Tundu Lissu sikia kilio cha watumishi wa umma

Ukiamua kutoa hoja karibu kuwakweli Huhitaji mwanahisaati kujua kuwa basic salary 630000/_ na HESLB amekatwa 47000/_ ni 8%.Kwa nini uweke slip yamwaka 2015 , WATU WATASEMA WEWE SIO MKWELI KWA LUGHA YA KING WANA, Wanasoma watu wengi lakini na hesabu za msingi sio shida kwa wasomaji. Weka ya mwaka huu ionyeshe basic ni 63000/_ na makato ya HESLB yawe 94500/_ hapo utaonekana Sahihi. NI USHAURI TU, KAMA NI MHANGA WA 15% BANDIKA , TUTAKUPA POLE INGAWA HATUNA MAAMUZI.
 
Kwa kifupi huyu jamaa anapata kiasi cha Tshs. 170,000/= kwa makato ya sasa ya 15% ya mshahara wote....
 
Macho yananiambia hata hyo loan ya Heslb isingekatwa bado mdau ingeongezeka tu 47,120/= huku kwa mbal nkiona NMB na Maboto wakichukua zao 232,000/=
Hatar sana hii sometimes inabd kutulza akl vzur kabla ya kulalamika.
 
Mimi nishasema watu wanaofikiria kwa makalio huwa si was kuwajibu unamwangalia unamwacha akikaa akatafakari anachokifanya atakumbuka alikotoka. Hivi unapomwita Mwalimu kiherehere was ccm we umetokea katika mikono ya Mani kuwa daktari,engineer na ama fani yeyote ile. Wapo walimu wamemake maisha kuliko nyie ambao labda mnajiona bora kuliko wao. Linalosemwa hapa ni jambo la MSINGI tena sana sharia inasemaje juu ya mkataba. Lissu anaingia hapa kama MTU ambaye anaweza kutoa ufafanuzi na kama inawezekana kutoa msaada kuwasaidia hawa wanyonge ambao labda mnaona ndio watu chini kuliko nyie. Wase...... Wapo wanaotumia makalio kufiWAPOO. ?.........WAPOOOO,wenye akili kama za bashiiiit?......WAPOO. Hahahaaa wase.... Mnajifanya wajuaji na wakati mnatusuliwaa.
 
Mkuu kinachotusumbua watanzania hasa ni kukosa hulka ya UTAIFA KWANZA, ndiyo maana ukiona baadhi ya comments za wadau wanahisi labda ninalilia tumbo langu rahasha....!! Ila naumia ninapo waona watanzania wenzangu wakiteseka na ugumu Wa maisha sababu ya uamuzi Wa mtu mmoja.
 
Kichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
d5279fff530fd058ec0f90d383c572ac.jpg

Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?
Tulipokuwa tukiwaomba kura mlitukana sasa hebu isomeni namba kidogo kabla hatujawasemea, obviously tutawasemea!
 
Kichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
d5279fff530fd058ec0f90d383c572ac.jpg

Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?

Nyie yanapowafika ndipo mnamkubuka Tundu Lissu, lkn wakati wa uchaguzi mnakuwa wapi? Please walilieni mliowapigia kura ndio wawasaidie....You reap what you....
 
Ni wajibu wangu kukupa Elimu hata kama unayo lakini hujaelemika.....!!!!
Uchaguzi Wa vyama vingi Africa ni kiini macho tu , usiliye na kulaumu MTU kwa nini hukumchagu Fulani,lilia Tume huru ya Uchaguzi na katiba mpya.
 
wacha wanyooshwe wapate akili, walipokua wanaambiwa wafanye maamuzi katika sanduku la kura mwaka 2015 hawakusikia.

Wengine walikua vimbelembele kutuzodo tuliokua tunawambia twende na ukawa lakini sasa mziki ndio wanaisoma namba.

Nampongeza sana Mh Magufuli tena namwomba akaze zaidi ili watu wanyooke kabisa.

Ifikie maali mtu aiambie shkamoo shilingi 100 hapo tutaheshimiana.

Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeee.
 
Kichwa cha habari chajieleza.
Board ya mkopo ya Elimu Tanzania inawanyanyasa na kuwafedhesha WATUMISHI Wa umaa,kwa Makato ya 15% ,haijalishi umemaliza mwaka gani chuo. Je sheria zinasemaje kuhusu mikataba?
Wanasheria kupitia Tanganyika Laws society (TLS) wasaidieni watumishi Wa umma,hawana watetezi kabisa,si walimu na chama chao,wala chama cha madaktari wote ni waoga kama kunguru.
d5279fff530fd058ec0f90d383c572ac.jpg

Kwa mshahara kama Wa huyu mnyonge ataishije mjini? Na atafanyaje kazi?
Sasa hiyo mikopo vipi
 
HIYO NDIYO SERIKALI YA KIDEKITETA SIKU ZOTE. HUWA HAIJALI WATU WAKE NA HUONA WANANCHI WANAFAID SANA
NIKUKOMAA KIBISHI KIBISH HAKUNA NAMNA
TUNAPOSEMA CCM NI CHAMA KIMESHAZEEKA NA HAKIFAI MNATUONA WA AJABU SANA. MLIDHANI WATAKAOISOMA NAMBA NI UPINZANI
NGOJA TUONE. TANZANIA BILA KUONDOKA CCM MSITEGEMEE MAENDELEO. WATANZANIA WENGI HAWAJIELEWI KBSA
TANGU LINI POMBE IKALETA MAENDELEO?
 
Ukiamua kutoa hoja karibu kuwakweli Huhitaji mwanahisaati kujua kuwa basic salary 630000/_ na HESLB amekatwa 47000/_ ni 8%.Kwa nini uweke slip yamwaka 2015 , WATU WATASEMA WEWE SIO MKWELI KWA LUGHA YA KING WANA, Wanasoma watu wengi lakini na hesabu za msingi sio shida kwa wasomaji. Weka ya mwaka huu ionyeshe basic ni 63000/_ na makato ya HESLB yawe 94500/_ hapo utaonekana Sahihi. NI USHAURI TU, KAMA NI MHANGA WA 15% BANDIKA , TUTAKUPA POLE INGAWA HATUNA MAAMUZI.
Sasa hivi basic salary no 716000 na 15% ni 107400
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom