Tundu Lissu sikia kilio cha watumishi wa umma

Kuna ukwapuaji wa nssf/ppf....no FAO LA kujitoa
Kweli Mr IGWE vp kuhusu hili fao mbona wanatuwekea magumashi ukiachishwa kazi una apply NSSF then unakaa miezi sita then baada ya miezi sita unaenda tena NSSF then unaambiwa subiri miezi miwili ndio uje uangalie HUNDI yako kama iko tayari, kwa maan hiyo baada ya kuachishwa kazi unakaa miezi minane ndio unaweza pata NSSF yako. tunaomba wabunge waangalie na hili.
 
Mkwano mie napiga laki na sabini asee baada ya 15%
Pole sana mkuu, shiriki nasi kupiga kelele na ikiwezekana tupia inbox salary slip zako 2 yaani uliyokuwa unakatwa 8% na 15% ili kusaidia wanasheria kutumia kama ushahidi.
HABARI ILIYO NJEMA KUNA WANASHERIA WAMEJITOKEZA KULISIMAMIA HILI.
 
Back
Top Bottom