Tundu Lissu sikia kilio cha watumishi wa umma

Walimu na hao wasubili waisome number vielele wa ccm kwanini kanga na sukari zimeisha au subilini uchaguzi ujao tena ili mgawiwe sukari na kanga had I hapo mtakapo hona kuwa nyie ni kweli misukule ya ccm

Swissme
Wewe mpuuzi aliyekuambia walimu ni wana ccm Nani?
 
watumishi mna mikopo ya kipuuzi sana umekopa NMB na MABOTO halafu unalalamika nini achene upuuzi huo mshahara ni mkubwa sana tena inatakiwa upunguzwe
Wewe ni mpuuzi hujui ulisemalo na hujui maisha hamna anayependa mikopo hata nchi imekopa anakushangaza mtumishi wa Uma?
 
Ukiamua kutoa hoja karibu kuwakweli Huhitaji mwanahisaati kujua kuwa basic salary 630000/_ na HESLB amekatwa 47000/_ ni 8%.Kwa nini uweke slip yamwaka 2015 , WATU WATASEMA WEWE SIO MKWELI KWA LUGHA YA KING WANA, Wanasoma watu wengi lakini na hesabu za msingi sio shida kwa wasomaji. Weka ya mwaka huu ionyeshe basic ni 63000/_ na makato ya HESLB yawe 94500/_ hapo utaonekana Sahihi. NI USHAURI TU, KAMA NI MHANGA WA 15% BANDIKA , TUTAKUPA POLE INGAWA HATUNA MAAMUZI.
Hoja yako ni nzuri kila hujaelewa mantik ya post YANGU, ni kwamba kisheria makato ya 15% kwa MTU aliyemaliza chuo miaka 2011 na alikuwa ameanza kukatwa ,kisheria bodi kupandisha makato kwa wote wakati huo mswada umepitishwa 2016 ni sahihi?
 
Kwa taarifa yako mimi sio mtegemezi kwa mume kama mama yako kama girlfriend wako n.k ,15% ya Bodi ya Mikopo inanihusu pia nakatwa na nafahamu kwamba si halali ila hainifanyi nitafute Sympathy ya kuonewa huruma na watu kwa kiji take home kilichobaki, ukweli usemwe punguzeni kukopa kopa hovyo na sio wewe tu Bali mpo wengi wenye tabia hizo,jifunzeni njia mbadala za kukuza kipato permanent badala ya kutatua shida asubuhi jioni Maji ya shingo kama huyo jamaa mwenye hiyo salary slip
Wapuzi mmekutana, mmeshindwa kujadili hoja mnaingiza hata wasiohusika kwenye upumbafu wenu. Mnatia kinyaa...
 
watumishi mna mikopo ya kipuuzi sana umekopa NMB na MABOTO halafu unalalamika nini achene upuuzi huo mshahara ni mkubwa sana tena inatakiwa upunguzwe
Kwa mjibu wa jina lako LAKI SI PESA sasa unapiga biti ya nini huyu anye lalamikia makato y kipuuzi na dhuluma? maanake anapaswa alipwe kuanzia 1 Millioni nakuendelea hio ndio Fedha.
 
watumishi mna mikopo ya kipuuzi sana umekopa NMB na MABOTO halafu unalalamika nini achene upuuzi huo mshahara ni mkubwa sana tena inatakiwa upunguzwe

Uko sawa kweli mkuu? Mikopo ya kipuuzi ikoje? Unawafahamu watumishu wote waliokopo na sababu za mikopo yao? Jaribu kufikiri walau kidogo.
 
Sijajua Tundu Lisu anasaidiaje mkuu. Ila kwa kweli ukiangalia hiyo salary slip inasikitisha. Makato ni mengi mno, huyu MTU anaishije sijui. Nadhani serikali inapaswa kuingilia kati. Huyu mtu amekuwa mtumwa, kazi kwake haina tija tena.
Mie naona HUYU MTU amejitakia mwenyewe madeni. Anakopa fedha NJE ya UWEZO wake wa Kulipa. Angalia deni lake la NMB na Maboto Enter..Akiwa na mshahara wa laki 630000 na anakopa MILIONI 8, anategemea nini? Si madeni mpaka anastaafu?Hapa TLS wamsaidie je?
 
