitwa mboto,ambapo anakatwa jumla ya shs 232000, bodi ya mikopo elimu ya juu wanamkata shs 47,000 kwa mwezi Sasa kwa mazingira kama hayo SERIKALI ina kosa gani?.Unamwita TL aje kutetea upuuzi Kama huo?Hata mkataba huo unaposema upo IPO sehemu inayomkataza mkopeshaji kuongezea makato?
Duh!
 
Walimu na hao wasubili waisome number vielele wa ccm kwanini kanga na sukari zimeisha au subilini uchaguzi ujao tena ili mgawiwe sukari na kanga had I hapo mtakapo hona kuwa nyie ni kweli misukule ya ccm


Swissme
Usiwalaimu sana mfumo wa uchaguzi haupo fair kuanzia tume nk
 
Usiwalaimu sana mfumo wa uchaguzi haupo fair kuanzia tume nk
Kwani tuna walimu wangapi Tanzania hadi wakafikisha kura 8 million za ushindi Wa mh? Kwa nini tuwalaumu walimu bila kuwa na facts? Nacho jua Mimi uchaguzi unasimamiwa na idara zote na sio walimu tu,basi hata police walaumiwe,usalama pia......!
 
Back
Top Bottom