MKWANO
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 224
- 157
Mwendelezo
Kichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?