Tundu Lissu sikia kilio cha watumishi wa umma

Nyie walimu endeleeni tu kuisoma number mpaka zifike number za kiyunani nyie ndio mnawaangusha Watanzania kwa kuichagua Ccm tena huwa mnabebwa mpaka kwenye malori
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kudhani kila mtu anaongea theory tu na Practical yake haiwezekani,wewe utakua ni mjinga wa wajinga na maisha yako yote utaishi kwa kudaiwa daiwa na hata wasiofaa kukudai
Kukopa sio dhambi ila una kopa ili ufanyie nini? Niliyemjibu alisema amekopa ili ajenge kibanda sasa kama kajenga kibanda kodi ya chumba unayoitaja hapo inajirudiaje wakati alishajenga kibanda? Usichokijua ni kwamba kuweka akiba sio lazima uwe na Millions of Tshs. Kuweka akiba ni Tabia na mwamko alionao mtu
Take home Laki 3 kuweka akiba huwezi ila bia unakunywa, huo si wehu huo!!
N.B Utumishi wa umma sio kazi ya mwisho kabisa kukuingizia kipato, changamka jiongeze ili uyakwamue maisha yako,otherwise utaendelea kulalamika kila siku
Soma topic yote alafu twende kwa hoja. Sijaomba msaada Mimi Bali ni huruma yangu kwa watumishi...!!!
 
Kichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
d5279fff530fd058ec0f90d383c572ac.jpg

Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?
Hatari hiyo , lazima aishi kwa kuungaunga
 
Soma topic yote alafu twende kwa hoja. Sijaomba msaada Mimi Bali ni huruma yangu kwa watumishi...!!!
Basi endelea kuwashauri wakope kope hovyo badala ya kutumia mbinu ya kujiwekea akiba ili kutatua matatizo yao,tusibishane mwisho wa siku kila Mtu ana maisha yake, kama wewe na unaowashauri mnaona njia bora ya kutatua matatizo ni kukopa hapa kukopa pale basi endeleeni
 
WEKA SALARY SLIP INAYOSAPOT HOJA YAKO HYO 47000MBOONA SIYO 15% YA MSHAHARA HUO
Soma vizuri,hiyo salary slip ya 2015, na sasa ni 2017. Salary kwa sasa 716000 kwa kada ya Elimu na 830000 kwa jeshi hasa police...! Mwenye degree...!! Kwa kutumia hiyo salary slip, mikopo ilikuwa before 15% ya loan board ambao wameanza kukata 15% mwezi Wa 2/2017. Je sheria inasemaje ? Inapotungwa inarudi nyuma au inanzia pale ilipitishwa na kendelea?
 
Basi endelea kuwashauri wakope kope hovyo badala ya kutumia mbinu ya kujiwekea akiba ili kutatua matatizo yao,tusibishane mwisho wa siku kila Mtu ana maisha yake, kama wewe na unaowashauri mnaona njia bora ya kutatua matatizo ni kukopa hapa kukopa pale basi endeleeni
Usibadili mada please, mimi nilikuwa nahoji uhalali Wa board ya mkopo kumkata MTU 15% badala ya 8% wakati MTU ameanza kukatwa 2012 lakini sheria imepitishwa 2016 inawagalimu hata maliza vyuo miaka ya nyuma.
Ndiyo maana nikaomba TLS Wajaribu kutetea wanyonge.Mimi sio mwanasheria
 
Huwezi kuzuia mengineyo kwa ulichokiandika, ulitaka kuonewa huruma kutokana na take home unayosalia baada ya makato yote na kama hoja yako ilikua 15% tu basi hakukua na haja ya Ku attach Salary slip yenye kuonyesha kiasi cha mwisho kabisa anachochukua mlengwa,hata mimi ni muhanga wa 15% ya Bodi ya Mikopo na inaniumiza lakini si kwa kiasi hiko cha mwenye Salary slip uliyoiweka,hilo linalomkuta ni ujinga wa kukopa kopa Taasisi za fedha zaidi ya mmoja ambazo kimsingi zina riba tofauti, hivyo tunampa ushauri next time asirudie kufanya hicho kitu kwani atesekaye si yeye tu bali ni familia kwa ujumla
 
