Ni uwendawazimu na ukichaa kuyaamini maneno yanayotoka katika mdomo wa Tundu Lissu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,311
9,740
Ndugu zangu watanzania,

Unatakiwa ujitoe ufahamu,ujizime akili na kujifanya kichaa na mwendawazimu kuamini neno lolote litakalo katika mdomo wa Tundu Lissu. Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu mwenye akili Timamu kumuamini Tundu Lissu kwa neno lolote litokalo kupitia mdomo wake. Lissu wa leo anayepiga makelele bila breki wala aibu kutaka kwenda kwenye kaburi la Hayati mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli ndiye huyo huyo kwa mdomo wake huo huo usio na adabu wala hekima wala staha aliongoza mashambulizi ya kumtukana sana hayati Magufuli,alimtukana mpaka akawa anatokwa na mate mdomoni katika kumporomoshea matusi Hayati Dr Magufuli. Akishirikiana na wahuni wengine aina yake alitoa kila aina ya ubaya kumpaka Hayati Dr Magufuli,aliiomba nchi zote za ulaya na Marekani zitutenge Tanzania na kutunyima chochote tulichohitaji,alitaka Taifa letu litengwe kimataifa kwa hoja kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni kama shetani ndani ya Ardhi ya Tanzania na chochote alichofanya kwa Tanzania kilikuwa ni kama angamizo kwa Taifa letu.

Lissu kwa mdomo wake huo huo alipita hadi BBC shirika la habari la Uingereza akipayuka na kumtukana sana Hayati magufuli.hata alipoacha kuonekana hadharani na baadaye kutangazwa kifo chake ni Lissu huyo huyo aliyekuwa wa kwanza kufurahia sana kana kwamba yeye ataishi milele katika Dunia hii.ni huyo huyo aliyeendelea kurusha maneno ya kumfedhehesha na kumdhalilisha Hayati Dr magufuli hata pale alipokuwa amepumzika katika nyumba yake ya milele.

Sasa leo utaweza vipi kuamini neno lolote alitoalo Lissu kupitia mdomo wake? Ni vipi umuamini mtu huyu licha ya umri wake kuwa mkubwa lakini mwenye maneno ya kitoto na yaliyokosa adabu na heshima? Ni vipi aende na aruhusiwe kwenda kwenye kaburi la hayati Dr magufuli aliyemtukana na kufurahia kifo chake? Ni vipi mamlaka Imruhusu kufanyia siasa eneo alipo lala Hayati Magufuli? Anakwenda kufanya nini? Kwanini asiombe kwanza msamaha kwa kuita tena vyombo vya habari vya ndani na kwenda kuzunguka tena kwote alikokuwa anapita kumtukana Hayati ili aseme kwamba alikuwa anamsingizia Hayati Dr magufuli?

Ni vipi watanzania wenye akili Timamu wanaweza wakamuamini leo? Je hamuoni kuwa Lissu yupo kazini na anafanya hivyo kuvuruga amani ,utulivu na amani ya nchi yetu kwa maagizo ya watu anaowatumikia na wanao mfadhili? Uadilifu wa Lissu upo wapi kikauli? Hamuoni ni zaidi ya kinyonga? Hamuoni ni msaliti na aliye tayari kuleta machafuko hapa nchini hata kwa kutoa uongo wa aina yoyote ile kama afanyavyo leo? Kwanini tumuamini kwa sasa ili hali ni muongo kupindukia?

Mnakumbuka namna alivyomtukana na kumdhalilisha mh Edward lowasa majukwaani kwa miaka zaidi ya nane? Je huyo lissu kwa mdomo wake huo huo alisema nini ilipofika uchaguzi wa 2015 juu ya lowasa? Siyo yeye aliye anza kumsafisha kwa ulimi na mate ya Mdomo wake? Ni vipi leo kumuamini huyu kiumbe? Mnaanzia wapi watanzania wenzangu wenye akili Timamu?