Mkuu Chuwa weka akiba ya maneno. Usilolijua... Kitanda usichokilia.... Ukubwa dawa usimcheke aliyekopa hujui hela ilkoenda. Familia za kiafrika ni tegemezi. Usimlaumu mkuu, weka akiba. Watu wana shida mkuu. Nawashangaa sana teenagers wanaokebehi na kukimbia hoja ya 15%.
 
Well said ndugu, sema wadau hawajaelewa cha mno kwenye hii mada.Watumishi wanakatwa na board ya mkopo 15% regardless umesomeshwa na board kwa sheria ipi kati 8% ya zamani 15% ya mwaka Jana kama huyo mwenye salary slip.
Leo hii mtumishi ambaye hajawahi kupanda daraja anaambiwa akasome course maalumu bila hiyo hakuna kupanda cheo wala daraja....! Haya matamko ya serikali yanafuata sheria ipi ya Utumishi? Na wanalengo gani kwa watumishi?
Hivyo msaada Wa wajuzi Wa sheria unatakiwa hasa TLS ili ikiwezekana wawatetee watumishi na waikumbushe serikali kufuata sheria za utumishi Wa umma.
 
Sijajua Tundu Lisu anasaidiaje mkuu. Ila kwa kweli ukiangalia hiyo salary slip inasikitisha. Makato ni mengi mno, huyu MTU anaishije sijui. Nadhani serikali inapaswa kuingilia kati. Huyu mtu amekuwa mtumwa, kazi kwake haina tija tena.

serikali kwa mwezi inakusanya around 1.2 trillion, mishahara ya watumishi wa umma ni karibu 650 Billion. yaani nusu ya pato la taifa wanakula watumishi wa umma ambao hawafiki millioni moja. je hii ni haki??
 
Baadhi ya walimu ni watu wa hovyo sana ktk nchi hii wao ni mitaji ya Ccm kushinda.mnalia lia nini sasa
 
watumishi mna mikopo ya kipuuzi sana umekopa NMB na MABOTO halafu unalalamika nini achene upuuzi huo mshahara ni mkubwa sana tena inatakiwa upunguzwe
Kukopa ni lazima, vinginevyo atazeeka kabla ya kujenga nyumba!
Hapo hiyo take home karibu nusu atawasilisha kwa mama mwenye nyumba!
Nadhan alikopa akanunua kiwanja na akaanza kufyatua MATOFALI kidogo kidogo!
Deni likiisha anakopa tena halafu anajenga hata sehe.u ya nyumba kama vyumba viwili na sebule na anahamia ili aondokane na kero ya mama mwenye nyumba. Anasubiri tena deni likiisha anakopa tena kwa ajili ya mtaji wa biashara na hiyo biashara ndo imtunze!
Maisha ya mfanyakazi ni mwendo wa madeni mpaka anastaafu! Isipokuwa tu kwa wale wenye nafasi za posho mbalimbali!
 
serikali kwa mwezi inakusanya around 1.2 trillion, mishahara ya watumishi wa umma ni karibu 650 Billion. yaani nusu ya pato la taifa wanakula watumishi wa umma ambao hawafiki millioni moja. je hii ni haki??
Sijaelewa msingi wa swali lako mkuu ila kulipwa ni haki ya mfanyakazi na ni wajibu wa mwajiri.
 
Sijajua Tundu Lisu anasaidiaje mkuu. Ila kwa kweli ukiangalia hiyo salary slip inasikitisha. Makato ni mengi mno, huyu MTU anaishije sijui. Nadhani serikali inapaswa kuingilia kati. Huyu mtu amekuwa mtumwa, kazi kwake haina tija tena.
sasa hapo serikali itaingilia kati vipi wakati huyo mtu mwenyewe kaamua kukopa, mana ana mkopo bank, ana mkopo maboto entr., kwani serikali ilimtuma akope huko? si ni maamuzi yake jamani
 
Back
Top Bottom