Ndio upeo wako ulipoishia,vinywa vya wapumbavu wote hutawaliwa na matusi,mwenye akili timamu hawezi Fanya ulichoandika
Hahaa kumbe inauma ikitukanwa? Sasa mbona wewe unaita watu wapumbavu? Pole sana
 
Hahaa kumbe inauma ikitukanwa? Sasa mbona wewe unaita watu wapumbavu? Pole sana
Siumii kwa maneno ya watu wenye upeo mdogo wa kufikiri like yours kwa sababu majibu yako yanatoa taswira ya akili yako ilipoishia, kuitwa mpumbavu si tusi ila tunakushtua uamke toka sehemu uliyopumbaa ukiendelea kulala ndio unadhihirisha namna ambavyo wenzio tunakuacha
 
Kichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
d5279fff530fd058ec0f90d383c572ac.jpg

Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?
Ataishi kwa uwekezaji aliouweka kwa hiyo milioni 8 ya NMB,ila kama alinunua gari basi hapo namba za kirumi tu zinasomeka.
 
Siumii kwa maneno ya watu wenye upeo mdogo wa kufikiri like yours kwa sababu majibu yako yanatoa taswira ya akili yako ilipoishia, kuitwa mpumbavu si tusi ila tunakushtua uamke toka sehemu uliyopumbaa ukiendelea kulala ndio unadhihirisha namna ambavyo wenzio tunakuacha
Nashukuru, kwa akili yangu ndogo haikuwa na haja kuikuna akili yako kubwa na kuandika ulicho kiandika. Hata kama umejibu ili kulinda kibarua chako basi punguza kujidhalilisha kwa hoja finyu.
Pia kuwa na huruma kama kweli wewe ni Lady...!! Maana huenda mmeo ameshauza utu wake kupata hivo TV na kismart phone chako ili wewe ukae sebuleni mda wote kwenye Tv na kuchangia nonsense kwenye hoja zinazogusa maisha ya watu..!!!
 
Kwa taarifa yako mimi sio mtegemezi kwa mume kama mama yako kama girlfriend wako n.k ,15% ya Bodi ya Mikopo inanihusu pia nakatwa na nafahamu kwamba si halali ila hainifanyi nitafute Sympathy ya kuonewa huruma na watu kwa kiji take home kilichobaki, ukweli usemwe punguzeni kukopa kopa hovyo na sio wewe tu Bali mpo wengi wenye tabia hizo,jifunzeni njia mbadala za kukuza kipato permanent badala ya kutatua shida asubuhi jioni Maji ya shingo kama huyo jamaa mwenye hiyo salary slip
 
Kuna mchakato unaendelea wa kupeleka kesi mahakamani ili kupinga makato ya 15%. Nadhani sooner than later kesi itakuwa hewani.
 
Soma vizuri,hiyo salary slip ya 2015, na sasa ni 2017. Salary kwa sasa 716000 kwa kada ya Elimu na 830000 kwa jeshi hasa police...! Mwenye degree...!! Kwa kutumia hiyo salary slip, mikopo ilikuwa before 15% ya loan board ambao wameanza kukata 15% mwezi Wa 2/2017. Je sheria inasemaje ? Inapotungwa inarudi nyuma au inanzia pale ilipitishwa na kendelea?
Kwan mkataba mikopo ulikuwa unataka alipe asilimia ngap
 
Walimu na hao wasubili waisome number vielele wa ccm kwanini kanga na sukari zimeisha au subilini uchaguzi ujao tena ili mgawiwe sukari na kanga had I hapo mtakapo hona kuwa nyie ni kweli misukule ya ccm

Swissme
Nimeipenda hii, hili halina ubishi , walitishiaga kugoma cjui waliishia wapi.
 
Back
Top Bottom