Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

Lisu vipi mbona unayumba mzee, mara leo hivi kesho vile......
vipi tena!
ulikurupuka nini?!!
 
Mkuu Hujamuelewa au Umemuelewa Lissu? Au pia utakuwa unafanya kusudi kupotosha japo unaonekana Kama unaimiza sheria ifuatwe? Alichomaanisha Lissu ni kuwa mahakama na mawakili pekee hawawezi kufanya haki ikapatikana bila watu wenyewe kuwa na nia ya kutaka haki itendeke. Nikupe mfano mdogo tu. Mtu anaweza kufungwa kwa kuonewa tu, lakini hutosikia mahakama wala wakili kupinga huo uonezi kwa kukata rufaa na mtu anaendelea kusota gerezani. Sasa hawa walio nje pamoja na mfungwa mwenyewe ndiyo wapinge kuonewa kwa mtu na kuhamasisha kukatwa kwa rufaa ili yule aliyefungwa apate haki yake. Ndicho alishomaanisha Lissu; ni wananchi kuwa na ile kiu ya kukataa kuonewa na kutaka kutendeka kwa haki ili kusukuma wanaosimamia haki kuona umuhimu wa kutenda haki. Maana hata hakuna wakili atakuruka kukutetea wakati wewe mwenyewe hauna kiu ya kupinga uonezi uliofanyiwa na hiyo mahakama iliyokufunga kwa uonezi
Nimemaliza kuweka sawa bandiko lako ili nikuelewe vizuri.
===
Kwa kifupi tu, swali. Je. Nitakuwa sahihi nikiandika kuwa kwa sasa "mtanzania" mwenzetu Lissu hana uwezo wa kutoa maeleze ya wazi kama ulivyofafanua kwenye bandiko lako?
 
Back
Top Bottom