Lissu ni wakupuuzwa na kumkemea kwa kauli zake za uongo,uchochezi ,ubaguzi na zenye kuleta na kuchochea uhasama hapa nchini,siyo wa kuendelea kumlea huku akieneza chuki na sumu ya ubaguzi pasipo kumchukulia hatua za kisheria na kutompatia vibali vya mikutano anayoitumia kupandikiza chuki na uongo kwa wananchi. Hana uadilifu wa kauli na hapaswi kuaminiwa hata kidogo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Unatakiwa ujitoe ufahamu,ujizime akili na kujifanya kichaa na mwendawazimu kuamini neno lolote litakalo katika mdomo wa Tundu Lissu. Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu mwenye akili Timamu kumuamini Tundu Lissu kwa neno lolote litokalo kupitia mdomo wake. Lissu wa leo anayepiga makelele bila breki wala aibu kutaka kwenda kwenye kaburi la Hayati
Lucas nakuonea huruma sana, Teuzi zote wala hawakuoni mkuu.Wewe unajinadi ni mukulima unadhani hao Walafi hawana mashamba? Mkuu kama hawakuoni achana kuwa chawa wao.LISSU SIO SAIZI yako kabsaa, wewe si umechagua kulima shida yako nini Mzee wa Igamba?
 
Mimi sipo hapa kutafuta uteuzi bali napigania Taifa langu.
 
Je unataka kuwaaminisha watu kuwa wewe ndo bora kuliko lisu, kwa hiyo wakuamini wewe na maneno yako?
 
Mimi sipo hapa kutafuta uteuzi bali napigania Taifa langu.

Hikiona hii kitu, ubinadamu unakutoka
1690741620174.png
 
Wewe binafsi,unavyoamini,inamaana unamjua JPM kuliko alivyokua anajijua?
Unadhani kwanini alisema atakumbukwa kwa MAZURI,na si kwa MABAYA?
Unadhani hayo mazuri yanaonwa na CCM tu au hata CHADEMA?
Grow up bro,happy unamuadaa MAMA na baadhi ya washauri wake,upate teuzi,japo unajifanya unakataa,kwani uwekaji namba tu,unamaanisha ninachokuandikia.
 
Lucas nakuonea huruma sana, Teuzi zote wala hawakuoni mkuu.Wewe unajinadi ni mukulima unadhani hao Walafi hawana mashamba? Mkuu kama hawakuoni achana kuwa chawa wao.LISSU SIO SAIZI yako kabsaa, wewe si umechagua kulima shida yako nini Mzee wa Igamba?
Lisu level ya migambo tu. Na kadanganywa na nan sijui kama atakuwa raisi kwa kuchochea mageuzi
 
Ndugu zangu watanzania,

Unatakiwa ujitoe ufahamu,ujizime akili na kujifanya kichaa na mwendawazimu kuamini neno lolote litakalo katika mdomo wa Tundu Lissu. Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu mwenye akili Timamu kumuamini Tundu Lissu kwa neno lolote litokalo kupitia mdomo wake. Lissu wa leo anayepiga makelele bila breki wala aibu kutaka kwenda kwenye kaburi la Hayati mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli ndiye huyo huyo kwa mdomo wake huo huo usio na adabu wala hekima wala staha aliongoza mashambulizi ya kumtukana sana hayati Magufuli,alimtukana mpaka akawa anatokwa na mate mdomoni katika kumporomoshea matusi Hayati Dr Magufuli. Akishirikiana na wahuni wengine aina yake alitoa kila aina ya ubaya kumpaka Hayati Dr Magufuli,aliiomba nchi zote za ulaya na Marekani zitutenge Tanzania na kutunyima chochote tulichohitaji,alitaka Taifa letu litengwe kimataifa kwa hoja kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni kama shetani ndani ya Ardhi ya Tanzania na chochote alichofanya kwa Tanzania kilikuwa ni kama angamizo kwa Taifa letu.

Lissu kwa mdomo wake huo huo alipita hadi BBC shirika la habari la Uingereza akipayuka na kumtukana sana Hayati magufuli.hata alipoacha kuonekana hadharani na baadaye kutangazwa kifo chake ni Lissu huyo huyo aliyekuwa wa kwanza kufurahia sana kana kwamba yeye ataishi milele katika Dunia hii.ni huyo huyo aliyeendelea kurusha maneno ya kumfedhehesha na kumdhalilisha Hayati Dr magufuli hata pale alipokuwa amepumzika katika nyumba yake ya milele.

