Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

Au akili yako ni ndogo sana kumuelewa kinana! Hivi inajua unaweza kiwa na akili ndogo ya kuelewa mambo au kumuelewa mru flani halafu ukamuona yeye ndo kashindwa kumbe we ndo kilaza
Huyu mzee wa pembe za Ndovu? Kinana ni kinana na ki- nana. Halafu kuna Li -su kama kimbwa na limbwa. Kinana hana akili ya kumjibu Lissu . Na hapo amepewa hoja bado hajaweza kujibu kitu. LISSU ANA AKILI SANA HAWEZEKANIKI.
 
Lisu ana akili gani? Au nyie wenye akili ndogo ndo mnamuona ana akili
 
Ukimjibu chizi na ww unakua chizi. Same applies here. Lissu tunamtegemea ajiandae na uchaguzi. Sio kuongea vitu kila siku vinaongelewa hadi mtaani. Ajiandae na ucchaguzi. Kuachiwa kufanya midahalo. Kuna wamaliza wakina lissu na mbowe.
 
Kumjua mtu ana akili ni mpaka nawe uwe nazo. Usidhani ni rahisi tu kuwa hata wewe utamjua.
Mi namzidi mbali lisu hanifikii hata kwa chembe. He seems to be intelligent when talking to fools like many tanzanians do, mostly you and only you.
 
Kinana Kwa Sasa hoja zake nyingi ni kama anajidhalilisha hana atakolesema la maana,,,Aheshimu Nyakati ni bora mnoo,,,aking'ang'ana itakuwa sio poa sana kwa ukongwe wakwe watamtusi ya nguoni
 
Ukimjibu chizi na ww unakua chizi. Same applies here. Lissu tunamtegemea ajiandae na uchaguzi. Sio kuongea vitu kila siku vinaongelewa hadi mtaani. Ajiandae na ucchaguzi. Kuachiwa kufanya midahalo. Kuna wamaliza wakina lissu na mbowe.
Kwahiyo wanao mjibu ni machizi?
 
Nimeogopa! 🤔🤔🤔
Malkia na mashoga zake Waarabu?
Nashauri wafuasi na viongozi wa Chama pendwa waachane na Lissu!
Wafanye assumption kwamba Lissu ni psychiatric case!
 
Maelezo yako nilihisi unatumia HALOPERIDOL.
Kumbe niko sahihi kabisa.
Upo sahihi,hata mimi nilihisi una schizophrenia, nikaona nisikujibu maana utaishia kunidhihaki while nimetoa maoni yangu. Kumbe kweli. Umgonjwa wewe binti.
 
1.Kwanini Wabunge wa Zanzibar huwa wanajadili bajeti za Wizara zisizo za Muungano, Kama Wizara ya Kilimo?

2. Kwanini kwenye Baraza la Wawakilishi hakuna Wabunge toka Tanganyika kulinda Maslahi ya Tanganyika?

3.Kwanini Wazanzibar wanakuwa Wakuu wa Wilaya Tanganyika ilihali Watanganyika hawawezi kuwa Znz,assumption kwamba TAMISeMI ipo nchi ya Rais?

4.Kwanini Rais wa Jamhuri akitaka kugawa eneo labda Mkoa au Wilaya,Tanganyika anagawa tu,ila Kwa Zanzaibar ni lazima ashauriane na rais wa Zanzibar?
5.Idadi kamili ya wapiga kura ilikupata Jimbo la Mbunge wa bunge la JMT ni ngapi?

6.Kwanini Sukari bei chini Znz?

7.Kwanini Leseni ya udereva ya Tanzania haikubaliki Znz?

8.Kwanini Mh Rais hakubinafsisha bandari za Znz?..Znz hawataki Ufanisi?

9.Kwanini Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,hatambuliki Znz ilihali ni wa Tanzania nzima?

10.Kwanini Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania halijawahi kuwa na Spika wala Naibu Spika toka Zanzibar?
 
Ukimjibu chizi na ww unakua chizi. Same applies here. Lissu tunamtegemea ajiandae na uchaguzi. Sio kuongea vitu kila siku vinaongelewa hadi mtaani. Ajiandae na ucchaguzi. Kuachiwa kufanya midahalo. Kuna wamaliza wakina lissu na mbowe.
Mbona ndo ameonekana na kusikika sasa. Kujiandaa ni kunyosha nguo au ajiandae vipi? Lissu ametufungua macho watanganyika.
 
Mi namzidi mbali lisu hanifikii hata kwa chembe. He seems to be intelligent when talking to fools like many tanzanians do, mostly you and only you.

Siku ukipata akili hata ya kutosha kizibo cha chupa ya Soda utafunguka. Walevi au vichaa huongea kama unavyoongea hapo. Sishangai.
 
Back
Top Bottom