Sasa leo utaweza vipi kuamini neno lolote alitoalo Lissu kupitia mdomo wake? Ni vipi umuamini mtu huyu licha ya umri wake kuwa mkubwa lakini mwenye maneno ya kitoto na yaliyokosa adabu na heshima? Ni vipi aende na aruhusiwe kwenda kwenye kaburi la hayati Dr magufuli aliyemtukana na kufurahia kifo chake? Ni vipi mamlaka Imruhusu kufanyia siasa eneo alipo lala Hayati Magufuli? Anakwenda kufanya nini? Kwanini asiombe kwanza msamaha kwa kuita tena vyombo vya habari vya ndani na kwenda kuzunguka tena kwote alikokuwa anapita kumtukana Hayati ili aseme kwamba alikuwa anamsingizia Hayati Dr magufuli?

Ni vipi watanzania wenye akili Timamu wanaweza wakamuamini leo? Je hamuoni kuwa Lissu yupo kazini na anafanya hivyo kuvuruga amani ,utulivu na amani ya nchi yetu kwa maagizo ya watu anaowatumikia na wanao mfadhili? Uadilifu wa Lissu upo wapi kikauli? Hamuoni ni zaidi ya kinyonga? Hamuoni ni msaliti na aliye tayari kuleta machafuko hapa nchini hata kwa kutoa uongo wa aina yoyote ile kama afanyavyo leo? Kwanini tumuamini kwa sasa ili hali ni muongo kupindukia?

Mnakumbuka namna alivyomtukana na kumdhalilisha mh Edward lowasa majukwaani kwa miaka zaidi ya nane? Je huyo lissu kwa mdomo wake huo huo alisema nini ilipofika uchaguzi wa 2015 juu ya lowasa? Siyo yeye aliye anza kumsafisha kwa ulimi na mate ya Mdomo wake? Ni vipi leo kumuamini huyu kiumbe? Mnaanzia wapi watanzania wenzangu wenye akili Timamu?

Lissu ni wakupuuzwa na kumkemea kwa kauli zake za uongo,uchochezi ,ubaguzi na zenye kuleta na kuchochea uhasama hapa nchini,siyo wa kuendelea kumlea huku akieneza chuki na sumu ya ubaguzi pasipo kumchukulia hatua za kisheria na kutompatia vibali vya mikutano anayoitumia kupandikiza chuki na uongo kwa wananchi. Hana uadilifu wa kauli na hapaswi kuaminiwa hata kidogo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Umepanic ndugu 😅😅
 
Wewe binafsi,unavyoamini,inamaana unamjua JPM kuliko alivyokua anajijua?
Unadhani kwanini alisema atakumbukwa kwa MAZURI,na si kwa MABAYA?
Unadhani hayo mazuri yanaonwa na CCM tu au hata CHADEMA?
Grow up bro,happy unamuadaa MAMA na baadhi ya washauri wake,upate teuzi,japo unajifanya unakataa,kwani uwekaji namba tu,unamaanisha ninachokuandikia.
Embu nijibu kama kichwa chako kina kumbukumbu vizuri,je unakumbuka maneno ya Lissu juu ya lowasa kabla ya 2015? Unakumbuka maneno ya Lissu kwa hayati Dr magufuli wakati wote wa utawala wake? Je akisemacho Lissu leo hii ndicho alichokitamka wakati wa uhai wake hayati Dr magufuli? Au umeanza kufuatilia siasa za nchi hii leo? Au ulikuwa bado hajazaliwa wakati huo?
 
Ndugu zangu watanzania,

Unatakiwa ujitoe ufahamu,ujizime akili na kujifanya kichaa na mwendawazimu kuamini neno lolote litakalo katika mdomo wa Tundu Lissu. Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu mwenye akili Timamu kumuamini Tundu Lissu kwa neno lolote litokalo kupitia mdomo wake. Lissu wa leo anayepiga makelele bila breki wala aibu kutaka kwenda kwenye kaburi la Hayati
Ni kichaa tu anaweza kuamini kwamba wewe una akili timamu. Wazazi wako wamezaa laana
 
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
WEWE ni mpumbavu number moja Dogo, acha njaaa. WEWE ni mpumbavu sana sana, tumia kichwa kufikiria sio kubebea nywele.
 
Back
Top Bottom